lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,387
- 25,493
Tetesi tu hajasajiliwa badoKasajiliwa lini huyu
Tetesi tu hajasajiliwa badoKasajiliwa lini huyu
Tetesi tu hajasajiliwa badoKasajiliwa lini na anacheza nafasi gani?
Utashangaa mwenye hii comment ni shabiki wa Arsenal🤣🤣🤣Yeeess. Hii Sasa ndiyo Chelsea tunayoijua. Warembo. Achaneni na mpira muendelee kupost vitu vya maana zaidi kwenu kama hivi. Mpira tuachieni siye au hata manyumbu akina Flano.
Kuanzia hapa hili jukwaa libadilike kuwa mdogo wa like lingine la picha za warembo wakali worldwide. Shusheni vyuma Chelkenge acheni kujiabisha story za mpira
Elye Wahi ● Welcome to Chelsea 🔵🇫🇷 Best Goals & Skills
Hii itakuwa poa kama tutawapata wote nahisi wataclick na kutengeneza partnership nzuriHii ni ya kweli wadau? Au tusubiri adi tuone saining?
View attachment 2690135
View attachment 2690137
Akizingua na haya majereha yasiyoisha msimu huu na mwenzake yule Ben Chillwell napendekeza wauzwe mwishoni mwa msimu tupate mpunga wa kutosha tusajili reliable players kabla haijawa too late na tukalazimika kuwauza kwa bei za kipumbavu ,Reece James na Chillwell ni reliability sio assets Tena hawa ,wametusumbua sana msimu ulioisha***** huyu ndo mchezaji wetu tegemezi msimu haujaaza tayar misuli inamuumaView attachment 2687789
Toa Collwill hapo , tuna Badiashile yule kijana ni makini na anatosha sijui kwanini tunang'ang'ania huyu pimbi kwenye dharau anayeitwa collwill
Wako tisaBreaking: Wesley Fofana has not travelled due to a knee injury which is being assessed. (Chelseafc) #CFC
OFFICIAL: Reece James reported feeling unwell on Monday morning so is not travelling to USA as a precaution. He will join up with the #Chelsea squad as soon as he's better.

Cash Money ForeverHivi yule dogo goalkeer Jamal Blackman alipotelea wapi?Kipa Eddie Beach mwenye umri wa miaka 19 anatarajiwa kusafiri na Chelsea hadi Marekani. Chelsea ina nia ya kumbakisha Beach kwenye kikosi cha kwanza msimu huu kabla ya kutathmini hali yake Januari.
View attachment 2691309
Hiyo sehemu ya kiungo inanipa wasiwasi sana. Tunahitaji watu watatu wa nguvu sana hapo kati na mmoja kwenye safe ya ushambuliaji...then tuwachanganye na vijana sasa.Wako tisa
Walioenda USA kwa Pre-season ni wachezaji 29 ambao ni
- Wesley Fofana - Majeruhi ya goti bado anachunguzwa
- Reece James - Hajisikiii vizuri, kwa tahadhari tu kaachwa akijisikia vizuri ataungana na wenzake
- Badiashile - Bado hajapona kabisa
- Broja - Bado hajapona kabisa
- Ethan Ampadu - Kauzwa Leeds Un ited
- Aubameyang - Anasubiri kuuzwa
- Hudson-Odoi - Anasubiri kuuzwa
- Lukaku, Ziyech - Anasubiri kuuzwa
- Romelu Lukaku - Anasubiri kuuzwa
Goalkeepers
Defenders
- Kepa Arrizabalaga
- Gabriel Slonina
- Lucas Bergstrom
- Eddie Beach
- Jamie Cumming
Midfielders
- Thiago Silva
- Trevoh Chalobah
- Ben Chilwell
- Marc Cucurella
- Malo Gusto
- Bashir Humphreys
- Levi Colwill
- Ian Maatsen
- Alfie Gilchrist
Forwards
- Enzo Fernandez
- Conor Gallagher
- Carney Chukwuemeka
- Andrey Santos
- Cesare Casadei
- Lewis Hall
View attachment 2691294
- Mykhailo Mudryk
- Raheem Sterling
- Noni Madueke
- Angelo Gabriel
- Diego Moreira
- Nicolas Jackson
- Christopher Nkunku
- Mason Burstow
- Dujuan Richards (training only)
Aliuzwa 2021 baada ya kupelekwa mikopo nane (8) tangu 2014 hadi 2021Hivi yule dogo goalkeer Jamal Blackman alipotelea wapi?
Collwill kafanya nini?Toa Collwill hapo , tuna Badiashile yule kijana ni makini na anatosha sijui kwanini tunang'ang'ania huyu pimbi kwenye dharau anayeitwa collwill