Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wameuza wachezaji wengi halafu wanasajili magalasa na madogo na kuwatoa mikopo Cha ajabu wanataka ligi ianze mapema yani wakimaliza nafasi ya 12 msimu ujao basi mganga wao sio tapeli
20230715_110011.jpg
 
Lukaku kabadili gia angani, sasa anaitaka Juventus. Anapigiwa simu na Inter kaweka busy
Juventus kwa upande wao wameshasubmit bid ya Euro 37.5m na addons ya 2.5m jumla Euro mil 40 ambazo ndizo Chelsea walikuwa wanataka.

Kwa upande wao Inter Milan wamesubmit bid ya Euro mil 35 na addons za 5m

Sasa bidding war kati ya Juve na Inter

Juve na Inter wanamhitaji sana striker level ya Lukaku kwa sababu wote kwa sasa hawana striker
Dusan anaweza akahamia PSG, Spurs au Chelsea
Inter wao Dzeko alishahamia Ligue 1 na Lukaku mkpo wake na Inter uliisha so wanamhutija ile mbaya
Watupe mil 40 yetu ili tuchacharike kumtafuta striker au hata tumnunue Rayan Cherki

1689423231263.png
 
Fabrizio Romano
Lukaku deal situation
◉ Inter final bid: €35m plus €5m add ons.
◉ Inter have still NO answer from Lukaku to close the deal.
◉ Juventus sent €37.5m + €2.5m bid to Chelsea — but ONLY valid if they sell Vlahović.
◉ Lukaku spoke to Juventus; Inter not happy with that.
 
Japo hakufanya vizuri msimu ulioisha kama alivyofanya Florentina, Dusan ni mchezaji kijana 23yr na anaweza kuja kuwa striker mzuri Chelsea. Kwa maoni yangu Chelsea wangejitupa huko kugamble kwa kubadilishana na Lukaku + 20m Euro
1689425389670.png
 
Bado Chelsea wapo na wamesubmit bid wiki hii baada ya kukutana na agent wake jijini London
Anauzwa Euro 25
Huyu ni playing maker na mfungaji mzuri
Samba ya kibrazili iko hapo, type ya akina Ronaldinho
Crystal palace nao wamo na wamesubmit bid yao pia

1689444009156.png
 
Bado Chelsea wapo na wamesubmit bid wiki hii baada ya kukutana na agent wake jijini London
Anauzwa Euro 25
Huyu ni playing maker na mfungaji mzuri
Samba ya kibrazili iko hapo, type ya akina Ronaldinho
Crystal palace nao wamo na wamesubmit bid yao pia

View attachment 2689276
Tetesi zimekuwa nyingi sana Chelsea bila kusajili kama hatuna uhitaji wowote
 
BREAKING NEWS:
Inter Milan have pulled out of the Romelu Lukaku race due to the player negotiating with Juventus. It’s over between Lukaku and Inter. (@DiMarzio)

Hwa Inter wanajifanya wana hasira kumbe wameishiwa pesa, hawana pesa, wako broke

View attachment 2688943
Mbona umeseman hapo juu kuwa Hela wanayo sema tunwamekasirishwa na huyu jamaa kuongea na mpinzani wao? Unasema kuwa timu za mpira hazina mihemko ya kijinga kama watu wa kawaida kususa susa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom