Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

***** huyu ndo mchezaji wetu tegemezi msimu haujaaza tayar misuli inamuuma
20230714_151716.jpg
 
***** huyu ndo mchezaji wetu tegemezi msimu haujaaza tayar misuli inamuumaView attachment 2687789
Niliongea juzi hapa Kuna mtu alikuwa anajipangia lineup ,nikamuuliza James na chillwell hawawez kwenda mechi 5 bila kusalimia manesi

Nikasema Astonvilla ana kikos kikali had kocha kuliko Chelsea ,ila wanazi na wafia timu hawataki kukubali

Astonvilla Sasa hivi anamtaka Mousa Diaby , ana Leon Bailey , viungo Douglas Luiz ,Tielemans ,Ramsey ,Buendia , ana CF hatari Watkins

Ana backline Ya Pau Torres na Diego Carlos ,Kipa Emi Martinez

Chelsea ana tegemea kina mudrky na Sterling jumlisha kina madueke ,

Huu utani kabisa hata mtani wangu Flano na manyumbu yake hawako dhaifu kiasi hicho
20230714_151044.jpg
 
Panga la FFP

Vilabu vilivyo na hatia kwa kukiuka masharti ya mwaka wa fedha wa 2019, 2020, 2021 na 2022 au walikuwa na matatizo na ripoti yao, kulingana na CFCB First Chamber ni.

Antwerp
Trabzonspor
Barcelona
Man United
Konyaspor
Apoel FC
Riga

Chelsea Haikutajwa
 
Niliongea juzi hapa Kuna mtu alikuwa anajipangia lineup ,nikamuuliza James na chillwell hawawez kwenda mechi 5 bila kusalimia manesi

Nikasema Astonvilla ana kikos kikali had kocha kuliko Chelsea ,ila wanazi na wafia timu hawataki kukubali

Astonvilla Sasa hivi anamtaka Mousa Diaby , ana Leon Bailey , viungo Douglas Luiz ,Tielemans ,Ramsey ,Buendia , ana CF hatari Watkins

Ana backline Ya Pau Torres na Diego Carlos ,Kipa Emi Martinez

Chelsea ana tegemea kina mudrky na Sterling jumlisha kina madueke ,

Huu utani kabisa hata mtani wangu Flano na manyumbu yake hawako dhaifu kiasi hichoView attachment 2687988
Kwani shida yako nini, au ndio unataka tukukaribishe darajani nini?
 
Kwa hali nakushangaa Sana unavyokuja jukwaa la Arsenal kutupigia kelele

Hapo bado Chillwell ,bado mudrky na Sterling wanahitaji nafasi 10 wafunge goli 1

View attachment 2687989
Msimu ujao namaliza juu y Arsenal, mnategemea ubingwa mpewe na kina martinell?! cjawahigi kumuelewa huyu mchezaji anakimbia kimbia tu na mpira uwanjani akiwa ameangalia mpira.
Niliongea juzi hapa Kuna mtu alikuwa anajipangia lineup ,nikamuuliza James na chillwell hawawez kwenda mechi 5 bila kusalimia manesi

Nikasema Astonvilla ana kikos kikali had kocha kuliko Chelsea ,ila wanazi na wafia timu hawataki kukubali

Astonvilla Sasa hivi anamtaka Mousa Diaby , ana Leon Bailey , viungo Douglas Luiz ,Tielemans ,Ramsey ,Buendia , ana CF hatari Watkins

Ana backline Ya Pau Torres na Diego Carlos ,Kipa Emi Martinez

Chelsea ana tegemea kina mudrky na Sterling jumlisha kina madueke ,

Huu utani kabisa hata mtani wangu Flano na manyumbu yake hawako dhaifu kiasi hichoView attachment 2687988
Hata nyie Arse88 mna uwezo wa kumfunga huyo A.vila?
Arse88 hamna kikosi kiKali kama unavyowaaminisha wenzako.
 
Timu ya Pre seaosn hiyo hapo

1689351253845.png
 
Msimu ujao namaliza juu y Arsenal, mnategemea ubingwa mpewe na kina martinell?! cjawahigi kumuelewa huyu mchezaji anakimbia kimbia tu na mpira uwanjani akiwa ameangalia mpira.

Hata nyie Arse88 mna uwezo wa kumfunga huyo A.vila?
Arse88 hamna kikosi kiKali kama unavyowaaminisha wenzako.
Huyo Astonvilla napiga nje ndan Kama last season

Kama hujaandaa timu Villa atawatafuna nawaambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom