Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

20230710_150453.jpg
 
Pochettino amezuia Ian Maatsen asiuzwe au kutolewa mkop hadi amuone akicheza pre-season
Tulitegemea hii kwa sababu Maatsen anaweza kuwa mzuri sana na successor mzuri wa Chilwell
Misimu yote miwili iliyopita ya Maatsen alicheza vizuri na ni mpambanaji anayejua kucheza
1689014142178.png
 
Lukaku alitakiwa awe mchoma nyama na sio mchezaji wa mpira wa miguu kwa sababu hatumii akili sawasawa. Anawezaje kukataa dili kubwa kama hilo la Saudia wakati yeye tayari ana miaka 30?
1689063671869.png
 
Unasikia kutoka wapi? Acha ujuaji
Hivi hii guts ya kumshabulia mtu usiyemjua na huna unalojua lolote kuhusu mada unazipata wapi? au ndio tabia yako? Afadhali mtu anishambulie akiwa na data. Sitakusema zaidi ya hapa, wengine watakuhukumu
 
Yeeess. Hii Sasa ndiyo Chelsea tunayoijua. Warembo. Achaneni na mpira muendelee kupost vitu vya maana zaidi kwenu kama hivi. Mpira tuachieni siye au hata manyumbu akina Flano.

Kuanzia hapa hili jukwaa libadilike kuwa mdogo wa like lingine la picha za warembo wakali worldwide. Shusheni vyuma Chelkenge acheni kujiabisha story za mpira
 
Mademu wa Chelsea wazuri bana sio kama hao wa Arsenal
 
Kuna uwezekano mkubwa Rayn Cherki akamfuata meti wake wa Malo Gusto darajani.

Chelsea wanajiandaa kupeleka ofa Lyon ya kumsajili Cherki

Better than Veiga
Better than Havertz
Better thana Mount
Just at 19yo
Kwa maoni yangu
1689103842909.png

1689103769552.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom