hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,438
- 27,016
Hii timu naiona ikigombea kushuka daraja Tena msimu huuHiiii Chelsea hata sijui inataka wachezaji kuyoka sayari gani ssa kma wachezaji wazuri halafu unawatoa kwa mkopo
Hii timu naiona ikigombea kushuka daraja Tena msimu huuHiiii Chelsea hata sijui inataka wachezaji kuyoka sayari gani ssa kma wachezaji wazuri halafu unawatoa kwa mkopo
Mi upuuz Sana hata huyu Andrey Santos walikuwa wanataka kumtoa kwa mkopo kabla hata ya kucheza pre season , Pochettino ndio akasema No ,Ngoja amcheki kwanza kwenye prea season hata yule mbrasil mwingine Angel Pochettino naye kasema anataka amcheki kwenye pre season .Hiiii Chelsea hata sijui inataka wachezaji kuyoka sayari gani ssa kma wachezaji wazuri halafu unawatoa kwa mkopo
Hii timu isharudi back 2005, msiwe na matarajio yoyoteMi upuuz Sana hata huyu Andrey Santos walikuwa wanataka kumtoa kwa mkopo kabla hata ya kucheza pre season , Pochettino ndio akasema No ,Ngoja amcheki kwanza kwenye prea season hata yule mbrasil mwingine Angel Pochettino naye kasema anataka amcheki kwenye pre season .
Unaongea upuuziHii timu isharudi back 2005, msiwe na matarajio yoyote
Sitashangaa mkigombea kushuka daraja msimu ujao Kama last season sikuwa surprised maana niliyaona toka pre season tunawapiga 4-0
Hata mwaka Jana wakat mnasajili ovyo, mna hijack deals za watu ovyo mlisema naongea upuuziUnaongea upuuzi
Asisingizie wachezaji, uwezo wake wa ukocha ni mdogo sanaa. Kama huamini ngoja aje apewe timu hatakaa hata miez sita atakua ameshafukuzwa.Frank Lampard hatimaye afunguka kuhusu kilichotokea Everton an Chelsea katika Ukocha wake
Asema alichokiona kwenye mazoezi ni kwamba
"Viwango vya wachezaji havikuwa vinatosha"
"Kuna wachezaji watakujaribu jaribu na kukuul;iza maswali"
Leo nimeangalia marudio ya manjesta na man shitye aise kumbe matakataka man shitye yalipigwa na manyumbu😄😄Ligi inaanza wiki ijayo, kikosi kipo tayar Havertz ndio foward wetu mpya.
Arteta anamjua vizuri Kai kuliko makocha wa chelseaEti Kai hakuwa na furaha Chelsea sasa ndio ana furaha kujiunga na Arsenal
Mmeliwa ninyi
View attachment 2687183


Chelsea leading the race to sign wonderkid Rayan Cherki from Lyon
Lyon think 50M Euro is appropriate as price tag but Chelsea value him at arround 40m Euro
Negotiations are ongoing
View attachment 2686843
Yeeess. Hii Sasa ndiyo Chelsea tunayoijua. Warembo. Achaneni na mpira muendelee kupost vitu vya maana zaidi kwenu kama hivi. Mpira tuachieni siye au hata manyumbu akina Flano.
Kuanzia hapa hili jukwaa libadilike kuwa mdogo wa like lingine la picha za warembo wakali worldwide. Shusheni vyuma Chelkenge acheni kujiabisha story za mpira


Kama vipi tumuombe tu Moderator aliunganishe hili jukwaa na Thread ya picha za warembo wakali worldwide.Kama vipi tumuombe tu Moderator aliunganishe hili jukwaa na Thread ya picha za warembo wakali worldwide.
Yaani Chelsea washajikatia tamaa kabisa kwenye soka, sasa hivi wanaona bora hata wawasifie tu dada zao kua ni pisikali.
Lishakua timu la maMiss hili.