Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dogo yuko vizuri, binafsi namkubali sana. Huu usajili mimi nauunga mkono ila sio ule wa Jackson.
Kuna uwezekano mkubwa Rayn Cherki akamfuata meti wake wa Malo Gusto darajani.

Chelsea wanajiandaa kupeleka ofa Lyon ya kumsajili Cherki

Better than Veiga
Better than Havertz
Better thana Mount
Just at 19yo
Kwa maoni yangu
View attachment 2685283
View attachment 2685281
 
Sijawalinganisha katika nafasi wanazo cheza, mimi namanisha usajili wa Jackson ni wakipuuzi hakupaswa kusajiliwa bora tungekomaa na Fofana tu.
Ila Cherki huwezi mlinganisha na Nico
Cherki anacheza nafasi ya CAM/No 10 au winga wa kulia, Nico yeye ni striker
 
Joey Veerman unamjua?
Aisee mimi naona tu ni bora wakomae naye hata ikibidi walipe hiyo mil 100, DM kama Caicedo mwenye umri mdogo na aliyekwisha komaa, aliyeko sokoni kwa sasa ni ngumu kumpata
 
Skauti wa Chelsea ni wapuuzi sana kila siku wanatuletea magharasa na tunapigwa sokoni kila uchwao. Walahi mimi ningekuwa kwenye sekta ya uskauti hapo Chelsea mngependa wenyewe. Nina jicho na kipawa cha kuona mchezaji mzuri, kuna baadhi ya wachezaji niliwahi waandika hapa na wakafanya vizuri na bado wako vizuri mpaka leo, Toney ni mfano wao.

Huyu Caisedo ni wa kawaida sana ni anakuzwa tu, kuna wachezaji wazuri tu huko kwenye ligi tofauti mfano kuna dogo anaitwa Joey Veerman kutoka pale PSV huyo Caisedo haiingi ata robo kwa huyo dogo.
Si waachane nae, watafute mwingine? kwani dunia nzima yupo mwenyew.
 
Na msimu ulioisha tumefanya upuuzi sana wa kutompa muda wa kutosha yule dogo Fofana kucheza ,tunafail sana . Mtu lazy kama Havettz ndio alikuwa anapewa muda sana ,huu ni ujinga ,Datro Fofana hakupewa muda kabisa
Mpaka nashindwa kuelewa huwa uongozi unaplan zipi wanapomnunua mchezaji. Fofana alihitaji kuaminiwa na apewe muda kuzoea ligi. Ndio maana wachezaji kama hao wakienda Brighton wanaaminiwa wanapewa muda na wanakuja kuwa wachezaji wa mil 100
 
Lukaku, Odoi, Aubameyang na Ziyech wameambiwa na Pochettino wasije kwenye mazoezi ya Chelsea hadi 17 July 2023
Wao walitakiwa kuripoti 12 July 2023 yaani leo Jumatano
Sababu za ucheleweshwaji huu ni kwa sababu bado wako sokoni wanatafutiwa mnunuzi
Lukaku: tunasubiri bid iliyoboreshwa ya Inter
Auba: tunasubiri bidy ya Steve Gerrard
Ziyech: tunasubiri bid kutoka Saudi
Odoi: tunasubiri bid ya Nottingham Forest
 
2023/2024 = 4 - 2 - 3 - 1

------------ Jackson ------------

Mudyk - Nkunku - Madueke

------- Caicedo ---- Enzo --------

Chil - Colwil - Silva - James

Lazima tumchane chane nyumbu placenta.
Ila Kuna utamu kuifunga Manchester naona maana kila uzi ukipita kila timu inaiwaza kuifumua man u tu dah
 
From Chelsea Legend to Real Madrid greatest flop of all time
Eden Hazard kaifungia Real Madrid goli saba tu katika miaka minne aliyoichezea timu hiyo ya ndotoni mwake
 
Mpaka nashindwa kuelewa huwa uongozi unaplan zipi wanapomnunua mchezaji. Fofana alihitaji kuaminiwa na apewe muda kuzoea ligi. Ndio maana wachezaji kama hao wakienda Brighton wanaaminiwa wanapewa muda na wanakuja kuwa wachezaji wa mil 100
Hiiii Chelsea hata sijui inataka wachezaji kuyoka sayari gani ssa kma wachezaji wazuri halafu unawatoa kwa mkopo
 
IMG_20230712_132226_524.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom