Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu ndio kocha tunayemuhitaji kwenye team nadhani ameona vizuri team akiwa nje, mambo mengi aliyoongea ndio yalikuwa madhaifu ya team yetu msimu uliyopita

Huyu mpeni muda na uvumilivu. Anayoongea si mambo mageni na ni basics tu za coaching. Changamoto yake yeye mwenyewe kama kocha ni kuwa ndani ya misimu michache ameshafundisha timu 2. Moja aliifikiwha mbali ikiwa na mastaa wachache tu kina Kane na Son, nyingine Ina mastaa kibao ambao nasikia alishindwa kuwamudu. Hapa ana vijana wenye vipaji sana. Kazi yake ni simple. Watumie vijana hao vizuri. Mengine yatakuja Kwa mserereko tu.
 
Leo ndiyo nimeamini mashabiki wa arsenal viraza aisee mtu unamwambia ivi yeye anaongea kitu kingine kabisa
Halafu ule muda nilitaka nikushtue kua hao sio wazima vichwani achana nao, sema nilishindwa kucomment mana kuna jambo nilikua nalifanya.
Ukitaka kujua sio wazima wanakwambia achievement yao msimu uliopita ni kuingia big 4.
 
Barcelona wanamtaka Andrey Santos na wameshamuulizia ili awe replacement ya Sergio Busquets
mnasemaje?
1688791040927.png
 
Wale wambeya, wachonganishi na wafitini kuwa
Tumemuuza
Havertz na tukamleta Nkunku
Mount na tutamleta Cherki au Veiga
Jorgninho na tukamleta Enzo
Cheek na tukamleta Andrey Santos
Pulisic na tukamleta Mudryk
Kovacic na tutamleta Caicedo
Koulibally kwa Badiashile na Colwil
Tumewaleta pia akina
Cesare
Madueke
Nicolas
Bado tunasajili...
 
Hii kiherehere Pochettinho amekuja nayo ndio Tuchel pia alikuja nayo mpaka akatuambia he wants to build a team nobody will wish to meet
Huyu we muache tu anajifanya mjuaji vipigo vikitawala ataongea maneno sahihi.

Anakwambia yy hatak excuses yy anatk kushinda tu.
 
According to Relevo, Atletico Madrid want to sell Joao Felix by all means but won't willing to accept any fee less than €100m.
1688812553096.png
 
Je, kama mtamchukua Caecedo, mtamtumia kama alivyokuwa anatumika Brighton? Au mna plan nyingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom