hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,667
- 27,550
A:- Silaha za Nuclear
1. Mudyk
2. Nkunku
3. Jackson
4. Madueke
B:- Maji washawasha
1. Enzo
2. Santos
3. Caicedo
C:- Kamikaze/Silaha ya kujitoa mhanga
1. Sterling
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Caicedo mmemsajii lini
Mudrky huyo hawana tofaut na Sterling nafas 10, Goli 1
EPL hii unataka kushindana unaweka kina Santos, serious?
Chelsea ile yakusajili miamba kweli kweli imeshaondoka , Sasa hivi mmekuwa nyuki wa mashineni