Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Expected New Short Sponsor
1688830425610.png
 
Kwa maana hiyo Chelsea inashuka daraja?
Like last season tu ,Tena kikos hiki Bora Cha mwaka Jana , mbele unamtegemea Sterling na mudrky ambao wanahitaji nafasi 10 wafunge Goli 1 , una mafull backs ambao trip shamba trip garage

Kaangalie vikos vya astonvilla, Brighton, Newcastle , fananisha na hicho Cha kwenu had benchi
 
Wewe unaongea kiwivu wivu vile, unaona vifaa vinazidi kuletwa na sasa panic imewajaa sana. Poleni
 
Wewe unaongea kiwivu wivu vile, unaona vifaa vinazidi kuletwa na sasa panic imewajaa sana. Poleni
Hakuna wivu, vifaa gan hapo vimeletwa? Nakumbuka mwaka Jana ulikuwa mbishi Sana wakati mnasajili ovyo ovyo , Sasa angalia XI yako ,jilinganishe na wengine ,uone pale top 10-7 unamchomoa nani
 
Huyu kijana ni CB mzuri sana kwenye kukaba
Ukabaji wake japo bado mdogo ni kama ule wa Makelele kwenye DM

Samuels anasema baada ya kutangazwa mchezaji wa Chelsea hiyo Jana ya 8/7/2023
‘Ilikuwa mshtuko kwangu kwa sababu yote yalitokea haraka, lakini nina furaha sana kuwa hapa. Itakuwa uzoefu mzuri kuja katika klabu kubwa kama hii. Itakuwa changamoto mpya kwa sababu kuna wachezaji bora hapa, kwa hivyo nitalazimika kuzoea haraka na kupitia viwango.'

‘It was a shock to me because it all happened quickly, but I’m really glad to be here. It’s going to be a good experience coming into such a big club. It will be a new challenge because there are top players here, so I am going to have to adapt quickly and get through the levels.’
1688873988835.png

1688878356147.png
 
Hakuna wivu, vifaa gan hapo vimeletwa? Nakumbuka mwaka Jana ulikuwa mbishi Sana wakati mnasajili ovyo ovyo , Sasa angalia XI yako ,jilinganishe na wengine ,uone pale top 10-7 unamchomoa nani
Mlikuwa mnawasema vibaya wachezaji wetu kabla hatujasajili hovyo hovyo kama usemavyo ila tulipowaweka sokoni mligongana vikumbo kuwania kuwanunua. Hapo vipi?
 
Mlikuwa mnawasema vibaya wachezaji wetu kabla hatujasajili hovyo hovyo kama usemavyo ila tulipowaweka sokoni mligongana vikumbo kuwania kuwanunua. Hapo vipi?
Unaweza kuleta comment au ushahidi hapa nikiwasema Kai na Jorginho ? Mount ,Kepa , Sterling,kukurela hao ndio huwa nasema hakuna wachezaji hapo
 
Juventus wamekataa ofa ya awali ya Euro milioni 60 kutoka kwa Chelsea kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji Dusan Vlahovic. Sababu ya kukataa ni muundo wa malipo ulikuwa sio sahihi. Mazungumzo yataendelea wiki ijayo

Bayern Munich nao walikuwa wanamtaka mshabuliaji huyo mwenye miakla 23 ila wameonyesha nia ya kawaida tu
 
2023/2024 = 4 - 2 - 3 - 1

------------ Jackson ------------

Mudyk - Nkunku - Madueke

------- Caicedo ---- Enzo --------

Chil - Colwil - Silva - James

Lazima tumchane chane nyumbu placenta.
siwaoni mkitoboa kwa kikosi hiki. mna hari mbaya sana mtapewa chapo sana.
 
Juventus wamekataa ofa ya awali ya Euro milioni 60 kutoka kwa Chelsea kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji Dusan Vlahovic. Sababu ya kukataa ni muundo wa malipo ulikuwa sio sahihi. Mazungumzo yataendelea wiki ijayo

Bayern Munich nao walikuwa wanamtaka mshabuliaji huyo mwenye miakla 23 ila wameonyesha nia ya kawaida tu
Serious?
 
2023/2024 = 4 - 2 - 3 - 1

------------ Jackson ------------

Mudyk - Nkunku - Madueke

------- Caicedo ---- Enzo --------

Chil - Colwil - Silva - James

Lazima tumchane chane nyumbu placenta.
oya hiki kikosi bado kwa highest level kupambana , hapo muddy na Sterling kosa kosa Kama Mia

Mabeki pancha Kama zote

Kazi mnayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom