Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 902
- 2,836
Lakini wakiwa na vitu vizuri huwezi kuwagomea, mti wenye m,atunda mazuri lazima tu utapandwa hata kama ni mgumu kuupandaHili deal la caicedo limechukua muda sana yani adi inakera sasa hawa Brighton sio wa kufanya nao biashara tena
Psg wamekaribia kukamilisha hilo deal la viega naona Chelsea tunahusishwa na cherkiLiverpool hawamtaki tena Veiga wameshampata yule wa RB Leipzig
Kiburi cha ziyech ni kipi?Tuacheni mawazo ya stone age.
Wachezaji viburi, wanaojisikia kama Ziyech hawastaili kubaki kikosini. Tuendelee kusafisha nyumba.
Tujenge kizazi kipya cha wachezaji ambao wako tayari kupokea maelekezo kutoka kwa kocha na zaidi kupigania jezi kwa moyo wote.
Hili nalo ni jambo la kuuliza?Kiburi cha ziyech ni kipi?
Huyu ndio kocha tunayemuhitaji kwenye team nadhani ameona vizuri team akiwa nje, mambo mengi aliyoongea ndio yalikuwa madhaifu ya team yetu msimu uliyopita"We need to be team that shows togetherness, cares about the club, cares about the fans, and that fights until the end for the badge. That’s the most important thing. The fans need to feel that all the players [in games] are going to die for the club."
"Tunahitaji timu inayoonyesha umoja, kuijali klabu, kuwajali mashabiki, na ambao wanapigana hadio mwisho kwa ajili ya beji. Hiyo ndio kitu muhimu zaidi. Mashabiki wanahitaji kujisikia kuwa wachezaji wote mchezoni wanaenda kupigana hadi kuifia timu"
View attachment 2677649
Caicedo anakuwa Bora kwa Rice sababu zipi ?Caicedo update
Mazungumzo yalifanyika Ijumaa, jumamosi, jumapili na leo na bado yanaendelea
Chelsea wametoa Paundi mil 70 na addons za mil 10 na Brighton wamekataa, wanataka paundi mil 100
Kunamjadala sehemu kule Twitter ulinivutia shabiki mmoja akasema wakikataa paundi mil 85 Chelsea wajitoe
Mashabiki wengi walimlipukia na kumuambia hakuna kujitoa, hata tukilipa zaidi ni sawa
Caisedo ni bora kuliko Rice, Beligham waliouzwa zaidi ya Paundi mil 100
Mwingine akasema tumejitoa kwa Rice, Ugarte, Lavia na huyu tujitoe? haiwezekani
Mwingine kasema Shut you mouth
View attachment 2678213
Shabiki wa arsenal kwenye uzi wa Chelsea unatafuta nnCaicedo anakuwa Bora kwa Rice sababu zipi ?
Kama unataka kucheza Lone 6 , Basi Rice Ni the best
Sijui pale England kila timu inapenda kuji pambanisha na man u kwa kila kitu.Chelsea Vs Man United H2H since 1995
Played 73 Games
United won 21 games
Total goals 94, PPG 1.3,
Chelsea won 23
Total goals 93, PPG 1.3,
Drew 29.
Sasa hivi Ni aibu kujipambanisha na manjesta ,timu iliyofilisikaSijui pale England kila timu inapenda kuji pambanisha na man u kwa kila kitu.
| Manchester United are operating under takeover uncertainly, strict FFP regulations which means they’re operating around £100m net spend in mind. 