Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapo ndipo uelewa wako umeishia?
Wivu - kutamani mali au hali nzuri aliyonayo jirani yako, hii hali yetu ya kununua wachezaji ambapo ninyio hamuwezi ndio jealousy mliyonayo kubwa hasa mashabiki wa Manure - mbolea na Arse8 Anal
Jealousy will kill you my friends, this is just football, a game nothing else
Huna akili
 
Lembu naona kama unanikosea heshima sijawahi kuibizana na wewe. Kitu cha ajabu unanifananisha na mashabiki wa Manure na asenyeto wakati Mimi ni The Blues.

Nimekusamehe japo hujaniomba msamaha. Mimi sio mtu wa malumbano

Sorry, nilijibu haraka nikidhani ni kati ya hao kumbu jiwe lime ml;enga ndugu kabisa
Wale manure na Arsenal wanatia hasira sana, walitusodoa kuhusu wachezaji wetu kwamba hakuna anayepata namab kwenye squad yao kumbe walikuwa wanawahusudu tu na sasa imedhirika walivyowakwapua Mason Mount na Kai Havertz. Kumbe sisi tumewatumia na sasa tunafagia ili tuingize mali mpya wao wanaona lulu wakati waliwakashfu na kuwadharau
 
Dili la Caisedo ni kama limeisha

Mrejesho huu hapa

Chelsea wametoa Paundi mil 75 na addons za mil 10
Chelsea na Brighton sasa wamejikita kwenye mfumo mzuri wa malipo

Bayern Munich walijitoa kwa sababu walipomuendea wakalaw a Caicedo walikuta Caicedo tayari alikuwa na mkataba wa mdomo na Chelsea - Christian Falk
View attachment 2678664

Hata hizi takataka zingine nahisi walifyata mkia kwa sabbau hiyo hiyo

Caisedo alishaichagua Chelsea

View attachment 2678662
Hili dili bado linaendlea, wamejifungia ndani unajua tena kufanya business na Brighton is just like hell
 
Sorry, nilijibu haraka nikidhani ni kati ya hao kumbu jiwe lime ml;enga ndugu kabisa
Wale manure na Arsenal wanatia hasira sana, walitusodoa kuhusu wachezaji wetu kwamba hakuna anayepata namab kwenye squad yao kumbe walikuwa wanawahusudu tu na sasa imedhirika walivyowakwapua Mason Mount na Kai Havertz. Kumbe sisi tumewatumia na sasa tunafagia ili tuingize mali mpya wao wanaona lulu wakati waliwakashfu na kuwadharau
Pomoja sana mkuu.
 
Jamaa kamchambua vizuri Caicedo
Kamrate Caicedo kuwa no 3 kwa ubora EPL baada ya Rodri na Fabinho

Wale kondoo wakija hapa hawatakuelewa, watamuweka mchezaji wao waliopgwa ndio namba moja.
Wataweka na vistatistics uchwara ili kumfavour, wanasema kw kua alikua anacheza timu inayozuia zaid, hivyo yy ni namba moja.
 
😂😂😂😂
 
20230705_211554.jpg
 
Tunazoa zoa, akina Boehly wamepania kweli kweli
Samuels-Smith
17yrs
LB
Deal done from Everton for 6m

Huyu kijana ni beki mzuri sana, akifikisha miaka 18 -20 tayari anafaa kwenye first team
1688613468229.png
 
Fabinho yupi?
Kuna vitu unaona unaishia kucheka tu, fabinho huyu ambaye klopp alifika muda akaona ampige benchi amtumie mtoto miaka 18 , academy ,Bajcetic , Fabinho huyu ambaye alikuwa hata kukimbia hawez tena ,akapumzika mwez mzima sababu ya world cup wakiamin atarud vzr ,ndio kwanza akawa mzigo

Fabinho ana miaka 29 tu kashapotea ,amedumu kwenye ubora miaka miwili tu,
 
Fabinho sahivi kawa mvunja kuni tu hamna kitu pale
 
Kenge za darajani mpo?

Nawakumbusha tu, siku za kuendelea kunenepa zimebaki chacheView attachment 2680127
Usijisahaulishe tu , hii ni product ya Cobham academy ya Chelsea football club ,the greatest club in London ,we jitoe ufahamu tu , Kwahiyo ukituita sisi Kenge jua tu Declan Rice ni product ya Kenge so hata Declan Rice ni Kenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom