Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,696
Ila mchezaji anayeshine Chelsea ni wa kuheshimiwa aisee ,ni ninaamini kushine Chelsea inabidi uwe vizuri kweli na si tia maji maji , wengi wametepeta pale darajani ukiachana na exceptions chache kama akina Salah na KDB ambao ni uzembe wa makocha kutowapa muda wa kutosha .
Darajani si pa mchezo mchezo
Darajani si pa mchezo mchezo


