allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,337
- 10,993
Wewe ndo ukae kimya tena uwezi kumaliza wiki ujaitaja man u kwanza man u iliyofilisika inaweza kuwa Mpaka na 120 ya usajili wakati hata arsenyani hela kama hizi uwaga aina.Sasa hivi Ni aibu kujipambanisha na manjesta ,timu iliyofilisika
[emoji599]| Manchester United are operating under takeover uncertainly, strict FFP regulations which means they’re operating around £100m net spend in mind. [emoji383]
[via @MelissaReddy_].