Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hii ni team ya waarabu nishasema ..
Nasikia Brighton wameweka kizingiti tena, so mambo bado ni magumu. Kufanya business na Brighton ni changamoto kubwaDili la Caisedo ni kama limeisha
Mrejesho huu hapa
Chelsea wametoa Paundi mil 75 na addons za mil 10
Chelsea na Brighton sasa wamejikita kwenye mfumo mzuri wa malipo
Bayern Munich walijitoa kwa sababu walipomuendea wakalaw a Caicedo walikuta Caicedo tayari alikuwa na mkataba wa mdomo na Chelsea - Christian Falk
View attachment 2678664
Hata hizi takataka zingine nahisi walifyata mkia kwa sabbau hiyo hiyo
Caisedo alishaichagua Chelsea
View attachment 2678662
Twitter itashake au kujam kwa muda Kane akihamia Chelsea
Fake news kidogo tu cheki hisia za mashabiki ilivyo
Yani Twitter isi-shake Ronaldo kurudi United au Messi kushinda World Cup ije ku-shake kwenye usajili wa Kane!?Man Shitty siku zenu kwenye EPL zinahesabika. Sasa hivi kila timu itapata funds kutoka Middle East.Hii ni team ya waarabu nishasema ..View attachment 2678891
Wivu.comYani Twitter isi-shake Ronaldo kurudi United au Messi kushinda World Cup ije ku-shake kwenye usajili wa Kane!?
Bayern Hana hela , halafu Hilo dili gumu sanaDili la Caisedo ni kama limeisha
Mrejesho huu hapa
Chelsea wametoa Paundi mil 75 na addons za mil 10
Chelsea na Brighton sasa wamejikita kwenye mfumo mzuri wa malipo
Bayern Munich walijitoa kwa sababu walipomuendea wakalaw a Caicedo walikuta Caicedo tayari alikuwa na mkataba wa mdomo na Chelsea - Christian Falk
View attachment 2678664
Hata hizi takataka zingine nahisi walifyata mkia kwa sabbau hiyo hiyo
Caisedo alishaichagua Chelsea
View attachment 2678662
Bayern Hana hela , halafu Hilo dili gumu sanaDili la Caisedo ni kama limeisha
Mrejesho huu hapa
Chelsea wametoa Paundi mil 75 na addons za mil 10
Chelsea na Brighton sasa wamejikita kwenye mfumo mzuri wa malipo
Bayern Munich walijitoa kwa sababu walipomuendea wakalaw a Caicedo walikuta Caicedo tayari alikuwa na mkataba wa mdomo na Chelsea - Christian Falk
View attachment 2678664
Hata hizi takataka zingine nahisi walifyata mkia kwa sabbau hiyo hiyo
Caisedo alishaichagua Chelsea
View attachment 2678662
Wivu ni kutamani kitu fulani ambacho mtu anacho.Wivu.com
Ndio subiri kwa kane itakavyotokeaWivu ni kutamani kitu fulani ambacho mtu anacho.
Sasa itakuwaje wivu wakati Kane siyo mchezaji wa Chelshit.
Nilichoandika ni ukweli. Ronaldo kurudi United au Messi kushinda World Cup ilikuwa ni maelfu ya tweets kila sekunde.
Hapo ndipo uelewa wako umeishia?"Wivu ni kutamani kitu fulani ambacho mtu anacho"
Hiyo tafsiri ni potofu.
Wivu ni kutamani mtu asipate kitu furani.
We unayoshabikia ni ya nani?Hii ni team ya waarabu nishasema ..View attachment 2678891
Lembu naona kama unanikosea heshima sijawahi kuibizana na wewe. Kitu cha ajabu unanifananisha na mashabiki wa Manure na asenyeto wakati Mimi ni The Blues.Hapo ndipo uelewa wako umeishia?
Wivu - kutamani mali au hali nzuri aliyonayo jirani yako, hii hali yetu ya kununua wachezaji ambapo ninyio hamuwezi ndio jealousy mliyonayo kubwa hasa mashabiki wa Manure - mbolea na Arse8 Anal
Jealousy will kill you my friends, this is just football, a game nothing else
suspicious or resentful of a perceived sexual rival.Huyu aliko enda ndio changamoto sana atajua luondoka ChelseaYale yale ya Salah na KDB? Harvetz je? Kosa jingine Chelsea wamefanya? Time will tell........View attachment 2679042
Kitendo Cha kupewa no.7 amefeli kabla hajaingia uwanjani