Hii assists Fabregas unaifananisha na ya nani kwenye wachezaji wa Chelsea wa sasa?
Enzo fernandez
Hii assists Fabregas unaifananisha na ya nani kwenye wachezaji wa Chelsea wa sasa?
Ndio naona timu zote ndugu. Kwenye mpira ndo ajenda yao na hakuna cha kuwafanyaHaya mambo yako kote koteView attachment 2677061
Mbona kama unatutangazia biashara yako kijanja.Haya mambo yako kote koteView attachment 2677061
Na ana miaka 19 tu, uchezaji wake ni kama wa Zizou au HazardDuh! Huyu jamaa ni mchezaji aiseee tukimsajili tutakuwa tumepata mtu
Gues nani huyo
Odoi mwenye miaka 18.Alex Matos
Age 18
Ni mzuri kwenye kukimbia
Mengine hana kitu kikubwa cha ku ofa
View attachment 2677171
Huyo namba mbili mbona hata sub huwa simuoniTunao hawa wachezaji waliokaa sana Chelsea baada ya wengine kuuzwa
Wachezaji saba wa kwanza watabaki unless ofa nzuri ikitokea kwa Galagher na Broja wanaweza kuuzwa
- Kepa Arizabalaga - Anabaki 100%
- Marcus Bettinelli - Anabaki 100%
- Ben Chilwell - Anabaki 100%
- Reece James - Anabaki 100%
- Thiago Silva - Anabaki 100%
- Conor Galagher - Anabaki 80%
- Armando Broja - Anabaki 80%
- Azpilicueta - To Atletico De Madrid
- Christian Pulisic - To Lyon
- Trevoh Chalobah - Inter ?
- Hakim Ziyech - ?
- Malang Sarr - to RC Strasbourg
- Aubameyang - ?
- Romelu Lukaku - to Inter
- Ethan Ampadu
- Calum Hudson Odoi - To Fulam
😂😂😂😂😂Alex Matos
Age 18
Ni mzuri kwenye kukimbia
Mengine hana kitu kikubwa cha ku ofa
View attachment 2677171
Chamsingi tumsajili caseido mwingine wa kumuongeza tutampata tu.Gabri viega to psg
KabisaChamsingi tumsajili caseido mwingine wa kumuongeza tutampata tu.
Kipa wa akiba ndio anakuwaga hivyo, hadi makipa wote wa kwanza wasiwepo kwa sababu ya injury au adhabuHuyo namba mbili mbona hata sub huwa simuoni
Wachezaji wazuri wagumu kupatikana ni DM, hawa wa kushambulia au CM wako wengi wa kiwango cha Gabi VeigaGabri viega to psg