Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unakoelekea utapigwa pipe
Kiranja wa mahubiri ya kukataza matusi atukana leo.
Mtazamaji KIVUMBI LEO
download (6).jpeg
 
Mzee unatukosea Sana heshima , hakuna mshabiki mwenye akili timamu anayebeza Uwezo wa Kai na Gorginho

Binafsi nimekuwa napingana na nyie humu kuhusu Jorgingo toka yupo kwenu hata alipokuja kwetu nilisimama kidete kumtetea , na Sasa waliomtukana wametoweka ,na chakufurahisha kocha wangu Arteta anamuamini Jorgingo kuliko hata Partey ambaye anataka kumuuza,

Kuhusu Kai hivo hivo toka yupo Germany tulimuhitaji Sana

Chakushangaza Sasa mount sijawahi kumuelewa kabisa na hajaja kwetu

Hivo usiseme hao wachezaji wabovu sababu walifeli kwenu

Kwangu mm Jorginho na Kai Ni wachezaji Bora Sana ,Kama Kai hamjafaidi kabisa
Sisi tunamjua Jorginho kuliko ninyi wapita njia
Kai kapendelewa muda kuliko wachezaji wengi tena ambao wangecheza vizuri kuliko yeye
Pulisic kwa mfano angepewa muda aliopewa Havertz angetupa magoli mengi zaidi
Havertz anaweza akageuka akacheza vizuri kule Arsenal kwa kocha mpya na mfumo mpya ila kwa Jorginho, mtamuweka benchi tu awatie moyo wale academy wa Arsenal
 
Mzee unatukosea Sana heshima , hakuna mshabiki mwenye akili timamu anayebeza Uwezo wa Kai na Gorginho

Binafsi nimekuwa napingana na nyie humu kuhusu Jorgingo toka yupo kwenu hata alipokuja kwetu nilisimama kidete kumtetea , na Sasa waliomtukana wametoweka ,na chakufurahisha kocha wangu Arteta anamuamini Jorgingo kuliko hata Partey ambaye anataka kumuuza,

Kuhusu Kai hivo hivo toka yupo Germany tulimuhitaji Sana

Chakushangaza Sasa mount sijawahi kumuelewa kabisa na hajaja kwetu

Hivo usiseme hao wachezaji wabovu sababu walifeli kwenu

Kwangu mm Jorginho na Kai Ni wachezaji Bora Sana ,Kama Kai hamjafaidi kabisa
Hapo kwa kai na jorginho umetupiga na kitu kizito hawa wachezaji ni wazuri kwa kiwango cha kawaida kwasababu wanamapungufu makubwa sana kai, ni mzuri kwenye kufanya movement ila ukiachana na hilo ni mchezaji legelege, sio finasher mzuri, hajua kufanya press na kuhold mpira ndio maana rahisi kwake kunyan’ganywa mpira. Tukija kwa jorginho ni mzuri kwenye kupossess mpira na kucontrol game ila udhaifu wake mkubwa yupo slow, back pass nyingi kuliko forward pass, sio mkabaji mzuri na pia hawezi kucheza dhidi ya opponent inayopress sana anakuwa more exposed. Frank de jong anasifika kuwa moja ya best midfielder ni kwasababu ana offer vitu vingi sana kwenye team na ni nadra sana kuona udhaifu wake
 
Chelsea msimu uliopita
lineups 38 kwenye mechi 38, wastani wa kila mechi ya ligi na line up yake
Injuries 10.7 kwenye dakika 1000, wastani wa mchezaji mmoja kwend amajeruhi kila kila mechi
Takwimu za ajabu sana hizi
 
Hapo kwa kai na jorginho umetupiga na kitu kizito hawa wachezaji ni wazuri kwa kiwango cha kawaida kwasababu wanamapungufu makubwa sana kai, ni mzuri kwenye kufanya movement ila ukiachana na hilo ni mchezaji legelege, sio finasher mzuri, hajua kufanya press na kuhold mpira ndio maana rahisi kwake kunyan’ganywa mpira. Tukija kwa jorginho ni mzuri kwenye kupossess mpira na kucontrol game ila udhaifu wake mkubwa yupo slow, back pass nyingi kuliko forward pass, sio mkabaji mzuri na pia hawezi kucheza dhidi ya opponent inayopress sana anakuwa more exposed. Frank de jong anasifika kuwa moja ya best midfielder ni kwasababu ana offer vitu vingi sana kwenye team na ni nadra sana kuona udhaifu wake
Amezoea kuwadanganya kondoo wenzake kule, amesahau anataka atudanganye na sisi.
Hataki kukubali kua wamepgwa😂😂
 
Dakika ya 19 kijana wa miaka 19 aitwaye Rayan Cherki aifungia Ufaransa goli kwenye michuano ya UEFA kwa vijana U21
Huyu Rayan Cherki ni mmojawapo wa wachezaji walio kwenye orodha ya usajili wa Chelsea msimu huu kwenye eneo la Kiungo mshambuliaji ili kuziba nafasi ya Mount na Havertz
 
Mudryk aipatia Ukraine penalty dk ya 31
Matokeo sasa ni

Ufaransa 1
Ukraine 1

Baada ya kusababisha penalty dk ya31 sasa ktk Dakika ya 44 Mudryk anatoa assist na sasa matokeo yamegeuzwa
Ufaransa 1
Ukraine 2

Hayo ndio mambo Mudryk ataanza kufanya Chelsea muda sio mrefu
 
Poche ashindwe tu mwenyewe
Atawafaidi sana hawa wachezaji

Akiweza haya atafanikiwa sana

Utumiaji nguvu ya mchezaji (Strength) na stamina ndio suala kuu msimu uliopita likifuatiwa na uwezo wa kukaa na mpira (Ball control) na ustadi katika upigaji wa mpira na kutoa pasi (clinicality on shooting and passing) ikifuatiwa na masuala mengine kama vile kurejesha (recoveries), kushinda mipira ya pili (wining second balls) na pressing nk
 
Baada ya kusababisha penalty dk ya31 sasa ktk Dakika ya 44 Mudryk anatoa assist na sasa matokeo yamegeuzwa
Ufaransa 1
Ukraine 2

Hayo ndio mambo Mudryk ataanza kufanya Chelsea muda sio mrefu

Kuna wale kondoo wanasema tumepgwa wivu kisa aliwatosa. Mudy ni bonge la mchezaji, ni vile chaknoris hakumpa tym ya kutosha, angempa tym kama alizokua anampa Havertz angeweza hata kumlindia kibarua chake.
 
Lyon wameibuka na €25m kwa Pulisic na pia namna ya malipo yao ni nzuri kuliko yaAC Milan, wakati AC Milan wao wanatoa €14m na kwa malipo ya awamu
Chelsea walikuwa wanadai hiyo €25m
Sasa mazungumzo na Lyon yamefika mbali na wanapatana tu namna ya malipo. Hapo hapo na swala la Rayan Cherki litajadiliwa. Tukumbuke kuwa Lyon walituuzia Malo Gusto Januari
1688357496637.png

Nahis kwaka huuu Chelsea amefanya biashara nzuri sana na nahis hiii safisha safisha aliwahi kufa ya PEP alipo fika CTY NA WATU WALIANZA KUPIGA KELELE ILA MATUNDA YAKE YAME CLICK VIZUR SANA JE KWETU YATA CLICK VZR NGOJA TUONE ILA NATAMAN PROJECT ITOWE MATUNDA MAANA TUMEUZA KARIBU YA KIKOSI KIZIMA KMA SI WACHEZAJI 8 OUT OF 11
 
Lyon wameibuka na €25m kwa Pulisic na pia namna ya malipo yao ni nzuri kuliko yaAC Milan, wakati AC Milan wao wanatoa €14m na kwa malipo ya awamu
Chelsea walikuwa wanadai hiyo €25m
Sasa mazungumzo na Lyon yamefika mbali na wanapatana tu namna ya malipo. Hapo hapo na swala la Rayan Cherki litajadiliwa. Tukumbuke kuwa Lyon walituuzia Malo Gusto Januari
View attachment 2676868

Duh! Huyu jamaa ni mchezaji aiseee tukimsajili tutakuwa tumepata mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom