Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

bado confirmation, tunasubiri.
No confirmation
Test ya pili ilifanyika Spain jana na majibu yakawa yale yale
Al Nassr wakaamua kumpa Ziyech mkataba mwingine kwa kupunguza 40% ya mshahara wake Ziyech akakataa hapo hapo
 
Kwa ligi ya Uingereza ilivyo sidhani kama Havertz atafanya wonders kule Arsenal. Anaweza akacheza vizuri kuliko Chelsea chini ya Arteta ila sio wonderful football. Ataendela kuwa mchezaji wa kawaida tu.
Muhimu hakuondoka kihasara na ametupa income ya kusajili mbadala
Tukimpata Rayan Cherki ana miaka 19 lakini anacheza kama ana miaka 23/25
Tutakuwa tumempata Atatcking Mildfield mzuri sana. Anacheza style ya Zinedine Zidane (ZIZOU)

Atakuwa ni mbadala wa wachezaji wa wili kwa mpigo, yaani Mount na HAvertz combined

1 Cherki = 10 Havertz
1 Cherki = 7 Mount
Mlisema hivyo wakati mnanunua mudryk kwa mahela rukuki ....KIKOWAPI Sasa
 
Kitu kimoja kizuri ndani ya Chelsea ni kwamba tuna na tulikuwa na wachezaji wazuri
Jorginho tulimuita takataka
Arseanla wao wanamuita Lulu

Havertz tulimuita Legelege
Arsenal wao wanamuita talent tena analipwa £330,000/wiki
Mason Mount tulimtukana na kumkejeli anatuzamisha
Kule UTD wanamuona ni bonge la usajili na mshahara anapewa £300,000/wiki

Walitubeza san haya mandumila kuwili ya Arsenal na Manure

Ona sasa wamewasajili wachezaji sisi tuliowaona takatakla na wao kuwafanya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa

Waje sasa hapa wakiwa na majibu sahihi
Hao taka taka mtaona utakataka wao ligi ikianza si kesho kutwa tu
 
Kitu kimoja kizuri ndani ya Chelsea ni kwamba tuna na tulikuwa na wachezaji wazuri
Jorginho tulimuita takataka
Arseanla wao wanamuita Lulu

Havertz tulimuita Legelege
Arsenal wao wanamuita talent tena analipwa £330,000/wiki
Mason Mount tulimtukana na kumkejeli anatuzamisha
Kule UTD wanamuona ni bonge la usajili na mshahara anapewa £300,000/wiki

Walitubeza san haya mandumila kuwili ya Arsenal na Manure

Ona sasa wamewasajili wachezaji sisi tuliowaona takatakla na wao kuwafanya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa

Waje sasa hapa wakiwa na majibu sahihi
Mana hata de bruyne na Salah kwenu walionekanaga takataka
 
Kitu kimoja kizuri ndani ya Chelsea ni kwamba tuna na tulikuwa na wachezaji wazuri
Jorginho tulimuita takataka
Arseanla wao wanamuita Lulu

Havertz tulimuita Legelege
Arsenal wao wanamuita talent tena analipwa £330,000/wiki
Mason Mount tulimtukana na kumkejeli anatuzamisha
Kule UTD wanamuona ni bonge la usajili na mshahara anapewa £300,000/wiki

Walitubeza san haya mandumila kuwili ya Arsenal na Manure

Ona sasa wamewasajili wachezaji sisi tuliowaona takatakla na wao kuwafanya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa

Waje sasa hapa wakiwa na majibu sahihi

Tumefanya makosa ya kijinga sana Kwa kweli
 
Mzee unatukosea Sana heshima , hakuna mshabiki mwenye akili timamu anayebeza Uwezo wa Kai na Gorginho

Binafsi nimekuwa napingana na nyie humu kuhusu Jorgingo toka yupo kwenu hata alipokuja kwetu nilisimama kidete kumtetea , na Sasa waliomtukana wametoweka ,na chakufurahisha kocha wangu Arteta anamuamini Jorgingo kuliko hata Partey ambaye anataka kumuuza,

Kuhusu Kai hivo hivo toka yupo Germany tulimuhitaji Sana

Chakushangaza Sasa mount sijawahi kumuelewa kabisa na hajaja kwetu

Hivo usiseme hao wachezaji wabovu sababu walifeli kwenu

Kwangu mm Jorginho na Kai Ni wachezaji Bora Sana ,Kama Kai hamjafaidi kabisa
 
Kawadanganye kondoo wenzio kule kua kai na joghino ni wachezaji wazuri, sisi hapa tunawajua vizuri.
 
Tuacheni mawazo ya stone age.

Wachezaji viburi, wanaojisikia kama Ziyech hawastaili kubaki kikosini. Tuendelee kusafisha nyumba.

Tujenge kizazi kipya cha wachezaji ambao wako tayari kupokea maelekezo kutoka kwa kocha na zaidi kupigania jezi kwa moyo wote.
Tunahitaji kizazi cha wazalendo na wanaojitoa kweli kweli sio hao wanaojiona ni wakubwa kuliko timu
Mimi nina wasiwasi na Ziyech, Mount na matakataka mengine waliwaambukiza kutojitoa kwenye timu hadi matokeo mabay. Yale matokeo siyo size ya Chelsea, wale wachezaji ni wakubwa ndio maana wanagombewa na akina Manure na Arsenyeto. Ila kwa vile hawakujitoa ngoja tusafishe kambi kwanza. Ziyech atoswe hata bure ili isiwe rahisi kupata timu nyingine
 
Yan hapa Liver amepata bonge moja la mchezaji, nilitaman sana kabla hajaenda LP angetua Arsenal ila ndo ivyo tena.
Hata Rayan Cherki ni kiwango kile kile na yeye bado 19
Chelsea wafanye kweli wamuwahi kabla ya wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom