passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,527
- 12,507
Sio mbayaName: Dušan Vlahović
Age: 23
Current Club: Juventus
Position: Striker
Mnasema huyu, nasikia Chelsea tunaandaa £69m
View attachment 2674334
Sio mbayaName: Dušan Vlahović
Age: 23
Current Club: Juventus
Position: Striker
Mnasema huyu, nasikia Chelsea tunaandaa £69m
View attachment 2674334
Hakim zych je mbona hayupo kwenye orodha hyoTunawatakia mafanikio mema, asanteni ...Tutawakumbuka.
1. Mason Mount - Man Utd
2. Kai Havertz - Arsenal
3. Mateo Kovacic - Manchester City
4. Ruben Loftus-Cheek is close to joining AC Milan.
5. N'Golo Kante - Saudi Arabia
6. Edouard Mendy - Saudi Arabia
7. Kalidou Koulibaly - Saudi Arabia.
Hakim Ziyech anarudi jamani, test ya pili imeonyesha ana shida kwenye goti nk. Amepewa ofa mpya yenye punguzo la mshahara kwa 40% amekataa na sasa anarudi kuwa mchezaji wa Chelsea hadi Juni 30 2025Tunawatakia mafanikio mema, asanteni ...Tutawakumbuka.
1. Mason Mount - Man Utd
2. Kai Havertz - Arsenal
3. Mateo Kovacic - Manchester City
4. Ruben Loftus-Cheek is close to joining AC Milan.
5. N'Golo Kante - Saudi Arabia
6. Edouard Mendy - Saudi Arabia
7. Kalidou Koulibaly - Saudi Arabia.
Mtamkumbuka atachokuwa akiwafanya mkicheza na arsenalKumbe ilitakiwa tufanye vibaya Ili tuanze upya. Kai nimefurahi sana kuondoka


Isikieni hii kondoo.Mtamkumbuka atachokuwa akiwafanya mkicheza na arsenal![]()
Kwa ligi ya Uingereza ilivyo sidhani kama Havertz atafanya wonders kule Arsenal. Anaweza akacheza vizuri kuliko Chelsea chini ya Arteta ila sio wonderful football. Ataendela kuwa mchezaji wa kawaida tu.Mtamkumbuka atachokuwa akiwafanya mkicheza na arsenal![]()
Vip muzee kule arse8 munapigwa tu mara Kai mara mchele ..eti uko uefa munaenda kufanya nini na hao takataka waloflop kwenye clab zao za zamani.? Kweli arse8 mumefikia atua ya kupigwa pound m100 hamujifunzi hata kwa pepe kalee mulipigwa japo mulilipa kwa mafungu.😂😂😂 Je hii nayo ya Rice mchele mumelipa yote?
Mwambie papaa gx anakatwa na Lembu 😂😂😂😂Mashabiki kama ww mpo wachache sana duniani.😂
Hivi sisi hata FA hatushiriki!?Wivu yako naiona kwa mbali
Pole sana
Chelsea timu kubwa, kama mizigo ya mishahara tumeshaondoa na Caicedo ameshaprove ni mchezaji hodari hakuna shida. Pia kumbuka sisi hatuna UCL, kuwashawishi wachezaji wengi wazuri kuja kwenye timu isiyocheza UCL ni lazima mshiko uwe mkubwa ndg. This is Stanford Bridge, Blue is the color and Footbal is the game
Hamtaki kuamini kwamba Chelsea inaua vipaji vya wachezaji, kwasababu timu Haina structure ya uchezaji na kupenda kuingilia majukumu ya coacher.Kitu kimoja kizuri ndani ya Chelsea ni kwamba tuna na tulikuwa na wachezaji wazuri
Jorginho tulimuita takataka
Arseanla wao wanamuita Lulu
Havertz tulimuita Legelege
Arsenal wao wanamuita talent tena analipwa £330,000/wiki
Mason Mount tulimtukana na kumkejeli anatuzamisha
Kule UTD wanamuona ni bonge la usajili na mshahara anapewa £300,000/wiki
Walitubeza san haya mandumila kuwili ya Arsenal na Manure
Ona sasa wamewasajili wachezaji sisi tuliowaona takatakla na wao kuwafanya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa
Waje sasa hapa wakiwa na majibu sahihi
Ligi za wakulima usilinganishe na EPLHamtaki kuamini kwamba Chelsea inaua vipaji vya wachezaji, kwasababu timu Haina structure ya uchezaji na kupenda kuingilia majukumu ya coacher.
Harvert wa liverkusen na wa Chelsea wapo sawa?
Pulisic wa Dortmund na Sasa hivi wapo sawa?
Koulibaly alikuwa uchochoro Napoli? etc.
Na mnavyozidi kurundika waachezaji, Bada ya 2/3 yrs mtegemee flops kama 5 hivi. Kikosi kinabidi kiwe kipana, lakini kikiwa kipana kupitiliza ni tatizo
Sterling na Cucurella nao wametoka farmers league??Ligi za wakulima usilinganishe na EPL
Havertz wa Leverksuen alikuwa kinara kwenye ligi ya wakulima
Pulisic hakuwahi kung'ara hata kwenye hiyo ligi ya wakulima
Hujatetetea hoja jaribu tena
bado confirmation, tunasubiri.Hakim zych je mbona hayupo kwenye orodha hyo
Huyu ni bonge la mchezaji lakini sioni kama tunahangaikia kumpataKwa ligi ya Uingereza ilivyo sidhani kama Havertz atafanya wonders kule Arsenal. Anaweza akacheza vizuri kuliko Chelsea chini ya Arteta ila sio wonderful football. Ataendela kuwa mchezaji wa kawaida tu.
Muhimu hakuondoka kihasara na ametupa income ya kusajili mbadala
Tukimpata Rayan Cherki ana miaka 19 lakini anacheza kama ana miaka 23/25
Tutakuwa tumempata Atatcking Mildfield mzuri sana. Anacheza style ya Zinedine Zidane (ZIZOU)
Atakuwa ni mbadala wa wachezaji wa wili kwa mpigo, yaani Mount na HAvertz combined
1 Cherki = 10 Havertz
1 Cherki = 7 Mount