Ni mchezaji anakuja kucheza first eleven au anaenda development squad au atatolewa mkopo?Here we go
View attachment 2671952
Ni mchezaji anakuja kucheza first eleven au anaenda development squad au atatolewa mkopo?Here we go
View attachment 2671952
Ni mchezaji anakuja kucheza first eleven au anaenda development squad au atatolewa mkopo?
WanamtakaChelsea nao wazinguaji kiasi fulani kwanini wasianze nisajili wachezaji wa first maana tumeuza sana
Chelsea nao wazinguaji kiasi fulani kwanini wasianze nisajili wachezaji wa first maana tumeuza sana
Dili halijakamilika kwa sababu Barca naye alikuwepo. Hadi mikataba isainiwe na pande zote mbili ndio sasa HERE WEGO ijeAtakuwa kwenye pre season then anatolewa kwa mkopo kwenye ile timu ya ufaransa
Hii ya akina Veiga wala usijali wako wengiView attachment 2671983
Man city wanataka watufanyie mchezo mchafu kama walivyowafanyia arsenal kwa rice nao wameingia kwenye deal la huyu
Dirisha hata halijafunguliwa, bado sana kuanzia July mosi hadi September ndio inafungwaKiungo cha chelsea kikoje mie naona mbele na nyuma watu wapo ila katikati pana pwaya.
Anafanya medical checkup sasaAtakuwa kwenye pre season then anatolewa kwa mkopo kwenye ile timu ya ufaransa
kwa pochettino naonaga uwa anatumia wachezaji wawil juu ya mabeki wa kati wawili.Najua ubora wa Enzo ila nimeona anatumika Sana chini tangu aje so usajili wa Caicedo kocha wetu mpya anamtazamo upi? wakumchezesha chini Enzo apande juu au kucheza wote CM?
Ila ningependa zaidi Enzo angesogezwa mbelekwa pochettino naonaga uwa anatumia wachezaji wawil juu ya mabeki wa kati wawili.
kama caicedo atasajiliwa.. wanaweza kucheza wote pia na enzo kwenye eneo hilo.. nakumbuka kipindi cha spurs alikuwa na dembele pmja na wanyama.
Kucheza watacheza wote kama pivot ya wawili ila kiuhalisia mmoja akipanda mwingine anabaki kama CDM kuthibiti ile line yote ya katikatiIla ningependa zaidi Enzo angesogezwa mbele
70€ bei yake imechangamka Liverpool nao wanamtakaIla Chelsea kumuachia huyu mwamba duh:
Dominik Szoboszlai
age 22
pos: CAM or No. 10
View attachment 2672529