Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kenge za darajani mpo? Oneni kijana alivyojaa tabasamu tumemkomboa toka kwa wapambania kushuka daraja
20230629_075339.jpg
 
Tumewatoa Kante..Joghinyo...Kova...Mount yupo njiani, je rotation sehemu ya kati watacheza Enzo, Gallagher na nani tena? Mimi sioni kama tumeleta quality players isipokuwa kama tutaingiza motivation kwa wachezaji wenda.
Kuliko wamuuze Mount bora wangeuza Gallager tu Mount abaki.
 
70€ bei yake imechangamka Liverpool nao wanamtaka
Huyo ameshachukuliwa na Liverpool haraka. Katika wote tuliounganishjwa nao huyo kijana ni mzuri sana
Newcastle wamejivuta vuta wakaambiwa watoe release clause wakajivuta. Klopp aliyekuwa anamtamani tangu 2019 haraka with no time wakatoa hiyo pesa sasa ni mchezaji wa Liverpool nadhani toka jana. Hata profile yake ya wikipedia imeshabadilishwa kuwa ni mchezaji wa Liverpool
 
Huyu tena anauzwa OL wana shida kubwa ya fedha na mchezaji pekee atakayeweza kuwatatulia shida yao ni huyu Rayan Merki
Yeye ni CAM na winga wide
Angalia ni mzuri sana kwenye maeneo haya
-Dribbling 99%
-Passing 88%
-Pace 87%
-Shooting 85%
Kwa silimia 89 anaweza cheza kama RW na LW
Kwa silimia 88 anaweza cheza kama CAM, LM na RM
Kwa asilimia 87 anaweza cheza kama CF
CAM - - Proffered position
1688021774527.png
 
Hazard Flop Facts
Mechi 73
goli 7 na
assists 11
= katika miaka minne,
A total flop katika historia ya Real Madrid na kuwazidi akina Luka Jovic, Kaka, James Rodriguez, Anelka na wengineo
Huyu jovic alikuwa mchezaji mzuri na Chelsea pia walionesha nia ya kumtaka
 
Huyo ameshachukuliwa na Liverpool haraka. Katika wote tuliounganishjwa nao huyo kijana ni mzuri sana
Newcastle wamejivuta vuta wakaambiwa watoe release clause wakajivuta. Klopp aliyekuwa anamtamani tangu 2019 haraka with no time wakatoa hiyo pesa sasa ni mchezaji wa Liverpool nadhani toka jana. Hata profile yake ya wikipedia imeshabadilishwa kuwa ni mchezaji wa Liverpool
Bado aisee hawajamchukua , Liverpool wanavizia kuanzia kesho , release clause iwe ime expire ili waweze ku negotiate Kama itawekezana

Na bado dili Ni gumu kwa Liverpool maana anatakiwa aondoe wachezaji
 
Mbona profile yake ya wikipedia wameshabadilisha tangu juzi na leo naona wameondoa tena, basi kuna uhuni fulani kwenye hizi sajili
 
BREAKING NEWS: Mason Mount Deal Done!

Manchester United agree £60m package deal for Mason Mount with Chelsea — it’s done, here we go!
#MUFC
Personal terms agreed weeks ago and face to face talks between clubs made it clear: the agreement is done.

Mount becomes Utd player — they NEVER left the race.

- Fabrizio Romano

Hili dili lilikuwa linazuia vitu vingi

Usjaili wa Caicedo
Usajili wa Veiga (Mridhi wa Mount) NK
Its is done, hili fagio kubwa, mimi nahisi Mount ndie aliyeongoza kupachafua dressing room kwa sababu ya kunung'unikia malipo madogo ya mshahara

1688055032359.png
 
Nimeona habari kwenye light ya Kante kwenda Uturuku...Kuna ukweli kiasi gani? Huku nilipo naona habari zinachujwa kwanza ndipo wananchi tunazipata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom