Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea ina ukubwa gani kuzidi AC Milan?
Out of copntext, sijazungumzia ukubwa na udogo, japo kwa vile umeleta mada, Chelsea ni Timu yenye Squad ghali kuliko zote duniani ikitanguliwa tu na city

Chelsea ni klabu ya nane ghali duniani kuliko zote kwa maana ya Assets zote ikitanguliwa tu na Real Madrid, Man U, Barca, Liver, City, Bayern na PSG. Timu za Italy hata kwenye 10 bora hawapo kwenye ughali wa squad au ughali wa timu
1687935527310.png
 
View attachment 2671376
Hapa duniani ukubwa wa timu unapimwa kwa makombe tu.

AC Milan have more trophies than Chelsea. Chelshit haina hata nusu ya ukubwa wa Ac Milan.
 
Hapa duniani ukubwa wa timu unapimwa kwa makombe tu.

AC Milan have more trophies than Chelsea. Chelshit haina hata nusu ya ukubwa wa Ac Milan.
Makombe hata Celtic anayo karibu 100

Sikia AC Milan kabaki Jina , kidunia sidhani Kama yupo hata top 15 kwakuwa na fanbase ,

Kiuchumi pia yupo chini Sana

Kwanini hata Wawekezaji wataweka kipaumbele kuweka pesa nyingi Chelsea kuliko AC Milan ?
 
Issue sio makombe tu je ni makombe gani?

Kwa hiyo na wewe unaweza kuiita AC Milan timu ndogo kama alivyosema huyo jamaa, hata kama imeshuka
 
Issue sio makombe tu je ni makombe gani?

Kwa hiyo na wewe unaweza kuiita AC Milan timu ndogo kama alivyosema huyo jamaa, hata kama imeshuka
Mimi sikujua kama uko serious kuitetea AC Milan, hata mimi nilikuwa naifagilia AC Milan ile ya miaka ya 200s na akina KAKA, kila mchezaji maarufu duniani wakati huo lazima akaichezee AC Milan, Braca na akina Real Madrid hazikuwa zinafua dafu kwa AC Milan ila hii ya sasa hivi iko ICU
 
Sio kwamba naitetea Ac Milan. Chelsea na Ac milan zote ni timu kubwa.

Ila ni dharau kubwa kuiiita AC Milan timu ndogo.
 
Sio kwamba naitetea Ac Milan. Chelsea na Ac milan zote ni timu kubwa.

Ila ni dharau kubwa kuiiita AC Milan timu ndogo.
Milan ni kama mlevi anayepepesuka,ukimgusa tu anadondoka na tayari utakuwa na kesi
Sisi tunapambana kununua wachezaji wa mil100+ wao wanapambana kuwanunua akina Pulisic kwa mil 15 na bado unamtetea marehemu. Si bora ungitetea Yanga au Simba?

AC Milan ilikuwa ya hawa wakongwe wa soka na bado wako wengi miaka ile ya 2000s
1687946512126.png
 
Fabrizio Romano Posted 5min ago

Chelsea are in advanced talks to sign Brazilian talent Ângelo from Santos as negotiations are ongoing.

Official bid has been submitted. #CFC

Blues offering £15m for 2004 forward to Santos, as @venecasagrande
called.

There are details to clarify but deal is concrete.

1687957837097.png
 
Mkakati wa kujipanga upya - tunaendelea kuwaaga ...

AC Milan agree £18.5m deal to sign Chelsea midfielder Loftus-Cheek​

AC Milan have agreed an £18.5m deal in principle to sign Chelsea midfielder Ruben Loftus-Cheek.
 
Koulibaly kamchana Osiehmen, kamwambia Kwa ajili ya carrier yake ni mara 100 abaki Napoli kuliko kwenda Chelsea au Unyumbuni
 
Kabla ya Kante kujiunga na Chelsea, tulimaliza katika nafasi ya 10 kwenye PL tukiwa na mustakabali usio na uhakika - Kante bado alichagua Chelsea na kimsingi alishinda makombe makubwa ya ligi na UEFA na kuwa LEGEND wa kihistoria kwa Chelsea.

Ikiwa Caicedo atatia saini, atajiunga na timu iliyo katika nafasi sawa na ile mwaka wa 2016. Nafasi ya kuunda historia kama ya Kante iko pale pale

Na safari hii Caicedo ana bahati anakutana na Kiungo machachari aitwaye Enzo. Wakati Kante anakuja alikutana na akina Jorginho ambao walihitaji kubebwa, Kwa uchezaji wa Kante alihitajika DM mwenye uwezo wa kumruhusu Kante acheze box to box ambayo ndio style yake

Karibu Caicedo darajani

View attachment 2671260
Kitu ambacho sijajua ni kwamba Kati ya Caicedo na Enzo yupi ambaye atacheza chini zaidi? Je Caicedo ana quality ya kucheza chini ili allow Enzo kwenye juu?
 
Kitu ambacho sijajua ni kwamba Kati ya Caicedo na Enzo yupi ambaye atacheza chini zaidi? Je Caicedo ana quality ya kucheza chini ili allow Enzo kwenye juu?
Ubora wa Enzo kupiga pass , through balls ,Ni acheze juu ya viungo wawili wenye kariba ya ukabaji

Argentina alikuwa anacheza juu chini yake anakuwepo Rodrigo de Paul nadhan na Mac Allister ,ila Kuna muda huwa anarudi chini kuchukua mipira

Enzo sio mchezaji wakumuweka acheze chini

Chelsea watamfaidi akicheza na Caicedo na Kiungo mwingine mvurugaji , Enzo hatofautiani Sana profile zake na Fabrigas , Muwekee viungo wawili chini yake wavurugaji wanaopiga tackle, interception, pass ,
 
Kitu ambacho sijajua ni kwamba Kati ya Caicedo na Enzo yupi ambaye atacheza chini zaidi? Je Caicedo ana quality ya kucheza chini ili allow Enzo kwenye juu?​
wanaweza wote wakacheza kama CM
Akipanda mmoja mwingine anawapa nguvu mabeki
Enzo ni mzuri zaidi akipanda kwa sababu anjua kutoa zile assists za kuwaudhi wapinzani

Ubora wa Enzo kupiga pass , through balls ,Ni acheze juu ya viungo wawili wenye kariba ya ukabaji

Argentina alikuwa anacheza juu chini yake anakuwepo Rodrigo de Paul nadhan na Mac Allister ,ila Kuna muda huwa anarudi chini kuchukua mipira

Enzo sio mchezaji wakumuweka acheze chini

Chelsea watamfaidi akicheza na Caicedo na Kiungo mwingine mvurugaji , Enzo hatofautiani Sana profile zake na Fabrigas , Muwekee viungo wawili chini yake wavurugaji wanaopiga tackle, interception, pass ,
Najua ubora wa Enzo ila nimeona anatumika Sana chini tangu aje so usajili wa Caicedo kocha wetu mpya anamtazamo upi? wakumchezesha chini Enzo apande juu au kucheza wote CM?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom