Mount ni mchezaji mzur sana nahis hata injuries zilimlostisha sana, kama akienda unyumbuni watakua wamepata mchezaji. Tofauti na kondoo tumewapga kw Havertz.Akibki tunataka atoe kila alichokuwa nacho na ajitoleee kwenye timu aache ujinga
Mount ni mchezaji mzur sana nahis hata injuries zilimlostisha sana, kama akienda unyumbuni watakua wamepata mchezaji. Tofauti na kondoo tumewapga kw Havertz.Akibki tunataka atoe kila alichokuwa nacho na ajitoleee kwenye timu aache ujinga
Yaan simpendi huyu jamaa maisha yangu yoteBora cheek amepata timu
Cheek ya Sari alikuwa mzuri sana.Yaan simpendi huyu jamaa maisha yangu yote
Chelsea wako serious na kumnunua Diogo Costa wa Porto kwa kulipa Release clause ya Eur 75M kwa awamu tatuTunatest mitamboView attachment 2670048
Acha kabisa aisee, halafu mwakan unakuta wanawauza kwa 40 had 50Hizi timu ndogo saa nyingine zinafaidi kuliko timu kubwa
AC Milan wanataka kwasajili wachezaji wawili kwa mil 35 za Euro
Cheek na Pulisic
Sisi tukimgusa Raphael Leao tutapigwa euro 150m
Toddy biashara anajua ,mambo ya mpira aachie wataalamu
Timu za Italy sio zakufanya nao biashara kuwauzia , Hapo Wanataka kitonga had mkataba wa lukaku uishe wambebe bureInter Milan are set to bid a loan plus £25m option to buy for Lukaku.
Chelsea likely to reject as they insist on a permanent deal. It will take a reasonable type of loan(Obligation to buy)deal for Chelsea to say Yes to Inter.
Juventus are also keeping tabs.
Timu nyingi ziliadhiriwa sana na Corona na mapato yalishuka sana na wasipotumia akili ya kubana matumizi watapitiwa na fyekeo la FFP kwa upande wa UEFA na ligi zao za ndaniTimu za Italy sio zakufanya nao biashara kuwauzia , Hapo Wanataka kitonga had mkataba wa lukaku uishe wambebe bure
Hawataki loan with obligation to buy maana watailipa tu hiyo £25m
Wanataka with option to buy ili baadae wamrudishe au Kama mkataba umeisha wamchukue bure
Hakuna timu za kipumbavu kwenye biashara Kama za Italy , Sasa wewe ulizia mchezaji wao uone Bei yake
kanté kaanza kuja chelsea kabla ya jorginho..Kabla ya Kante kujiunga na Chelsea, tulimaliza katika nafasi ya 10 kwenye PL tukiwa na mustakabali usio na uhakika - Kante bado alichagua Chelsea na kimsingi alishinda makombe makubwa ya ligi na UEFA na kuwa LEGEND wa kihistoria kwa Chelsea.
Ikiwa Caicedo atatia saini, atajiunga na timu iliyo katika nafasi sawa na ile mwaka wa 2016. Nafasi ya kuunda historia kama ya Kante iko pale pale
Na safari hii Caicedo ana bahati anakutana na Kiungo machachari aitwaye Enzo. Wakati Kante anakuja alikutana na akina Jorginho ambao walihitaji kubebwa, Kwa uchezaji wa Kante alihitajika DM mwenye uwezo wa kumruhusu Kante acheze box to box ambayo ndio style yake
Karibu Caicedo darajani
View attachment 2671260
Chelsea ina ukubwa gani kuzidi AC Milan?Hizi timu ndogo saa nyingine zinafaidi kuliko timu kubwa
AC Milan wanataka kwasajili wachezaji wawili kwa mil 35 za Euro
Cheek na Pulisic
Sisi tukimgusa Raphael Leao tutapigwa euro 150m
Sijasema kuwa alitanguliwa, focus yangu ni Kante na Caicedokanté kaanza kuja chelsea kabla ya jorginho..
kanté 2016 while jorginho 2018.