Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeona habari kwenye light ya Kante kwenda Uturuku...Kuna ukweli kiasi gani? Huku nilipo naona habari zinachujwa kwanza ndipo wananchi tunazipata.
Hii ndio inatrend kumhusu Kante
OFFICIAL: Former #Chelsea midfielder N'Golo Kante, and his associates, have completed the takeover of Belgian side Royal Excelsior Virton - effective from July 1.

Habari nyingine Kante ni mchezaji wa All-Ittihad ya Uarabuni inayoshiriki Saudi Pro League. Hizo zingine ni za uongo
 
1. Kante
2. Kovacic
3. Koulibaly
4. Ziyech
5. Kai
6. Mendy
7. Cheek
8. Mount
Auba........
Pulisic.....
Azip.......

Cucurela
Gallagher
Sterling
Hawa lazima waondoke
  1. Auba........
  2. Pulisic.....
  3. Azip.......
Cucu
Conor na
Puli
Kuondoka ni 50/50
 
Jua sababu kw nini Caicedo kakubali kusajiliwa Chelsea badala ya Arsenal na hao wengine
Brighton alikuwa akilipwa hivi kwa msimu

2020/21 - £1,500/wiki
2021/22 - £3,500/wiki
2022/23 - £15,000/wiki baada ya lile saga la kumsajili january wakamshawishi kwa kumuongezea mshahara
Chelsea tukaingia kwa majadiliano ya kumsajili msimu huu sasa, Caicedo akatoa mahitaji yake kuwa anataka
£200,000, Chelsea wakamkubalia
Kazi sasa imebaki kwa Chelsea na Brighton kukubaliana,
Taarifa nilizonazo ni kwamba Man u hawakuwahi kuingia kwenye kinyang'anyiro na wala hawana mpango huo, lengo lao kubwa ilikuwa ni Mount tu
Pia Arsenal baada ya sakata la Rice sasa watapeleka mahsambulizi yao kwa Timber, kwa uchovu walioupata kwa Rice na kwa mahitaji ya mshara wa Caicedo Arsenal hawataweza kujiingiza kwenye sakata la kumsajili Caicedo
1688061388662.png
 
View attachment 2673544
Sasa kama unakili kijana umri huo anatoka kulipwa £ 15,000 kwa week unajicommit kwa £200,000 sasa huo siukichaa? Hiyo kiumeni tunasema mwamba nguvu yake ya kutongoza nindogo anawashawishi mademu kwa hela. Sasa kama ni hivo kwanini wasije kuchuma pesa?
 
Wivu yako naiona kwa mbali
Pole sana
Chelsea timu kubwa, kama mizigo ya mishahara tumeshaondoa na Caicedo ameshaprove ni mchezaji hodari hakuna shida. Pia kumbuka sisi hatuna UCL, kuwashawishi wachezaji wengi wazuri kuja kwenye timu isiyocheza UCL ni lazima mshiko uwe mkubwa ndg. This is Stanford Bridge, Blue is the color and Footbal is the game
 
Sasa kama unakili kijana umri huo anatoka kulipwa £ 15,000 kwa week unajicommit kwa £200,000 sasa huo siukichaa? Hiyo kiumeni tunasema mwamba nguvu yake ya kutongoza nindogo anawashawishi mademu kwa hela. Sasa kama ni hivo kwanini wasije kuchuma pesa?
Mkuu unatoa Hela mfukoni kwako acha watu walipwe vizuri maisha ya mpira mafupi wivu ni kidonda.
 
Chelsea wakifanikiwa kuwasajili hawa sisi ni title contenders wazuri tu
  1. Diogo Costa €75M
  2. Moises Caicedo €100m
  3. Gabriel Veiga €40m
  4. Victor Osimhen €100
Total €315M
Huwez kumpata Victor kwa €100m hiyo Ni Kama £85m hivi , na Napoli walimnunua kwa €80M ,Ndio maana De Laurentiis anasema atamuuza Victor kwa €130-140m
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom