Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kudus vs Veiga for no. 10

Understand 2 of the names for Chelsea’s number 10 position are Gabri Veiga & Mohammed Kudus.Told Kudus has interest from Dortmund.Veiga & Kudus seen as young & versatile profiles, with Kudus able to play RW & Veiga specifically liked by Poch.
1687553973216.png
 
Kwaheri Azpilicueta
Mimi namuweka Azpi kwenye Legend wa digrii ya kwanza sawasa na akian Terry, Lampard, Drogba na wengineo walioichezea Chelsea kwa kujitoa bila tamaa ya hapa na pale na kuitakia Chelsea ushindi na ubingwa wakati wowote

Angalia hata jinsi alivyoondoka, kwa heshima zote
Pia angalia hata alikuwa hal;ipwi sana, ila hakulalamika
View attachment 2666788
Hivi anaondoka kwa chelsea kupata mkwanja au ni bure?
 
Sasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
  1. Reece James
  2. Kepa Arrizabalaga
  3. Sterling
  4. Thiago Silva
  5. Enzo Fernandez
Mount kapishana na ukapteni
Thiago silva au Reece James
 
Azpilicueta nadhani ndie mchezaji aliyeipatia Chelsea faida kubwa kuliko wachezaji wote tangu hii timu iundwe. Na hii inawafanya Chelsea na mashabiki wake wamheshimu kwelikweli

Katika miaka 11 aliyoichezea Chelsea. Azpilicueta kashinda vikombe 9, kacheza mechi 500+ na mchezaji pekee wa Chelsea kushinda kila kombe linalowezekana kwa klabu, yote hayo kwa ada ya £8.8m tu. Katika maisha yake yote na Chelsea pia mshahara wake haukuwa mkubwa na hakunung'unika hata kidogo.
Historia ya mshahra wake kwa wiki ilikuwa hivi:
2012-2013 = £30,000.00
2014-2015 = £60,000.00
2016-2017 = £100,000.00
2018-2021 = £150,000.00
2022-2023 = £180,000.00

Kila la heri huko uendako Azpilicueta na karibu tena siku moja darajani
1687580936088.png
 
Hivi anaondoka kwa chelsea kupata mkwanja au ni bure?
Chelsea wataukatisha mkataba wake kwa kumheshimu, Azpilicueta aliomba kwenda kupata uzoefu kwingine na ni baada ya kukubaliana terms na Intermilan. Sasa kwa heshima Azpilicueta aliyonayo pale darajani, uongozi uliamua kutomzuia kwenda. This is our truly LEGEND
 
Chelsea wamekataa ofa ya 3 ya Manure ya £55+ addon ya £5
Chelsea wanataka £58+addons ya £7
Pia wamehsauri kuklutana ana kwa ana
Tukumbuke Manure waliahidi watakimbia ofa yao ya tatu ikikataliwa
Tunasubiri hizo mbio kwa timu iliyofilisika kiasi hiki
Man U tulizoea wakinyakua mchezaji kwa £100m+
1687581883459.png
 
Sasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
  1. Reece James
  2. Kepa Arrizabalaga
  3. Sterling
  4. Thiago Silva
  5. Enzo Fernandez
Mount kapishana na ukapteni
Huyo steering toa kabisa maana hata kubaki hapo sioni kwa nni ? Angeondoka tu hapo nae atupishe na pulic nae kwa nn hakuna timu inayomtaka na auba inayomtaka
 
Priority is Caicedo but Chelsea are exploring potential second midfielder who is versatile and could also play on the wing.
1687587177891.png
 
Sasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
  1. Reece James
  2. Kepa Arrizabalaga
  3. Sterling
  4. Thiago Silva
  5. Enzo Fernandez
Mount kapishana na ukapteni
Yaani sterling awe kapten wa Chelsea???
 
Hadi sasa tuna £137m kwa kuwauza wachezaji 6
  1. Hakim Ziyech - £8m
  2. Edouard Mendy +
  3. Kalidou Koulibaly (Combined fee of £34.2m)
  4. Kante - FREE
  5. Kovacic - £25m + £5m add ons
  6. Havertz - £60m + £5m add ons
  7. Mount - £50m + £5m add ons
  8. Azpilicueta - FREE
 
Azpilicueta nadhani ndie mchezaji aliyeipatia Chelsea faida kubwa kuliko wachezaji wote tangu hii timu iundwe. Na hii inawafanya Chelsea na mashabiki wake wamheshimu kwelikweli

Katika miaka 11 aliyoichezea Chelsea. Azpilicueta kashinda vikombe 9, kacheza mechi 500+ na mchezaji pekee wa Chelsea kushinda kila kombe linalowezekana kwa klabu, yote hayo kwa ada ya £8.8m tu. Katika maisha yake yote na Chelsea pia mshahara wake haukuwa mkubwa na hakunung'unika hata kidogo.
Historia ya mshahra wake kwa wiki ilikuwa hivi:
2012-2013 = £30,000.00
2014-2015 = £60,000.00
2016-2017 = £100,000.00
2018-2021 = £150,000.00
2022-2023 = £180,000.00

Kila la heri huko uendako Azpilicueta na karibu tena siku moja darajani
View attachment 2666960
Ndio mchezaji aliyekuwa na consistency performance nzuri hata pale ambapo karibia team nzima imeflop but yeye utakuta amekiwasha
 
Chelsea wamekataa ofa ya 3 ya Manure ya £55+ addon ya £5
Chelsea wanataka £58+addons ya £7
Pia wamehsauri kuklutana ana kwa ana
Tukumbuke Manure waliahidi watakimbia ofa yao ya tatu ikikataliwa
Tunasubiri hizo mbio kwa timu iliyofilisika kiasi hiki
Man U tulizoea wakinyakua mchezaji kwa £100m+
View attachment 2666967
Wanaenda kupanda dau,linalotakiwa

Kinachowabana Hadi Sasa Graza hawataki kuuza timu kirahisi na wametenga bajeti £120m na deadwoods zao haziuziki ,ndio maana wanabembeleza muwapunguzie ,

, Chelsea tayari Wana kiburi wameshauza wachezaji wapo safe na FFP
 
Kwaheri Azpilicueta
Mimi namuweka Azpi kwenye Legend wa digrii ya kwanza sawasa na akian Terry, Lampard, Drogba na wengineo walioichezea Chelsea kwa kujitoa bila tamaa ya hapa na pale na kuitakia Chelsea ushindi na ubingwa wakati wowote

Angalia hata jinsi alivyoondoka, kwa heshima zote
Pia angalia hata alikuwa hal;ipwi sana, ila hakulalamika
View attachment 2666788
Good luck Mwamba#Azpilicueta
 
Sasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
  1. Reece James
  2. Kepa Arrizabalaga
  3. Sterling
  4. Thiago Silva
  5. Enzo Fernandez
Mount kapishana na ukapteni
Hapo ni thiago kaptain mkuu msaidizi awe james. James au Enzo
 
Yaani shoga na takataka Sterling awe captain wetu.!? We jamaa umerogwa
Sasa ni muda muafaka kumchagua Kapteni wa Chelsea
Kapteni msaidizi alisepa january na sasa Kampteni mkuu anaondoka
Mawazo ya nani awe Kampteni mpya
  1. Reece James
  2. Kepa Arrizabalaga
  3. Sterling
  4. Thiago Silva
  5. Enzo Fernandez
Mount kapishana na ukapteni
 
BREAKING NEWS:
Joao Felix has been discussed internally (again) at Chelsea, after Kai Havertz’s imminent departure and the ongoing Mason Mount saga. Player is happy to stay. More details to follow later.
1687628982013.png
 
Hamna kitu humu, hii ni takataka tu. Humu kwa sasa hamna kitu kabisa. Najua mtapinga, ila ukweli ndio huo. Hakuna alicho fanya ata alipokuwa kwa mkopo.
BREAKING NEWS:
Joao Felix has been discussed internally (again) at Chelsea, after Kai Havertz’s imminent departure and the ongoing Mason Mount saga. Player is happy to stay. More details to follow later.
View attachment 2667656
 
Chelsea mlengwa wao mkubwa kwenye nafasi ya ugolkipa ni Diogo Costa wa Porto ya Ureno. Inamfikiria kuwa yeye ndie kipa bora kuliko wote duniani kwa sasa. Ipo hata tayari kulipa Euro 75 millioni wanayotaka Porto na wako tayari kulipa kwa awamu tatu ili wasikiuke sheria za FFP.

Ni zoezi la Mendy kuhamia Al Hilal tu ndilo linalokwamisha.

Maoni yako ni ipi?

1687630573415.png
 
Baada ya kubeba kombe la CONCACAF na kushinda tuzo ya mchezaji bora sasa timu nyingi zinamtaka kumsajili na moja ya timu hizo ni Lyon, Napoli, Juventus, na AC Milan
1687631539367.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom