kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,687
Kwani nywele ndo zinachezaHuyu jamaa akinyoa nywele atakuja kua bonge la mchezaji.



Kwani nywele ndo zinachezaHuyu jamaa akinyoa nywele atakuja kua bonge la mchezaji.



Kwani sisi ndio tumepanga tuuze wapi au wanunuzi ndio wanaojitokeza kama hao waarabuRivals now wanalalamika na kulia hovyo, Kisa tu tunauza Wachezaj wetu Saudi Arabia![]()
Wako kama YonaRivals now wanalalamika na kulia hovyo, Kisa tu tunauza Wachezaj wetu Saudi Arabia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wivu unawasumbuaWako kama Yona
Walifikiri tutanasa mtego wa FFP na sasa wanapoona tunategua mtego wanaona wivu hasa mashabiki wa Arsenal ndio wanaoongoza kwenye mitandao kulalamika. Twitter kule kumenuka na kuanza kudao Wasaudia wamewekeza Chelsea kupitia
Yaani Madueke ni 1st team? Odoi aliefunga kilemba.Line up itakavyokuwa kwa Pochettino
Wachezaji wanaobaki ni James na Chilwell tu
Kwenye benchi nahisi hata Galagher atauzwa
View attachment 2661934
comments zako huwa ziko too extreme, kwa uchezaji wake ni tofauti kabisa na Odoi, it is not fair kuwalinganishaYaani Madueke ni 1st team? Odoi aliefunga kilemba.
Pochetino ana kazi ngumu sana.
kAma pochetino akimtgemea Odoi mirasta kwnye 1st team, pre season tu anafukuzwa, bora upande huo acheze Sterling na mbavu nyingine Mudryk. Bora papara za Sterling kuliko za huyo Odoi mpya.comments zako huwa ziko too extreme, kwa uchezaji wake ni tofauti kabisa na Odoi, it is not fair kuwalinganisha
Madueke anaye drible sana, Odoi hawezi kudrible
Dribbling za Madueke hata asipofunga au kuassist zinatengeneza nafasi kwa wengine kufunga
Tuko hapa tutashuhudia kwa wino wala sio mate
Na ndio maana Madueke kapata nafasi ya kucheza first choice wa winga wa kulia zaidi ya Ziyech, Sterling nk
Pochettino ndio kabisa atampa hati miliki ya hiyo winga wa kulia
Na ninaamini kabis Madueke atakuwa na chemistry nzuri na Nkunku katikati, James/Gusto na hata Enzo kwa upande huo wa kushoto. Na atasumbua kwa muda mrefu. Atakosa namba tu kama tutasajili bora zaidi yao
thehardtackle.com
www.sportskeeda.com
Naangalia sana ligi ya Italy huyu jamaa ni takataka kama zilivyo takataka nyingine nafasi 20 anafunga 1
Mi siku zile ya final y UEFA huyu mwamba alinikera sana.Naangalia sana ligi ya Italy huyu jamaa ni takataka kama zilivyo takataka nyingine nafasi 20 anafunga 1
Sio kweli Ni €25m kwa mwaka , kwa miaka minne €100mKufuru ya waarabu, at age of 32 Ngolo asign miaka mitatu kila mwaka Pound million 86, sawa na Tshs Billion 5.45 kwa wiki. Aisee mpira unalipa