Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Hii team inamilikiwa na waarabu ...
Mohammed bin Salman ndio anaimiliki ,toddy ni gelesha tu,za chini hizo nawapa ....
Ningeshangaa bosi gani wa kumwaga £600million msimu mzima kununua kina madueke( ngolo Kante ilibidi amgoogle kwanza ) [emoji23] harafu anavaa suruali za ilala boma ...