lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Kante mbona kaingia mjini zamani lakini bado katunza ufahidhina wakeBado hajapata pesa mkuuu na kaingia mjin kwa kuchelewa
Kante mbona kaingia mjini zamani lakini bado katunza ufahidhina wakeBado hajapata pesa mkuuu na kaingia mjin kwa kuchelewa
We unaona Enzo anacheza hovyo kama huyo bwana ako?! Kai Ligi imemshinda. Mchezaji kalegea kama analiwa kichuli.Siwez kumponda Kai ever... nakumbuka best moment with Chelsea kiujumla team imekua mbovu tu kwani uwanjani yupo yy mwenyewe? Enzo mwenyewe kaja kwa mbwembwe tumeishia kuvurunda tu sema mna chuki binafs nae tu
Huyu jamaa akinyoa nywele atakuja kua bonge la mchezaji.Kutoka paundi mil 60 hadi mil 30
Jamani Cucu sio mbaya kiasi hich auzwe kwa bei ya kutupa? Ana miak 24 tu. Kama hapati bei nzuri tumpe nafasi!
Au tumuuzie City walikuwa tayari kutoa paundi Mil 40
View attachment 2660837
Toka aje alicheza game moja tu ya spurs basi zilizobaki zote kafeli sanaKutoka paundi mil 60 hadi mil 30
Jamani Cucu sio mbaya kiasi hich auzwe kwa bei ya kutupa? Ana miak 24 tu. Kama hapati bei nzuri tumpe nafasi!
Au tumuuzie City walikuwa tayari kutoa paundi Mil 40
View attachment 2660837
Game za tuchel na match ya Dortumund ndio alicheza vizuri.Toka aje alicheza game moja tu ya spurs basi zilizobaki zote kafeli sana
Hivi huyo Nicolas Jackson kwenye upande wa finish yupo vizuri?Wamaliziaji wazuri wa Laliga msimu ulioisha ni
- Nicolas Jackson 100% to Chelsea
- Asensio: 98%
- Griezmann: 95%
- Gabriel Veiga: 95% to Chelsea
Michezo nane ya mwisho goli 9Hivi huyo Nicolas Jackson kwenye upande wa finish yupo vizuri?
Tunatambua kuwa Al-Hilal wamekubali masharti ya kibinafsi na #Koulibaly Tunaendelea kujiepusha na adhabu ya #FFP kabla ya msimu mpya tarehe 1 Julai 2023
#Lukaku, #Ziyech, #Havertz, #Mount, #Kovacic, #Cucurella, #Mendy, #Pulisic, #Auba, #Chalobah wote wakiwa wako mbioni kuondoka #Chelsea.
Orodha ya Wachezaji wa Chelsea walioondoka Chelsea
1. Ngolo Kante aliondoka na kupunguza mzigo wa deni
2. Kalidou Koilibaly hadi Saudi (m30)
3. Hakim Ziyech pia anatoka (m 15)
4. Rumelu Lukaku hataki ofa kutoka Saudia lakini mwisho wa siku atakubali tu kwa sababu Chelsea wamekataa kumpa mkopo (40m)
5. Kai Havertz kwenda Arsenal (60m)
6. Mason Mount hadi Man U (60m)
7. Aubameyang hadi Saudi (m 10)
8. Conor Gallagher hadi Brighton (m 40)
9. Mateo Kovacic kwenda Man City (35m)
10. Ruben Loftas Shavu kwa AC Milan(m25m)
11. Marc Cucurela hadi Newcastle (30m)
12. Trevoh Chalobah hadi Inter (30m)
13. Edouard Mendy kwenda Saudi (m 15)
14. Christian Pulisic (m 40)
Kwa orodha hiyo tutaokoa takriban pauni milioni 435
Na bado tutapunguza mzigo wa mishahara
Thiago silva hawezi kukaa benchi ni kumkosea heshima huyo ndio beki wetu BoraLine up itakavyokuwa kwa Pochettino
Wachezaji wanaobaki ni James na Chilwell tu
Kwenye benchi nahisi hata Galagher atauzwa
View attachment 2661934
Msimu ujao kutakuwa na rotation kubwa ya CB, Silva ni beki bora hakuna mtu anayekataa ila sio beki wa Chelsea wa Muda mrefu, kumbuka kwamba ana miaka 38. Pochettino ninavyomjua atawekeza zaidi kwa youngstars ambao ndio wako kwenye long term plan ya mradi. Colwill, Badiashile, Fofana watapewa muda mkubwa zaidi ya Silva kwa ajili ya kuwajenga. Kocha asiyejitambua tu ndie atakayemng'ang'ania Silva na kuwaacha akina Colwill, Badiashile na Fofana wakicheza mara chache.Thiago silva hawezi kukaa benchi ni kumkosea heshima huyo ndio beki wetu Bora




