Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii story ya Didie Drogba na Juan Matta imenipa hisia kali, sasa hivi hatuna hawa wazalendo wa kweli

1686992362971.png
 
Valuation ya Arsenal na Kai haipo mbali

Dili litakamilika bila shida
 
BREAKING: Arsenal face competition from Bayern Munich for Chelsea forward Kai Havertz.Arsenal have already had one offer for £75m rated Havertz rejected by their London rivals.- talkSPORT sources understand

TT naye anamtaka Havertz
Chelsea inge prioritize kumuuza Havertz Bayern kuliko Arsenal
May opinion
View attachment 2660247
Chelsea wao wanaangalia hela watakaomeet team inayomtaka labda itokee Arsenal na Bayern wamepeleka offer Sawa ndipo chelsea wataopt kuumuuzia Bayern
 
BREAKING NEWS: Kumekucha

Chelsea have decided to activate the release clause for Nicolas Jackson!
Chelsea are set to pay €35m, discussing installments.
3 more clubs open to pay the clause; so Chelsea will be fast as player wants PL move.
Contract will be long, more than 5 year.
Here we go soon.
-Fabrizio Romano

View attachment 2660299
Takwimu zake zikoje?
 
  • Andrey Santo ni mfungaji bora wa U20 South American Championship 2023 by 6 Goals
  • Cesare Casedei ni mfungaji na mchezaji bora U20 Fifa WC 2023 kwa goli 7
Tuwapigie magoli wachezaji hawa wote kwa kuipaiza jina la Chelsea hata kabla hawajaanza kuichezea

1687000034012.png
 
Kwenye mechi ngapi ngapi iko ndio kinachomatter
Mimi ninachosema, tutakuja kujuta kwa kumuuza Havertz, Kuja kwa kocha mpya ingekuwa ndio fursa ya kumpa opportunity nyingine ya kun'gara. Siamini kwamba Havertz ndie alikuwa tatizo
Chelsea sisis tuna matatizo mengine ikiwemo kuwafuga wacheza wanaonung'unika kila saa
 
Casedei tayari anazo order 3 kutoka Championship clubs

Baada ya Pre-season Poche atafanya maamuzi ya kumbakiza au kumtoa mkopo akajinoe

Kwa maoni yangu kama tutamsajili Caisedo na Gabriel Veiga, hawa wapelekwe loan angalau msimu mmoja:
  1. Chunkwuemeka,
  2. Casedei,
  3. Santos,
  4. Datro,
  5. Ian Masten,
  6. Gabriel Slonina,
  7. Lewis Hall

Chelsea have already received 3 loan requests from Championship clubs for Cesare Casadei.
Decision will be made in the next weeks.
#CFCThere’s nothing concrete with Juventus despite reports; he’s staying at Chelsea for long term project.
 
Katika historia yangu ya kuwa mshabiki wa Soka, sijawahi kukutana na jinga kubwa kama Lukaku
Hana hata haya
Timu imetumia ada kubwa kumsajili
Ana lipwa mshahara mkubwa
System imemkataa anatupia lawama timu
Anaropoka kwenye vyombo vya habari kwa kuisifia Inter na mashabiki wake, badala ya kuweka nguvu kwenye kufanya vizuri huku na kuonyesha uzalendo.
Chelsea imekataa kumtoa mkopo kwa mara ya pili inter anaingia tena kwenye mzozo na kudai amechukizwa na Chelsea kumzuia asiende mkopo Inter.
Hajui timu inaingia hasara kiasi gani kumfanya yeye acheze Inter kwa mkopo?
Nawasifu Chelsea kwa kukataa mkopo
Arudi Chelsea halafu apigwe ban kucheza hadi akumbuke ofa ya kwenda kucheza uarabuni ambayo ameikata
PUMBFU SANA HUYU KUBWA JINGA

1687004993954.png
 
Mimi ninachosema, tutakuja kujuta kwa kumuuza Havertz, Kuja kwa kocha mpya ingekuwa ndio fursa ya kumpa opportunity nyingine ya kun'gara. Siamini kwamba Havertz ndie alikuwa tatizo
Chelsea sisis tuna matatizo mengine ikiwemo kuwafuga wacheza wanaonung'unika kila saa
Hata mimi nina mtazamo kama wa kwako lakini najuliza kama wanamuuza Kai imekuaje wamemuachia jao felix?
 
Mimi ninachosema, tutakuja kujuta kwa kumuuza Havertz, Kuja kwa kocha mpya ingekuwa ndio fursa ya kumpa opportunity nyingine ya kun'gara. Siamini kwamba Havertz ndie alikuwa tatizo
Chelsea sisis tuna matatizo mengine ikiwemo kuwafuga wacheza wanaonung'unika kila saa
Kiukweli hatuwezi kujuta kwa Kai. Sidhan kama ana jipya saana la kuoffer kwetu Sisi. Ni vema auzwe kwa pesa nzuri tupate hela ya kununua wengine.
 
Huyu kijana anaitaka Chelsea tu bila kujali kuna tim,u zingine 3 zaidi wanamtaka zikiwemo Liverpool, Barcelona nk.

Despite receiving 3 more bids from other clubs, Nicolas Jackson ONLY wanted Chelsea
𝗔𝗹𝗿𝗲𝗮𝗱𝘆 𝗮 𝗣𝗿𝗼𝗽𝗲𝗿 𝗖𝗵𝗲𝗹𝘀, things you love to see

Hawa wachezaji wanaonunuliwa kwa staili hi ndio mara nyingi wanakuja kucheza vizuri
Wale wa mbwembwe kama Lukaku ni hovyo hovyo

1687011741863.png
 
Hizi timu za Uarabuni zinaweza kuja kutuepucha na panga la FFP kwa hawa wachezaji wazee
  1. Koulibaly
  2. Auba
  3. Ziyech
  4. Lukaku
  5. Mendy
Hata wakitupa 20m kwa kila moja tutakuwa na pesa za Caisedo tayari
1687012406455.png
 
Kiukweli hatuwezi kujuta kwa Kai. Sidhan kama ana jipya saana la kuoffer kwetu Sisi. Ni vema auzwe kwa pesa nzuri tupate hela ya kununua wengine.
Kai kama kai ni mchezaji mzuri, sisi Chelsea tulikuwa na shida nyingi hasa msimu huu ulioisha na hata misimu miwili iliyopita pia. Tangu afukuzwe Conte, Chelsea ilifuatiliwa na kuondoka kwa Hazrd mhimili wa timu akaja Lampard ambaye sio kocha mzuri na ni wakati wa BAN, mara akaja TT akajitahidi akatupa UCL na yale makombe madogomadogo puu mara ban tena na safari hii ni BAN ya kufanya matumizi na kusajili wachezaji. Puuu wachezaji wakaanza kutukimbia na hatuwalaumu, akina Rudiger walikuwa ni wazalendo kweli. Mara wakaja wamiliki wapya na wajuaji kweli kweli, Boehly kila idara akakamata na mambo yakazidi kuwa mabay6a, morale ya wachezaji ikaisha kabisa, kila mchezaji hapaform. Mimi nilimuona Enzo peke yake ndie alikuwa anapambana tu. Sasa ndi tunafufuka
Tusimlaumu Kai Havertz, na ukibisha ngoja aende Arsenal ndipo utamjua yule Kai Havertz wa Levakuseni
 
Wachezaji 79 ambao bado kwenye payroll ya Chelsea hawa hapa
  1. Akomeah, Travis
  2. Ampadu, Ethan
  3. Ampah, Ato Bondze
  4. Anjorin ,Faustino Adebola Rasheed
  5. Arrizabalaga Revuelta, Kepa
  6. Aubameyang, Pierre-Emerick
  7. Azpilicueta Tanco, Cesar
  8. Baba, Abdul Rahman
  9. Badiashile Mukinayi, Benoit Ntambue
  10. Beach, Edward James
  11. Bergstrom, Lucas Carl Edvard
  12. Bettinelli, Marcus
  13. Boniface, Somtochukwu Alan
  14. Broja, Armando
  15. Brooking, Joshua Royston
  16. Burstow, Mason
  17. Campbell, Luke
  18. Casadei, Cesare
  19. Castledine, Leo Alexander Francis
  20. Chalobah, Trevoh Tom
  21. Chibueze, Chinonso Mcanthony Abi
  22. Chilwell, Benjamin James
  23. Chukwuemeka, Carney Chibueze
  24. Cucurella Saseta, Marc
  25. Cumming, James Andrew
  26. Curd, Ted
  27. Elliott, Benjamin Njongoue
  28. Emiliano Da Silva, Thiago
  29. Fernandez, Enzo Jeremias
  30. Flower, Louis Christopher
  31. Fofana, David Datro
  32. Fofana, Wesley Tidjan
  33. Gallagher, Conor
  34. Gee, William Peter
  35. George, Tyrique Aaron Delali Yusuff
  36. Gilchrist, Alfie
  37. Giraud-Hutchinson, Omari Elijah
  38. Gusto, Malo Arthur
  39. Hall, Lewis
  40. Havertz, Kai Lukas
  41. Hudson-Odoi, Callum James
  42. Hughes, Brodi
  43. Humphreys, Bashir
  44. James, Reece
  45. Kante, Ngolo (Offer)
  46. Koulibaly, Kalidou
  47. Kovacic, Mateo
  48. Loftus Cheek, Ruben
  49. Lukaku Bolingoli, Romelu
  50. Maatsen, Ian
  51. Madueke, Chukwunonso
  52. McMahon, Harrison
  53. Mcneilly, Donnell Ocarriel
  54. Mendy, Edouard Osoque
  55. Merrick, Max Andrew
  56. Morgan, Jimmy-Jay
  57. Mothersille, Malik Maine (Offer)
  58. Mount, Mason
  59. Mudryk, Mykhailo
  60. Nascimento Dos Santos, Andrey
  61. Olise, Richard Oghenekome
  62. Pulisic, Christian Mate
  63. Rak Sakyi, Samuel
  64. Rankine, Dion Joseph
  65. Samuels Colwill, Levi Lemar
  66. Sarr, Malang Mamadou William
  67. Sharman-Lowe, Teddy Samuel
  68. Silcott-Duberry, Zain Rio
  69. Slonina, Gabriel Pawel
  70. Sterling, Raheem
  71. Sturge, Zak Norton
  72. Stutter, Ronnie Edward
  73. Tauriainen, Jimi Weikko
  74. Tlemcani, Sami
  75. Vale, Harvey James
  76. Webster, Charles Clive
  77. Williams, Dylan Riley
  78. Wilson, Kaiden Carlton Anthony
  79. Ziyech, Hakim
Sasa mtu kama Odoi wa nini ? ,Mbona tuna keep matakataka mengi kwenye payroll a kuongeza gharama zisizo na maana aisee ? Hii timu haina strategists au ? ,hawa wengi ni wa kuuzwa msimu huu ,wakiuzwa takataka wote hao tunarudisha pesa iliyotumika kusajili dirisha dogo lililopita na tunabaki na pesa nzuri tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom