lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Huko nyuma nilikiwa namuona wa kawaida sana ila kiukweli ameitranform Brighton zaidi ya ile team ya PotterDe Zerbi ni bonge la kocha![]()
Huko nyuma nilikiwa namuona wa kawaida sana ila kiukweli ameitranform Brighton zaidi ya ile team ya PotterDe Zerbi ni bonge la kocha![]()
Vincent Aboubakar kutoka timu ya Besiktas ya nchini uturuki. Jamaa ni fighter vibaya mno na ni goal poacherWana Chelsea wenzangu hivi Ni striker gani tukimsajili anaeza tufaa pale kwa msimu ujao
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata huyu Mykhailo Mudryk alionekana mzuri mara baada ya kuwa transformed na De-Zerbi...ni kama unavyomuona Kaoru Mitoma ndivyo Mudryk alivyokuwa Shakhtar chini ya De-Zerbi...Humo nyuma nilikiwa namuona wa kawaida sana ila miumweli ameitranform Brighton zaidi ya ile team ya Potter
Kocha si tayari Pocchettino kashasainiBunduki bila risasi ni Toy.
Tupate kwanza kocha mzuri ambaye ataitengenezea bunduki risasi ili ifanye kazi.
Hiyo ni kazi ya bodi ya chelsea na tajiri Boehly sio mimi au weweVigezo gani vimetumika kumchagua Pochetino?
Ulitaka achaguliwe nan??Hiyo ni kazi ya bodi ya chelsea na tajiri Boehly sio mimi au wewe
A fraud, Goal gani lile sasa la kukosa?Murdryk ni kimeo
Na kwa vigezo ganiUlitaka achaguliwe nan??
Huu msimu nashindwa hata kuwatania maana naona ni sawa na kupiga bomu mochwari hafu ujisifu umeua.Nyumbu wanatumia Chances zao sisi tunarukaruka