Kuna faulo alichezewa ikamfanya asiwe fiti kuna mda mpk alikua anakimbia huku anachechemeaMadueke ndiye alikuwa very active kipindi cha kwanza
Sijui kama aliendelea hivyo kipindi cha pili, umeme ulikata hapa kwetu
Hata tungefungwa zote hatuwezi kushuka. Tuko nafas y 11 tokea dec na hatujashinda game hata moja. Hao walioko chini wako taabani.Afadhal tusiende Championship asee
Si mlikuwa mnafurahia pale mnaposhinda battle ya usajili dhidi ya timu nyingine???Todd baada tu ya kuingilia suala la usajili na ubabe wake wote huo haya ndio matunda yake

Hata hivyo hizo ni silaha za kuja kuwaua hapo baadaye, leo mnatucheka lakini kesho tutawaliza kwa kutumia hizo silaha.Si mlikuwa mnafurahia pale mnaposhinda battle ya usajili dhidi ya timu nyingine???
Refer Mykhalo saga....
Watakuwa mikononi salama mwezi ujao akishaajiriwa PochettinoHawa madogo...Madueke na Mudryk inabidi wapate makocha kama Conte au Mourinho wangenyooka na wangeacha ubishoo.
Ligi ya Epl ni tofauti na ligi kuu ya uholanzi na ukraine. Huku mabeki wanatumia nguvu, wanakimbia sana na hawakupi nafasi za kukimbia na mpira kwa umbali mrefu.Hawa madogo wanacheza kiuoga sana muda mwingi wanashughulika kurekebisha nywele zao badala ya kucheza mpira.
Madueke amepata chance nyingi ila ana ubinafsi ,anataka afunge yeye tu hata kama yupo kwenye nafasi ambayo si ya kufunga. Timu ikishambuliwa hakimbii wala hakabi.
Mudryk ,huyu nae anacheza kiuoga ,sehemu ya kukaza tako yeye anajilegeza, game ya leo muda mrefu hajaonekana kiwanjani.

Chini ya kocha mzuri hawa madogo watakuwa salama, na watazidi kuimarikaHawa madogo...Madueke na Mudryk inabidi wapate makocha kama Conte au Mourinho wangenyooka na wangeacha ubishoo.
Ligi ya Epl ni tofauti na ligi kuu ya uholanzi na ukraine. Huku mabeki wanatumia nguvu, wanakimbia sana na hawakupi nafasi za kukimbia na mpira kwa umbali mrefu.Hawa madogo wanacheza kiuoga sana muda mwingi wanashughulika kurekebisha nywele zao badala ya kucheza mpira.
Madueke amepata chance nyingi ila ana ubinafsi ,anataka afunge yeye tu hata kama yupo kwenye nafasi ambayo si ya kufunga. Timu ikishambuliwa hakimbii wala hakabi.
Mudryk ,huyu nae anacheza kiuoga ,sehemu ya kukaza tako yeye anajilegeza, game ya leo muda mrefu hajaonekana kiwanjani.
🤣🤣🤣🤣🤣Jukwaa ni kama kimekufa kabisa
Madueke hamna kitu mule, uchezaji wake kama odoi.Hawa madogo...Madueke na Mudryk inabidi wapate makocha kama Conte au Mourinho wangenyooka na wangeacha ubishoo.
Ligi ya Epl ni tofauti na ligi kuu ya uholanzi na ukraine. Huku mabeki wanatumia nguvu, wanakimbia sana na hawakupi nafasi za kukimbia na mpira kwa umbali mrefu.Hawa madogo wanacheza kiuoga sana muda mwingi wanashughulika kurekebisha nywele zao badala ya kucheza mpira.
Madueke amepata chance nyingi ila ana ubinafsi ,anataka afunge yeye tu hata kama yupo kwenye nafasi ambayo si ya kufunga. Timu ikishambuliwa hakimbii wala hakabi.
Mudryk ,huyu nae anacheza kiuoga ,sehemu ya kukaza tako yeye anajilegeza, game ya leo muda mrefu hajaonekana kiwanjani.
Malalamiko ni yale yale,Jukwaa ni kama kimekufa kabisa