999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 875
- 1,629
Leo Arteta kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, atakuwa anamuongelea Boehly tu kuwa motivate wachezaji
Acha kujichoresha, yaan nyie kweli kondoo mmeshindwa kuchukua ubingwa kwa kumfunga city mnakuja kujisifia kumfunga chelsea ambae amejifiaga zake siku nyingi. Halafu mlivyokua vilaza mnaweza hata msishinde.Leo Arteta kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, atakuwa anamuongelea Boehly tu kuwa motivate wachezaji
Nyie ndo miyeyusho, timu lenu bovu alafu mnakuja kutucheka sie. Leo ndo mtasema hiyo nguvu mnaitolea wapiAcha kujichoresha, yaan nyie kweli kondoo mmeshindwa kuchukua ubingwa kwa kumfunga city mnakuja kujisifia kumfunga chelsea ambae amejifiaga zake siku nyingi. Halafu mlivyokua vilaza mnaweza hata msishinde.