Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,593
- 35,853
Tumchukue Seleman MatolaLampard afukuzwe kazi asiamke akiwa kocha wa Chelsea
Naona leo mnapita Emirates na khanga moko iliyoloa wahuni washamaliza pakti 1Mauaji ya kimbari. Yeloooi yeloooi namba saba kitani
Lampenga anajifanya amekunywa maji ya bendera ya chelsea 😂Lampard naye tamaa tuu mtu ushafukuzwa mara mbili unashindwa kujipa muda wa kujitafakar
Tuambie, unasema haya kwa mamlaka ya nani?Lampard afukuzwe kazi asiamke akiwa kocha wa Chelsea