Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,849
- 16,321
Chelsea nyie ndio FAHARI ya London sio ile misule ya Arteta.
Tunawaomba leo msituangushe kuanua matanga rasmi pale kwenye makaburi ya Emirates.
Hizi kima za Arteta sasa hivi ziko very dispirited, mimi nina imani mtazifunga, na hata ikishindikana kuzifunga ila mnauwezo wa kutoa kudraw.
Hakikishe huyu marehemu Tembo asirudi tena juu ya mti hata kwa sekunde mbili.
Chelsea ingawa ni kweli msimu huu hampo kwenye ubora wenu lakini hizi Arsenyau zinapaswa ziwaheshimu na zitambue kuwa nyie ndio:
- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda Ligi ya mabingwa Ulaya
- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda Europa League
- Klabu ya mwisho kutoka London kushinda kombe la Ligi kuu ya Uingereza
- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda kombe la Super Cup
- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda kombe la dunia la vilabu la FIFA