Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

TT anamtaka Kova
Chelsea wako tayari kumuiza nje ya PL
Uuzaji wa Kova utatoa nafasi nzuri ya kuwaleta viungo wa kizazi kipya kama Caicedo. Na pia itatoa mwanya kwa akina Santos kupata muda wa kutosha kukomaa haraka kwenye Chelsea mpya.
Kwa maoni yangu sio kila mara tuuze tu takataka. Tukiuza wachezaji wenye kuizika itatipa pesa ya kuweza nunua wachezaji wazuri zaidi na pia kipunguza nakisi ya mapato na matumizi ili kiepuka kwanja la FFP
 
Tena msimu huo tulimgonga city nje n
Kwani Tuchel alipoikuta timu sio ilikuwa na wachezaji wa kawaida tu, mbona aliwainua kiwango na akabeba UCL mbele ya Man City iliyokuwa onfire 2021?

Mimi nadiriki kusema japo tuna baadhi ya wachezaji matakataka ila sehemu kubwa ya ubovu wa Chelsea ni nje ya wachezaji

Uongozi wa Boehly na Kocha mbovu anayeletwa na Boehly
Kuna kitu kibaya Boehly kawakatisha tamaa wachezaji
Wachezaji wanaona hawana future Chelsea kwa sababu hakutakuwa na kuboresha mikataba kama wakati wa Abramovich. Case study ni mkataba wa Mason Mount
Kuna fununu pia zilisikika kuwa wachezaji wenye mishaha mikubwa wataondolewa
Kitu wachezaji wanachoona kuwa kuwa huu utawala mpya hawako tayari kuwaboreshea wachezaji mikataba yao so kwa nini wachezaji wajitoe mhanga wakati matajiri wenyewe hawako tayari kufanya hivyo?
Tendo la Bopehly kwenda dressing room kuwafokea na kuwany

Tendo la Bopehly kwenda dressing room kuwafokea na kuwanyanyapaa wachezaji kinawaumiza wachezaji wapya akiwemo Mudryk na Enzo na wengineo.
Pia kuna wachezaji wengi wameanza kulalamika kuwa waliingizwa chocho na boehly kuwasainisha mikataba ya muda mrefu na huku hawapewi muda wa kucheza
Hizi ni tetesi tu, ukweli utajulikana muda unavyokwenda
So ukiona wachezaji wamejikatia tamaa ni kwa sababu wanaona hawana future nzuri Chelsea
Tena msimu huo tulimgonga mancity yule city wa moto aliyekuwa anatembeza dozi ligi nzima ,tulimpiga nje ndani kwenye semifinal kombe la FA na tukamgonga final ya Uefa tukanyanyua kwapa , Chelsea benchi la ufundi ni ovyo na nina mashaka na hao wakurugenzi wa michezo ,recruitment na ufundi hapo Chelsea ,ni viazi , haiwezekani timu iwe na maamuzi mabovu hivyo especially sehemu nyeti kama recruitment ya kocha
 
Zama zinabadilika, ni ngumu sasa kupata wachezaj aina yakina drogba,terry,ballack,

We angalia hata team zingine zikoje
Kocha ana nafasi sana ya kunyoosha tabia ya wachezaji na kuleta kujituma na nidhamu dressing room . Angalia Guardiola alichofanya pale city ,pale hakuna umama umama ni nidhamu na kucheza mpira na kujituma asilimia mia , leo hii average player Chelsea pale wanaleta mambo ya kisenge sababu hamna enforcer WA nidhamu na kujituma uwanjani ,that's the problem
 
Pochettino naye ni evarage coach, sijaona akiwa na mafanikio ya kombe lolote la maana.

Hivi hawa ni Wazungu kweli au Wazungu pori, mbona akili za kufikiri nnje ya boksi hakuna kabisa?
Nina mashaka na wakurugenzi wa ufundi na michezo pale Chelsea ,wao ndio organisers WA hivi vitu , recruitment ya makocha na wachezaji na kutengeneza plan ya kuexecute maono ya timu .
 
Upumbaf unaoendelea pale kwenye dressing room ya Chelsea na benchi la ufundi imenifanya kumkumbuka Mourinho , uzembe ule kuna wachezaji pale wangekuwa wanachezea viboko kabisa
 
THE BLUES vs ASER8

Mbona tumeshafungwa sasa

James hayupo, kwahiyo mzee Azip ndio atapambana na Martinel. Mzee atajeuzwa kama chapati

Upande wa Chilwell sio mbaya anaweza kupambana na Saka.

Partey, Ode & Shaka vs Enzo, Kante & Kovacic, chini ya Lampard kante anacheza juu sana kama mshambuliaji.

Anaacha gap kubwa hapo katikati, enzo bado hajaingia kwenye soka la epl la nguvu na kasi. Kiungo yetu italemewa/itajeuzwa kuwa lango la walanguzi.

Pale Lampard atakapowapanga Gallagher na Sterling kama washambuliaji tegemezi ndio muendelezo wa kituko wa kutokufunga magoli.

Kiufupi kesho hakuna draw bali kufungwa tuu 2+
Nimeona kuwa Havert atakwepo uwanjani kama starter...uzuri wa Kai ni mzuri kwenye kuhold mpira hadi wenzie washike nafasi.
 
Hawa ni wazuri sana na tunao msimu ujao
1682971692633.png
 
picha la kesho hiyo arteta atawabanika mapema sana
 
Attachments

  • 32591333-9B40-4F18-A7C2-7719742FC8EC.jpeg
    32591333-9B40-4F18-A7C2-7719742FC8EC.jpeg
    24.6 KB · Views: 10
Akisajiliwa Youssouf Fofana sasa tunakuwa na Fofana watatu kwenye kikosi
1682981494675.png
 
Akisajiliwa Youssouf Fofana sasa tunakuwa na Fofana watatu kwenye kikosi
View attachment 2606778
Shida si Wachezaji wa aina gani, ISIPOKUWA hata aje Mchezaji toka mbinguni ila bado tu hataleta manufaa yoyote sababu "gari zuri bila Dereva sahihi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu tu (timu nzuri bila Kocha bora) ni sawa na kuufukuza upepo tu"..

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Leo Datro Fofana aidha ataanza au atakuwa kwenye bench
Kai ay Auba wasipoanza, Datro ndiye wa kuanza kwenye striker role

So line up itakuwa hivi
line up 3-4-2-1

--------------------- Aubameyang------------------------

Felix---------------------------------------------- Sterling

Chilwell------------- Enzo -------------Kante -----Azpilicueta

-------Badiashile -----------Silva ----------Sofana--------

-------------------------Kepa --------------------------

Sub:
  1. Mendy
  2. Chalobah
  3. Lewis hall
  4. Cheek
  5. Kovacic
  6. Mudryk
  7. Pulisic
  8. Havertz
  9. Datro Fofana
Referee: Robert Jones
VAR: Andre Marriner
 
Wachezaji watakaouzwa msimu huu wa kiangazi ni wale waliobakiza mwaka mmoja hadi miwili kwenye mkataba
Hata kama mchezaji ni mzuri kama hayuko tayari kuongeza mkataba atauzwa dirisha hili akina Boehly hawako tayari kubembeleza kwa sababu hawako tayari kuongeza mshiko kiholela
So tutegemee hawa wanaweza kuwa kwenye hati hati ya kuondoka
  1. Mason Mount - tangu Feb 23 hakukuwa na mazungumzo yeyote ya kuboresha mkataba wake kama anavyotaka. Timu nyingi na kubwa zinamtaka zikiwemo Liver na Arsenal
  2. Mateo Kovacic - asipoboreshewa mkataba wake sidhani kama atakubali kusaini mkataba mwingine, anatakiwa na Tuchel
  3. Pulisic - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake - mtumishi hewa
  4. Cheek - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
  5. Auba - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
  6. Azpilicueta - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
  7. Koulibally - mambo hayakumuendea vizuri drajani
  8. Hakim Ziyech - hana ham,u ya kuichezea Chelsea
  9. Conor Galagher - misfit
  10. Edourd Mendy - Anahitaji mkataba mzuri zaidi - Chelsea hawako tayari kuongeza mshiko anaoutaka
  11. Odoi - hajaonyesha cheche zozote kule Leverkusen
  12. Ampadu 50/50
  13. Malang Sarr - anarukaruka no, sio clinical kwenye kukaba
  14. Bakayoko - Hafai kwenye mfumo
  15. Rahman baba - no
  16. Lukaku - Mentality yake dhidi ya Chelsea ni hasi
 
Wachezaji watakaouzwa msimu huu wa kiangazi ni wale waliobakiza mwaka mmoja hadi miwili kwenye mkataba
Hata kama mchezaji ni mzuri kama hayuko tayari kuongeza mkataba atauzwa dirisha hili akina Boehly hawako tayari kubembeleza kwa sababu hawako tayari kuongeza mshiko kiholela
So tutegemee hawa wanaweza kuwa kwenye hati hati ya kuondoka
  1. Mason Mount - tangu Feb 23 hakukuwa na mazungumzo yeyote ya kuboresha mkataba wake kama anavyotaka. Timu nyingi na kubwa zinamtaka zikiwemo Liver na Arsenal
  2. Mateo Kovacic - asipoboreshewa mkataba wake sidhani kama atakubali kusaini mkataba mwingine, anatakiwa na Tuchel
  3. Pulisic - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake - mtumishi hewa
  4. Cheek - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
  5. Auba - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
  6. Azpilicueta - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
  7. Koulibally - mambo hayakumuendea vizuri drajani
  8. Hakim Ziyech - hana ham,u ya kuichezea Chelsea
  9. Conor Galagher - misfit
  10. Edourd Mendy - hana ham,u ya kuichezea Chelsea
  11. Odoi - hajaonyesha cheche zozote kule Leverkusen
  12. Ampadu 50/50
  13. Malang Sarr
  14. Bakayoko
  15. Rahman baba
  16. Lukaku - Mentality yake dhidi ya Chelsea ni hasi
Katika wachezaji ambao nashangaa kuflop ni huyo Pulisic, huyo mtoto alipokuwa Dortmund, alikuwa ana u"mess" flan ndani yake.

Hakuna mchezaji natamani aflop kama Mudryk, kwanza Leo ashukuru Mungu arsenal kadrop, ilikuwa kazi anayo leo.

Hilo kenge lenu Mount, bakini nalo, Hana mpira wa kumpeleka Arsenal
 
Chelsea pamoja na kuwa na kikosi kama "Dunia nzima" lakini hakuna mchezaji anayeweza kuingia first eleven ya Arsenal
 
----------------- Jesus---------

Martnel ----- Ode ----- Saka

------ Partey ---- Kante --------

Chil - Gabriel - Silva - James
Unaniwekea mizee na vilema. Yani nimweke nje zinchenko, Silva alichomzidi Saliba uzoefu tu. Labda kidogo James, na kante kwenye ubora wake
 
Hivi nyie wachovu bado hamjaivunja record ya Arteta ya kufungwa mechi karibu 8 mfululizo??

Yani game ya Leo mt apigiwa mpira mwanzo mwisho, kazi yenu itakuwa kusafa tu, alafu mtaamua wenyewe mfungwe dakika ya ngapi
 
Ndio maana Abramovich alimkataa Boehly alipojaribu kuinunua Chelsea 2019
Lawama FC
Lialia FC

Sasahivi mbuzi wenu wa kafara ni tajiri Boehly.
Yaani wachezaji wamelegeza viuno,lawama anapewa tajiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom