Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani Tuchel alipoikuta timu sio ilikuwa na wachezaji wa kawaida tu, mbona aliwainua kiwango na akabeba UCL mbele ya Man City iliyokuwa onfire 2021?

Mimi nadiriki kusema japo tuna baadhi ya wachezaji matakataka ila sehemu kubwa ya ubovu wa Chelsea ni nje ya wachezaji

Uongozi wa Boehly na Kocha mbovu anayeletwa na Boehly
Kuna kitu kibaya Boehly kawakatisha tamaa wachezaji
Wachezaji wanaona hawana future Chelsea kwa sababu hakutakuwa na kuboresha mikataba kama wakati wa Abramovich. Case study ni mkataba wa Mason Mount
Kuna fununu pia zilisikika kuwa wachezaji wenye mishaha mikubwa wataondolewa
Kitu wachezaji wanachoona kuwa kuwa huu utawala mpya hawako tayari kuwaboreshea wachezaji mikataba yao so kwa nini wachezaji wajitoe mhanga wakati matajiri wenyewe hawako tayari kufanya hivyo?
Tendo la Bopehly kwenda dressing room kuwafokea na kuwanyanyapaa wachezaji kinawaumiza wachezaji wapya akiwemo Mudryk na Enzo na wengineo.
Pia kuna wachezaji wengi wameanza kulalamika kuwa waliingizwa chocho na boehly kuwasainisha mikataba ya muda mrefu na huku hawapewi muda wa kucheza
Hizi ni tetesi tu, ukweli utajulikana muda unavyokwenda
So ukiona wachezaji wamejikatia tamaa ni kwa sababu wanaona hawana future nzuri Chelsea
Magumu wanayopitia Liverkuku, Arsepimbi na Mwantesa Utd ndiyo nasi Wana Chelsea tutayapitia tutake au tusitake.

Mimarekani haiko kimpira kwa starehe bali wapo kimasilahi tu tofauti na Waarabu.
 
Naomba uelewe maana ya future. Usinitafsiri direct. Tumchukulie .udryk kwa naiaba ya wengine. Hata acheze vizuri baada ya mpriea wake kukua may be 5 year to come anahisi hataboreshewa mkataba wake kwa sababu ya kauli zinazotolewa na Boehly huku aliwafungishia mkataba wa miaka mingi. Wanaona career yao imewekwa kifungo cha muda mrefu. Hiyo ndio maana ya andiko langu. Wewe ukaja ukafanya direct transalation bila kujali details za kwenye andiko
Kuhusu Mount suala siyo 250k suala ni kukubali kuboresha mkataba. Naamini angekuwa ni Abramovich suala la mkataba wa Mount lingeshamalizwa. Penda usipende Mount ni mchezaji mzuri na anastahili 209k+ kwenye mkataba wake kwa sasa
Yes anayo haki ya kulalamika kwa kuzika trilioni bila akili na akiendelea kulalamika ataua timu kabisa.
Huo ubilionea nadhani kapata kwa wizi kwa sababu hajui mbinu za uongozi wala business
Kwa mpira gan anaocheza mount nyie ndo mnaharibu mpira kwa kupandisha mishahara ya wachezaji wa kawaida sana
 
Mkuu utaboresha vipi mishahara ya watu kama kina mudryk?? Yaani mchezaji anashijdwa hata kutuliza mpira ,kutoa pasi au kupiga shuti ili hali kasajiliwa karibu euro milioni 100.

Mchezaji kama mount unamlipaje £250k au £300k per week....ana nini cha ajabu anaisaidia chelsea. Akitoka chelsea hakuna klabu kubwa itakayomtaka na kumlipa pesa kama anazolipwa chelsea.

Boss ana haki ya kulalamikia pesa zake , ametoa zaidi ya trilioni moja ya kibongo kusajili wachezaji ambao hawajitumi na hawana uchungu na timu. Kufoka na kugomba ni halali yakr
Kuna vitu viwili naoana unavichanganya, mudyk sio mbovu,mchezaji mzuri na mbovu utamjua tu ata kama timu haichezi vizur, the way anatoa pass na movement zake uwanjani, nitashangaa pia kama utasema Enzo pia ni mbovu kama jamaa mwingine humu anavyosema eti mpaka blichi, enzo ni bonge la mchezaji.

Halafu pia chelsea haina wachezaji wabovu kama unavyosema. Chelsea hii hii akapewa kipara na lampard akapewa Man city bado utarudi hapa kulalamika City haina wachezaji wa kupambana.

#Chelsea ina wachezaji haina kocha, KONDOO ina kocha haina wachezaji.
 
Wachazaji wazuri wanachanganywa na wachezaji wabovu, wanaongozwa na kocha kiazi. Ghallager na Challobar ni matakataka.
 
Pochett
Pochettino naye ni evarage coach, sijaona akiwa na mafanikio ya kombe lolote la maana.

Hivi hawa ni Wazungu kweli au Wazungu pori, mbona akili za kufikiri nnje ya boksi hakuna kabisa?
Pochettino sio mzungu....ni muargentina (muamerika kusini/latin america)
 
Un
Naomba uelewe maana ya future. Usinitafsiri direct. Tumchukulie .udryk kwa naiaba ya wengine. Hata acheze vizuri baada ya mpriea wake kukua may be 5 year to come anahisi hataboreshewa mkataba wake kwa sababu ya kauli zinazotolewa na Boehly huku aliwafungishia mkataba wa miaka mingi. Wanaona career yao imewekwa kifungo cha muda mrefu. Hiyo ndio maana ya andiko langu. Wewe ukaja ukafanya direct transalation bila kujali details za kwenye andiko
Kuhusu Mount suala siyo 250k suala ni kukubali kuboresha mkataba. Naamini angekuwa ni Abramovich suala la mkataba wa Mount lingeshamalizwa. Penda usipende Mount ni mchezaji mzuri na anastahili 209k+ kwenye mkataba wake kwa sasa
Yes anayo haki ya kulalamika kwa kuzika trilioni bila akili na akiendelea kulalamika ataua timu kabisa.
Huo ubilionea nadhani kapata kwa wizi kwa sababu hajui mbinu za uongozi wala business
unaongea mtu ambaye hujawahi hujawahi kumiliki hata dollar laki moja
 
LEAKED JEZY FOR 2023/24

Fu5wP-NaUAAidAn

Fu5naPsXoAEO7e9

Fu5naPqWAAITJ6j
 
  • Roy Hodgson: 6 Games, 4 Wins
  • Frank Lampard: 23 Games, 3 Wins
Fu4u333WAAAOgfq
 
Todd Boehly na wenzake kwenye maamuzi wako hovyo sana
Ushahidi ni huu
  1. Kufukuzwa Marina, Bruce, Cech na wewnzake kwa mshutuko
  2. Kutimuliwa Tuchel kwa mshituko
  3. Usajili holela na wa masifa mengi wa wachezaji
  4. Kuajiriwa kwa Potter na kupambwa kwingi
  5. Kuajiriwa kwa Lampard aliyeproove failure Chelsea na Everton
  6. Maamuzi ya hao mabosi kuingilia dressing room na kuwafokea wachezaji, wakati hiyo ilitakiwa kocha ndie afanye
Huko mbeleni hakuna tumaini kabisa kwa sababu msingi mkuu wa mafanikio ya Chelsea yako kwenye maamuzi yenye tija ya hao mabosi wanaokurupuka
 
Wakati wanauziwa Timu mulifurahia sana tu
 
Wachezaji wa Brighton ni wa kawaida sana
Wengine walikosa namba Chelsea
Gilmour aliyekiwasha jana kakosa namba hadi akaondoka, naamini Gilmour angeendelea kuwepo Chelsea angeonekana ndie takataka mkubwa kuliko wote Chelsea
Sasa yuko Brighton tunaweza kumnunua kwa mil 70
Chelsea kuna shetani kaingia darajani
Kocha naweza kusema ni 30% ya tatizo la kutocheza vizuri
Wachezaji siwapi hata 1%
70% ya tatizo la Chelsea yako kwenye maamuzi ya kijinga ya viongozi wa juu kinara akiwa ni Todd Boehly

Ukitaka kujua huu uongozi kuanzia kwa mmiliki, bodi wakachukuliwa paa wakawekwa pale City, city inaweza ikashuka daraja msimu unaofuata
 
Klopp anafurahia mambo hayakwenda vizuri Chelsea iuli iwe mfano na somo
Adai tunatakiwa tujifunze kuwa sio tu kuwaweka wachezaji wazuri pamoja na mambo yakawa mazuri
Kwenye hayo mahojiona anasema uongozi umewapa makocha kazi isiyowezekana.
Anasema timu ni lazima ijengwe, mahusiano lazima yajengwe, team spirit lazima ijengwe. Huwezi kuwa na dressing room mbili, huwezi kuwa na viwanja viwili vya mazoezi
Anaendelea kusea kuwa huwezi kuleta tu wachezaji maarufu ni lazima ulete wachezaji wanafaa kwenye kujenga timu mpya.
1682863735049.png

Bornamouth eti nao wanataka watupite kwenye nafasi ya 12
Mwaka huu kila nyota ya angani tutaona
 
Kuna hii thread nimeicopy kutoka Twitter jamaa kaongea point tupu.
Nikipata mda nita itafsiri kwa kiswahil

Inaanza kama ifatavyo.
Had an argument with a fellow Chelsea fan offline, and I told him that the Roman model was bound to be phased out sooner than later and here is why

Money :Roman came into football at the time where the "haves" were really few and the "have not" were more. This created a natural

Separation, what this means is that Chelsea were operating on a different level financially than their fellow competitors. In todays game a Brighton or Southampton can casually spend 100mill+ in a transfer window and not flinch. Every one is Rich so the gap is closer than ever.

Talent :The talent pool we could access then due to our financial advantage can now be accessed even much earlier before peak season. Take a look at Evan Fergus /Havertz for the fee we paid, we signed an arguably less talented player. So where is the advantage? Clubs with proper Planning are tapping into the superstar market way before the stardom happens, basically before you sign your Neymar from Barca, a club like Southampton has signed him from Santos. Crazy crazy stuff.

Coaches :Hire & fire the MO of Roman, as Mikel Obi mentioned "when he touched down with his helicopter the manager was gone "this worked at the time because the few available class managers then prioritized winning over anything else and clubs of status attracted them. Today stability is the watchword. Why do you think Pep turned us down severally??

Stability plays a very key role in a managers success and this extends to players too. Also the constant chop and change meant that we had blow through atleast half the elite coaches available, a constant chop and change means at some point we will be left with re-hiring exCoaches or settling for unproven ones (that the fanbase hates so much) either way that course of action was bound to backfire. Many ofcourse will interpret this as a dig on Roman, no its not its just to show that what he was doing was unsustainable regardless of the intention.

Points kama mbili kubwa nimepata kwenye comparizon ya Roman Model na current situation
Wakati wa Roman ushindani wa kifedha ulikuwa mdogo na kwa hiyo Roman aliweza kuchukua wachezaji wazuri ambao timu ndogo hazikuweza. Pia aliweza kuwachukua makocha wazuri ambao walikuwa wachache ukitofautisha na sasa. Kipindi hiki tulicho nacho kuna makocha wengi wazuri wanaofundisha soka la kisasa tena kwa bei rahisi kwa hiyo kwa sasa kila timu ina uwezo wa kuajiri kocha mzuri na akaleta ushindani kwa timu kubwa. Pia suala la usajili unasajili Neymar kwa mil 120 kutoka PSG wakati Brighton wao wanamsajili Neymar kutoka Santos kwa mil 6 na kuleta ushiundani ule ule au saa nyingine huyu wa Neymar Santos akacheza vizuri zaidi.

Tukubali kuwa maono ya Boehly na wenzake inaendana kabisa na mpira wa kisasa wa kujenga timu endelevu na imara kwa gharama nafuu. Ila sasa tatizo kubwa liko kwenye maamuzi na kuyaweka hayo maono kwenye vitendo. Maamuzi mabaya daima humfanya mtu kwenda tofauti kabisa na maono wakati wa utekelezaji.

Mudryk. Enzo, Nkunku, Fofana na hao wengine haikutakiwa kabisa kuja kuwekwa kwenye timu yenye sifa hizi nne
1) Sera mbovu
2) Uongozi mbovu
3) Kocha mbovu
4) Kikosi pana kiasi cha kuwafanya wengine hata benchi wasilione kwa muda mrefu, dressing room itanuna

Hayo mambo manne yanatakiwa yarekebishwe haraka sana tukianzia na kupunguza kikosi kwa kuwaondoa wasiofit kwenye mfumo wa kocha. Kama kocha atakuwa Potechino achague wachezaji wake halafu waliobaki wauzwe

Pili ziundwe sera za kuweka migawanyo ya kazi kwa wamiliki, bodi na kocha na support staff wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom