Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shit again for Reece james
1682444130206.png
 
Mauricio Pochettino ni mpenzi sana wa 4-2-3-1
Mfumo huu unatumiwa zaidi ya makocha wanaosisitiza counter attack
Kwa mfumo huu tunaweza tusione ubora wa wing-backs wetu akina Reece James na Chilwell
Pia nasikia akiwa Spurs alitumia zaidi mfumo wa wing-backs na kama atakuwa flexible basi itakuwa ni kwa faida ya timu
Pia tutaona akina Mudryk, Nkunku na Madueke wakiwa kwenye full action kule mbele
Nasikia kuna uwezekano wa Lukaku kuombwa akubali kuichezea Chelsea badala ya kuingia sokoni kununua striker. Kuna pia debate inataka kuamshwa kwamba Pochettino anaweza kumshawishi Kane ajiunge na Chelsea

Kwa hali ilivyo sasa kazi kubwa ya msimu ujao ni kuuza zaidi ya kununua

Line up ya 343

----------------Lukaku ---------------

Mudryk ------------------------Nkunku

Chilwell ----Enzo -----Kante ----- James

Colwill -----------Silva ---------- Fofana

------------ New GK ------------------

Line up ya 4-2-3-1

----------------Lukaku ---------------

Mudryk ---------Nkunku---------Mount

--------Enzo ------------Kante --------

Chilwell----Colwill ----Silva ------- James

------------ New GK ------------------

1682445174608.png
 
lampard anatakiwa saivi apambane kuwachezesha wachezaji ambao n wa mda mrefu awa wanaosepa msimu ukiisha wafanye2 mazoezi cobham uko ila wacheze watu ambao tutaanza nao mcimu ujao wakina noni, chukuemeka, datro, mudrick awa tuko nao sana ao wakina ziyech, auba, pulisic, denis wanatupotezea mda2 awana cha kupoteza
View attachment 2599828
 
Naye Mount majeruhi hadi msimu uishe
Tusipobadili gia, msimu ujao tutachezea double figure ya majeruhi msi.u mzima. Hii audit ya medical department aliyofanya Todd yapo wapi matokeo yake?
 
lampard anatakiwa saivi apambane kuwachezesha wachezaji ambao n wa mda mrefu awa wanaosepa msimu ukiisha wafanye2 mazoezi cobham uko ila wacheze watu ambao tutaanza nao mcimu ujao wakina noni, chukuemeka, datro, mudrick awa tuko nao sana ao wakina ziyech, auba, pulisic, denis wanatupotezea mda2 awana cha kupoteza
View attachment 2599828
Natamani pia akina datro, madueke na hao outcast wengine wageni wapewe nafasi ya kucheza zaidi
 
Magoli ya kufunga kwa timu zilizo kwenye upande wa chini wa jedwali la epl, Chelsea ni ya mwisho chini
Fulib4-WcA0MwMy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom