Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Lampard mikumi kabisa
Taarifa zinasema Thiago Silva yuko fit kwa mechi ya keshoMechi ya kesho hatutakuwa na hawa wachezaji
Wengine wote wako wazima
- Mason Mount - Groin/Hip/Pelvic Injury
- Thiago Silva - Knee Injury
- Azpilicueta - Head/Face Injury
1st eleven panga pangua Galagher, Cheek, chalobar, sterling ndani.Sisi kesho na huyu bumpkin Lampard sijui itakuwaje ,ila ninahisi kuhama kwa Chelsea ,kipigo cha mbwa koko , wale watoto akina vinicius ,ustaz benzema watatuua
Thiago silva na Mount wote wapo fit na wamesafili na timuTaarifa zinasema Thiago Silva yuko fit kwa mechi ya kesho
Twende na hii line up ya 4-3-3
Felix------------------ Havertz -------------------- Ziyech
Kovacic -----------------Enzo --------------------- Kante
Chilwell ----------Silva ------------- Fofana ---------James
--------------------- Mendy ---------------------------
Sub
- Kepa
- Koulibaly
- Cucurela
- Galagher
- Zakaria
- Cheek
- Mudryk
- Pulisic
- Sterling
Kutoka leo ni ngumu tutegemee labda maajabu ya mpiraWakuu, naomba tujadili namna ya kutoka leo kwa Real Madrid - mnaonaje mwanya upo?
huyo cheki ndipo matatizo yanapoaniaga, hana ubunifu ni shida - Huyo steling wa movie na yeye bado hajapata click tangu ajiunge chelsea bado anahangaikia maisha yake, Choba atusubiri nje, Galagher bado ana struggle ku click kwenye timu.1st eleven panga pangua Galagher, Cheek, chalobar, sterling ndani.
hapo kama umesema ukweli kabisa, ila naomba leo kwa sababu tupo away basi tusipigwe nyingi, walau 2-1 ama 3-1 si mbaya kutakuwa na uwezekano wa kubinua meza pale darajani next week.Kutoka leo ni ngumu tutegemee labda maajabu ya mpira