Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

20230412_205556.jpg
 
Atakayepamudu katikati ndo anashinda hii mechi. Akina Modric, Croos na Velvede hawapaswi kupewa uhuru. Modric akiruhusiwa kupiga zile quality passes tumeisha Chelsea.
#KTBFFH
Mbele hakujabalance aiseee, hilo hamlioni.
 
Mnapitwa hapo kati kama pako wazi hivi[emoji23]
Ngoja tuone mnavyopindua meza the blues
Lampard kocha la makombe[emoji110]

Salama yenu ni kutoa tu hii timu uwanjani 1st half
Vinginevyo mtsdhalilika sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom