Kwani Chelsea ni timu ya nchi gani?
kelele zenu sawa na waingereza na vyombo vyao vya habari
kelele zenu sawa na waingereza na vyombo vyao vya habari
Kuna watu Km Negredo na Aguero wakisaidiwa na Toure!
Hapa Wakuu inabidi kujipanga kweli Hasa kuweka kiungo ambacho kitahakikisha Toure haleti madhara! Kwani Fenandinho sio Msumbufu sn Km Toure. Kwahiyo yeye ni rahisi kumdhibiti!
Na pia kuna kitu ninacho kiona! Inapaswa City ashindwe kabisa kupita kwa katikati na pembeni pia! Yani ni kubana kila sehemu! Kwahiyo Willian na Hazard Lazima washuke Kuja kusaidia Beki za pembeni ili Silva na Nasri washindwe kabisa kuingia ndani kwetu!
Usiwe na hofu mkuu wangu Ntuzu, City hawatafurukuta. Mechi ya kwanza tulishinda wakati huo timu ilikuwa haijatulia kama sasa; lakini Chelsea ya sasa ni wembe mkali sana. City watakaa utakuja kuniambia.:clap2:
Jidanganye tu...they have to play with caution na sio kwamba wanawaogopaNinaamini City nao wanahofu sana kukutana na ss
Mkuu Mimi sina wasiwasi kabisa!
Ninachojua Jose ataweka mkakati stahiki na kupanga kikosi mujarabu kuhakikisha City anavunjikavunjika!
Kwahiyo hichi kitu nakifahamu! Timu Km Liverpool ilicheza vizuri sn Etihad sema bahati haikua Yao! Na Hao Liver sisi tumewafunga na liver walikua wazuri Zaidi ya city! Kwahiyo hapo utaona tofauti! Alafu pia na Wao city Hasa Kocha Wao anaumiza kichwa ni namna gani ya kuwazuia Akina Hazard Willian Oscar na Eto'o
Etihad kila nafsi itaonja mauti
Walipotolewa kwenye CHAMPIONS LEAGUE na Real Madrid Cf ikifundishwa na Mourinhoi ilikuwaje?
zilipendwa hiyo
Ok! Kwa hiyo wewe kwenye kumbukumbu zako au kwenye vyetu vyako unafuta tarehe ya kuzaliwa kwa sababu hiyo pia ni zilipendwa?
Ukiulizwa baba yako kazaliwa lini unasema "zilipendwa hizo" tuachane nazo?
Mara ya mwisho Chelsea 2 - 1 Man City.
Njoo ujibu na hii.
walicheza itihad?
Mkuu wangu Rockcity native, hoja yako ni kwamba "zilipendwa" huzitaki nimejibu post yako.
sasa kuhusu walifungwa wapi sidhani ni hoja ya msingi:
Kwenye msimu huu hakuna timu ya top 5 ambayo imeifunga Man City isipokuwa Chelsea peke yake:
Newcastle walifungwa mechi zote:
Newcastle walifungwa mechi ya kwanza 6-3.
Liverpool walifungwa 2-1.
Spurs walifungwa 6-0.
Man Utd walifungwa 4-1.
Sasa kuna timu moja tu kiboko ya Man City kati ya timu zote kubwa Uingereza, Chelsea ndo timu pekee kwenye top 5 ambayo imemudu kuifunga Man City; mpira ni magoli: