Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu

Uchambuzi wako ni mzuri! Lkn tuende pale kwa kulinda goli au tukacheze mpira Km siku ya Liver?

Maana tunapopanga kikosi tuangalie na jinsi tutakavyo cheza!

Tuende kucheza ndio maana nimemtaja Matic. Kama ni defensive apangwe mikel na D. Luiz!!!

I want us to give them a taste of their own game....perfect midfield, counter and striking. Defence yetu inajitahidi.

Midfield yetu itadetermine sana game yetu itaendaje. Who ever is put forward wont really matter.
 
Mkuu unaonaje hoja ya Mkuu Mourinho?

Mourinho anashauri tukabane uwanja tusifunguke! Unaonaje hoja zake? Mimi nimesha mjibu kwa maoni Yangu! Ningependa kuona mawazo yako Mentor na agosti 8 kuanzia kikosi alichopanga huyo Mkuu na maoni Yake! Mnaonaje Wakuu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mourinho Uchambuzi wako na hiki kikosi ulichokipanga ni kizuri! Hapo kwa Beki ya kushoto ni vema angeanza Cole kwa ajili ya kukimbizana na J Navas.

Na pia hiyo game Lazima tukacheze kwa mifumo yote miwili kukaba na kushambulia kwa asilimia Mia moja! Kwasababu tukiwa na kazi ya kubana tu bila kufunguka tutawapa nafasi ya kutawala game na kutushambulia au kucheza ktk eneo letu kwa muda Mrefu!

Mkuu na wasiwasi na Boss wenu hatakua tayari kushambulia kwa 100%, ona kilichowakuta Arsenal na Spurs hapo Etihad walivyojaribu kushambulia toka mwanzo wa mchezo.

Na je unaiamini team yako kucheza attacking football at the Etihad against the mighty City?
Me nadhani mkipata hata point moja hapo Etihad itakua safi sana kwenu kwa sababu City bado anasafari ya Old Trafford, Emirates, Goodson Park, White Hart Lane na Anfield na Man City wanajulikana kuwa ni wabovu wakiwa ugenini, match zote walizofungwa ni away from home.
Wakati nyinyi mkitoka hapo match ya ugenini against a title contender ni Anfield tu.
 
That's not Chelsea man....wait and see!

Mpira wa kubana sidhani hata kama ukisema unawezekana kwa chelsea ya sasa ya kina hazard na willian...!!! Ndiyo maana ningependelea namba 10 ya Mata na Matic akae Midfield kwisha kazi. Mata hatahitaji kutrack back muda mwingi.

I still insist on a good midfield pairing basi...hapo ndo sina uhakika nani apangwe nani aachwe, though kama ninaweza judge game ya mtu kwa videos, then N. Matic deserves nod in that game!!!
 
Mkuu Jose sizani Km atakua tayari kushambulia kwa asilimia 100. Yani kushambulia anaweza akaipa asilimia 60.

Lkn pia sisi kwa sasa tunakikosi ambacho kinaweza kucheza mpira wowote ule dhidi ya City tena Etihad.

Ni kweli city game zao nyingi watakua away Kwahiyo ata tukipata point moja inatosha! Na Hilo ndo litakua lengo la Jose kwanza!

Nikiangalia namna tulivyo cheza na Arsenal na Liverpool, Km tutazidisha nguvu Zaidi, basi City tutawafunga!
 
That's not Chelsea man....wait and see!

Mpira wa kubana sidhani hata kama ukisema unawezekana kwa chelsea ya sasa ya kina hazard na willian...!!! Ndiyo maana ningependelea namba 10 ya Mata na Matic akae Midfield kwisha kazi. Mata hatahitaji kutrack back muda mwingi.

I still insist on a good midfield pairing basi...hapo ndo sina uhakika nani apangwe nani aachwe, though kama ninaweza judge game ya mtu kwa videos, then N. Matic deserves nod in that game!!!

Nimeona mkicheza away to Man United na Arsenal, huko kote mlicheza counter attacking football (the trade mark of Mourinho's football) kwa hiyo napata shida kidogo kuamini safari hii against Man City mtacheza attacking football.

Na me nadhani Matic kaletwa kuwapunguzia kazi ya kutrack back kina Mata, Oscar na Hazard (rumors zinasema Mou anataka dogo acheze free role) na kama akianzishwa, kitu ninachoamini sana, Matic atawasaidia sana kupunguza City's dominance in the midfield
 
1544981_681943608531224_1459794996_n.jpg
 
Mkuu Uchambuzi wako mzuri ila Ngoja tuangalie itakavyo kua!
 
That's not Chelsea man....wait and see!

Mpira wa kubana sidhani hata kama ukisema unawezekana kwa chelsea ya sasa ya kina hazard na willian...!!! Ndiyo maana ningependelea namba 10 ya Mata na Matic akae Midfield kwisha kazi. Mata hatahitaji kutrack back muda mwingi.

I still insist on a good midfield pairing basi...hapo ndo sina uhakika nani apangwe nani aachwe, though kama ninaweza judge game ya mtu kwa videos, then N. Matic deserves nod in that game!!!

Mkuu Uchambuzi wako ni mzuri sn! Ila Ngoja tuone Jose itakavyo kua!
 
That's not Chelsea man....wait and see!

Mpira wa kubana sidhani hata kama ukisema unawezekana kwa chelsea ya sasa ya kina hazard na willian...!!! Ndiyo maana ningependelea namba 10 ya Mata na Matic akae Midfield kwisha kazi. Mata hatahitaji kutrack back muda mwingi.

I still insist on a good midfield pairing basi...hapo ndo sina uhakika nani apangwe nani aachwe, though kama ninaweza judge game ya mtu kwa videos, then N. Matic deserves nod in that game!!!

Matic anaweza kuwa mzuri lakini sidhani kama ni wakati muafaka kumpanga kwenye game kama hii,kumbuka City pale kati kuna Toure,Fernandinho na Silva.Hii game Mourinho atataka kupata droo na ni rahisi kuipata nafikiri hii game inamfaa sana Mikel
 
Kutakuwa na shida gani akimweka Mikel na Matic then? Mikel anadeal na defense Matic anadeal na mbele (of course interchangeably)...
 
Wakuu,
Hao M.City tuliwachapa game ya kwanza sioni kwanini tusiwachape tena....:A S crown-1:
 
Kwa goal lenu la magumashi lile dk za mwisho..?? Washarekebisaha makosa...jiandaeni kiakili na saikolojjia yenu iwekeni sawa ili muone kupigwa ni jambo la kawaida
 
Cole hana mbio za kutosha kukimbizana na J. Navas, lakini Azp ni mwepesi tena kwa sababu kijana anatumia mguu wa kulia itakuwa rahisi zaidi kumzuia Navas kuliko Cole anayetumia mguu wa kushoto. Fikirieni hilo pia.
Mkuu Mourinho Uchambuzi wako na hiki kikosi ulichokipanga ni kizuri! Hapo kwa Beki ya kushoto ni vema angeanza Cole kwa ajili ya kukimbizana na J Navas.

Na pia hiyo game Lazima tukacheze kwa mifumo yote miwili kukaba na kushambulia kwa asilimia Mia moja! Kwasababu tukiwa na kazi ya kubana tu bila kufunguka tutawapa nafasi ya kutawala game na kutushambulia au kucheza ktk eneo letu kwa muda Mrefu!
 
Mheshimiwa Belo karibu sana. Pole kwa yaliyotokea jumapili;
Matic anaweza kuwa mzuri lakini sidhani kama ni wakati muafaka kumpanga kwenye game kama hii,kumbuka City pale kati kuna Toure,Fernandinho na Silva.Hii game Mourinho atataka kupata droo na ni rahisi kuipata nafikiri hii game inamfaa sana Mikel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom