Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ndio wakati wake wa kunyweshwa dozi umewadia
Yani Kumbe haumjui Jose!
Huyu jamaa ni kibo Yao!
Ndio wakati wake wa kunyweshwa dozi umewadia
Jose ni kocha wa kawaida tu kama Fergie ama Wenger. ana jipya gani ambalo wenzake hawana?Yani Kumbe haumjui Jose!
Huyu jamaa ni kibo Yao!
Haya bossman, panga utakavyopanga list yako. Lakini dozi huikwepi ng'ooooooooooooooooooooooo
Laabda Willian. Hao wengine magarasa tu.Kocha wako Pellegrine anawaza Na kuumiza kichwa namna ya kuwazuia kina Willian Oscar Hazard na Eto'o Alafu Wewe unapiga kelele! Zabaleta Na Gail na wenzake wana kz kubwa!
Jose ni kocha wa kawaida tu kama Fergie ama Wenger. ana jipya gani ambalo wenzake hawana?
Kakimbia Madrid.Huo ukawaida unauona Wewe tu lkn Hao waze ulowataja wanamjua kua ni nani!
Laabda Willian. Hao wengine magarasa tu.
Aguero atapiga hat trick.
Yaya Toure lazima atoke na moja.
Negredo lazima amtungue Petr kamoja
City 5
Chelshit 2
Kakimbia Madrid.
Kwa talent ile pale Madrid ivyokuwa loaded na last year hakushinda chochote! Kocha gani asingeweza kushinda kwa ile loaded talent ya Madrid?Madrid hakukimbia! Mpk kesho walikua wakimtaka!
Karudi nyumbani kwenye nyumba ya furaha always!
In your own dreams and imaginations!!!!!Siku hiyo hutomuona Toure wala Negredo wala Aguero!
Yani ni kuvunja kabisa kamfumo koote Ka city!
Dawa yenu tumeshaiweka jikoni inatokota!
Mkipona sn droo! Zaidi ya hapo tunawapiga!
Kwa talent ile pale Madrid ivyokuwa loaded na last year hakushinda chochote! Kocha gani asingeweza kushinda kwa ile loaded talent ya Madrid?
Halafu unasema simjui Jose? Alikuwa mzigo Madrid. Guardiolla alimtesa sana. Ngoja Guardiola aje EPL ndio utaona ngebe za Jose wako
In your own dreams and imaginations!!!!!
HA ha ha ha. Ngoja wengine watanisaidiaWewe Subiri uone! Alafu huyo Guardiolla ni mtoto tu kwa Jose!
HA ha ha ha. Ngoja wengine watanisaidia
against Man city nahisi Mou ataenda kutafuta Pointi 1..Man city wako vizuri Etihad msimu huu..hakuna timu inayoenda Etihad kutafuta point 3..
akiwa na kikosi kamili kwenye defence...na counter attacks za Hazard & willian
gemu bado mbichi sana
KTBFFH
Tunakwenda kushinda Etihad na Hakuna kitu kingine!
tunakwenda kushinda etihad na hakuna kitu kingine!