ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Mkuu wangu Rockcity native, hoja yako ni kwamba "zilipendwa" huzitaki nimejibu post yako.
sasa kuhusu walifungwa wapi sidhani ni hoja ya msingi:
Kwenye msimu huu hakuna timu ya top 5 ambayo imeifunga Man City isipokuwa Chelsea peke yake:
Newcastle walifungwa mechi zote:
Newcastle walifungwa mechi ya kwanza 6-3.
Liverpool walifungwa 2-1.
Spurs walifungwa 6-0.
Man Utd walifungwa 4-1.
Sasa kuna timu moja tu kiboko ya Man City kati ya timu zote kubwa Uingereza, Chelsea ndo timu pekee kwenye top 5 ambayo imemudu kuifunga Man City; mpira ni magoli:
city alifungiwa darajani mkuu mbona unataka kuchafua cv ya the citizens etihad stadium