Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ulishanidanganya Chelsea kamfunga Barcelona 2-1 nou camp,sasa wewe unadhani ntakuamini tena?
Sasa ona unapoteza muda wako bure, timu yako kongwe ya Uingereza tumeifunga jana; kila zama na kitabu chake au vipi?
Sasa wewe lete rekodi zako unazojua kuhusu Barcelona vs Chelsea na unipe na source, nyinyi hamna cha kutunyima usingizi::boxing:
 
Wakuu Mentor agosti 8

Man City wako na Toure na Fenandinho pale katikati! Na wakisaidiwa na Nasri na Silva Pamoja na Negredo na Aguero.

Sisi Km Chelsea tumpage nani ktk kikosi chetu ili tuweze kuwazuia Hawa City na kuwafunga?

Tukianza na viungo Pamoja na Striker na Walinzi?

Cech - Ivanovic, Cahill, Terry (C), Azpilicueta - D. Luiz, N. Matic - Willian, Mata, Hazard, Eto'o

Subs: A. Cole - Ramires, Mikel - Oscar - Ba!
 
Mata,Torres,Azpilicueta na kocha Benitez hao ni majina makubwa.

Umeshawahi kuona naposti 'unazi' kwenye thread yako?
Wewe unashinda humu kuandika vitu vya ajabu ajabu mtu wangu shida nini? Asante kwa kuchangamsha thread yetu; Sisi tunatenda nyinyi mnaongea.:boxing:
 
Kwa hivyo ulitaka wote tushabikie Man utd ama Liverpool pekee!?? Kwa kuwa ndiyo timu kongwe? Unataka na mimi wa 1993 niishabikie Man utd kwa sababu ni timu kongwe? Kwa ukongwe upi nilionao?

Acha ushamba wewe hata kama ndiyo imeanza kuvuma afta Ibrahimovic so what! Wakati wa Ibra kwani Man utd na Arsenal (tena the invincibles era na enzi za Highbury) hazikuwa zikivuma?

Ndiyo tumeipenda, ingekuwa hapo kabla tulikuwa tunashabikia Leeds utd unaweza kusema hivyo but as far as i know..whether ilitokana na kununuliwa na Ibra au la..Chelsea ndiyo timu yangu ya kwanza kuishabikia kwa timu za ulaya. Main reason by then was the name, THE BLUES. I loved the color na ndicho kipindi nilianza kufuatilia mpira wa ulaya...hiyo plastic fanship mnayotuvika ni ukweli unaouma kuwa we will never go down tena...nyie mtabaki na historia sisi tutaendelea with our winning ways.

Mfano mzuri ni speeches za makocha wa sasa wa timu hizi mbili.

Moyes anasema, "Kikosi hakijitoshelezi kushindania ubingwa. Kikosi kinahitaji mabadiliko makubwa ili kuweza kugombea ubingwa. Kikosi kikosi kikosi..nitahitaji muda kuweza kutengeneza kikosi chenye kuleta ushindani blah blah bla"

Mourinho anasema, "Kikosi nilichokikuta si kikosi ambacho ningependa kuendelea kuwa nacho..kuna mabadiliko makubwa ya kufanya. La kini kwa kuwa chelsea ni klabu kubwa, muda wa mabadiliko hautuzii kugombea makombe. Ni culture ya chelsea kushinda hivyo ni lazima tushinde huku tukiendelea kujenga kikosi nikitakacho"

So mkuu gutierez endelea na historia yenu...sisi tunaendelea na culture yetu!!!! WINNING

#KTBFFH
#CFC
#We are Champions!!!!
Tatizo mna kelele sana kujiona kama hadi mna rekodi nzuri kuliko wengi ndio mnachoniudhi
 
Mimi naona pale kati acheze Mikel na Luiz kwa mechi hiyo tu: Sababu: Mikel mzee wa "upaja' huyu ana nguvu na kusukumana na viungo wa City, Nemanja Matic ni mchezaji mzuri lakini City watamharibia gemu yake. Luiz na Mikel pale kati.
au kama Matic atacheza kati: Cesar Azp "tuamue" kumrudisha kulia, upande wa kushoto acheze David Luiz ili tuwavuruge Man City: Ikumbukwe David Luiz alimewahi kucheza upande wa beki wa kushoto ile mechi ya Norwich tukashinda 3-1. Maana Azp akicheza kulia ataweza kuwazuia washambuliaji wa City vizuri zaidi.
Cech - Ivanovic, Cahill, Terry (C), Azpilicueta - D. Luiz, N. Matic - Willian, Mata, Hazard, Eto'o

Subs: A. Cole - Ramires, Mikel - Oscar - Ba!
 
Hata hivyo naamini cole anaweza kucheza # 3 vizuri tu mechi hiyo kwa sababu kukaa bechi muda mrefu kumempa muda mrefu wa kujirekebisha; Pia hiyo ni mechi nzito, haitaki majaribio tunahitaji kushinda ili tusonge mbele: Lakini kwa sasa timu ni kama familia; yeyote anayepangwa analeta faida; hapo mmesahau jembe langu Shurrle #14.
Mkuu wangu Mentor, Juan Mata huwa anapwaya sana mechi za City, kwa sababu mbili kuu:
1. Hana nguvu za kusukumana na kina Lescotti, Kompany, na Zabaleta;
2. Mata hajui kupiga chenga na kuingia ndani ya box kwa haraka.
Afadhali Oscar Emboaba Junior # 11 aanze pale kati kama ilivyo kawaida yake; Oscar, Hazard, Willian wanaelewana vizuri na wanakasi sana, Mata anapaswa kuingia kutokea benchi kwenye mechi kama hiyo. Wazee tuko pamoja ni mchango wangu tu. CC; Mentor, Ntuzu na Gutierez:horn:huwa anatuchangamshia thread yetu, pia anasaidia kuongeza idadi ya 'pages' Chelsea the Champions; mbona haji kujibu hoja? Alete takwimu zake anazoamini kwamba Barcelona imeifunga mara ngapi Chelsea tumuelewe.
 
Kujiamini ni mojawapo ya sifa za mwanamume: Sasa unataka tujidharau na kujilaumu?
Ukipenda timu unapenda mwanzo mwisho. Kama sivyo unafanya nini basi?
Tatizo mna kelele sana kujiona kama hadi mna rekodi nzuri kuliko wengi ndio mnachoniudhi
 
Sisi wazee wa rekodi bora:
Rekodi ya 2004 = points 95.
Rekodi ya kuchukua makombe yote yanayoandaliwa na UEFA:
-Super Cup = 1998 vs Real Madrid.
-Cup Winners = 1998.
-Champions League = 2012.
-EUFA Europa League = 2013.
sasa tunyamaze kwa shida gani?
Tatizo mna kelele sana kujiona kama hadi mna rekodi nzuri kuliko wengi ndio mnachoniudhi
 
Cech - Ivanovic, Cahill, Terry (C), Azpilicueta - D. Luiz, N. Matic - Willian, Mata, Hazard, Eto'o

Subs: A. Cole - Ramires, Mikel - Oscar - Ba!

Mkuu hichi kikosi ulichokipanga kina uhai mkubwa ktk Subs: Km Mou atapanga hivyo na vyivyote vile mpira utakavyokua tukiingiza mtu atabadilisha sura ya mchezo!
 
Mimi naona pale kati acheze Mikel na Luiz kwa mechi hiyo tu: Sababu: Mikel mzee wa "upaja' huyu ana nguvu na kusukumana na viungo wa City, Nemanja Matic ni mchezaji mzuri lakini City watamharibia gemu yake. Luiz na Mikel pale kati.
au kama Matic atacheza kati: Cesar Azp "tuamue" kumrudisha kulia, upande wa kushoto acheze David Luiz ili tuwavuruge Man City: Ikumbukwe David Luiz alimewahi kucheza upande wa beki wa kushoto ile mechi ya Norwich tukashinda 3-1. Maana Azp akicheza kulia ataweza kuwazuia washambuliaji wa City vizuri zaidi.

Unakumbuka game yenu ya fainali ya Europa vs Benfica Matic alivyoisumbua midfield yenu hasa Ramires? Me namwona Matic stronger na mwepesi kuliko Mikel, Luiz apewe kazi ya kumzuia Yaya na Matic ndio size ya Fernandinho, Ramires, Hazard na Willian wacheze nyuma ya Etoo. Halafu siku hiyo Cole acheze kushoto na Azplicueta kulia ingawa naona mtakua na shida ya kumzuia mfukuza upepo Jesus Navas
 
Kujiamini ni mojawapo ya sifa za mwanamume: Sasa unataka tujidharau na kujilaumu?
Ukipenda timu unapenda mwanzo mwisho. Kama sivyo unafanya nini basi?
kelele zenu sawa na waingereza na vyombo vyao vya habari
 
Mimi naona pale kati acheze Mikel na Luiz kwa mechi hiyo tu: Sababu: Mikel mzee wa "upaja' huyu ana nguvu na kusukumana na viungo wa City, Nemanja Matic ni mchezaji mzuri lakini City watamharibia gemu yake. Luiz na Mikel pale kati.
au kama Matic atacheza kati: Cesar Azp "tuamue" kumrudisha kulia, upande wa kushoto acheze David Luiz ili tuwavuruge Man City: Ikumbukwe David Luiz alimewahi kucheza upande wa beki wa kushoto ile mechi ya Norwich tukashinda 3-1. Maana Azp akicheza kulia ataweza kuwazuia washambuliaji wa City vizuri zaidi.

Mkuu Mimi nataka Ivanovic apumzishwe mpk siku ya hiyo game! Na pia upande Wa kushoto akicheza Cole au Azp ni sawa tu! Ila Mimi ninataka Luiz acheze ktkt akisaidiwa na Ramires au Obi! Kwasababu siku hiyo Toure na Fenandinho washindwe kabisa kuleta mazara golini kwetu! Pale mbele pawe Km Jana! Oscar, Hazard, Willian Na Eto'o.

Yani maana yake ni kwamba, tukiwa tunapiga hesabu za kuwazuia Wao, na Wao wawe wanaumiza kichwa kutuzuia sisi! Yani wasirelax kabisa!

Matic Hizi game zijazo kabla ya Man city anapaswa apewe muda Wa kucheza sn ili kuweza angalau kucop na wezake! Maana kwa game kubwa Km hiyo tunatakiwa kua imara kila Mahali!
 
Kimyaaa! vipi mkuu gutierez?
Lete data zako za kukanusha. :laugh:
ntakueletea ambazo sio ktk google,naleta nilizoshuhudia uwanjani,ila chelsea kashinda mara 4 tu kwa Barca zote bridge sio ktk ardhi ya mfalme Juan Carlos wa pili,barca sijahesabu muda umenitupa nawahi kuwajibika kimanzichana muda huu.
 
Sisi wazee wa rekodi bora:
Rekodi ya 2004 = points 95.
Rekodi ya kuchukua makombe yote yanayoandaliwa na UEFA:
-Super Cup = 1998 vs Real Madrid.
-Cup Winners = 1998.
-Champions League = 2012.
-EUFA Europa League = 2013.
sasa tunyamaze kwa shida gani?
Klabu bingwa ya dunia je?ila hongereni mnajitahidi tahidi kusafisha jina la London na wachonga eg sky news na bbc,ila rekodi ya Barca haujui maana kabeba makombe yote hayo super cup,winners,ucl,klabu bingwa dunia haijashuka daraja nk
 
Unakumbuka game yenu ya fainali ya Europa vs Benfica Matic alivyoisumbua midfield yenu hasa Ramires? Me namwona Matic stronger na mwepesi kuliko Mikel, Luiz apewe kazi ya kumzuia Yaya na Matic ndio size ya Fernandinho, Ramires, Hazard na Willian wacheze nyuma ya Etoo. Halafu siku hiyo Cole acheze kushoto na Azplicueta kulia ingawa naona mtakua na shida ya kumzuia mfukuza upepo Jesus Navas

Mkuu kati ya Azplicueta na Cole mmoja anapaswa awe Sub na Hakuna mbaya! Ili Ivanovic acheze upande Wa kulia. Luiz tayari kwa Kati tunaona kura zinamuangukia kwa pale Kati! Lkn nani amsaidie? Ramires,Lampard,Obi,Matic? Na inatakiwa Subs wawe wazuri sio kumaliza wote Nje tukawa hatuna mtu Wa kubadilisha mchezo Km akiingia!

Oscar,Mata,Willian,Hazard Yani Hao wamsaidie Eto'o
 
agosti 8 NA Nkwela Ntuzu,

Kama ni kuchezea experience basi tucheze hivi:

Cech; Ivanovic, Cahill, Terry (C), Cole; Mikel, Ramires; Willian, Mata, Hazard; Eto'o

Bado nimemrudisha Mata kwa kuwa hii game ni too tactical. Namfananisha Silva wa Man city na Mata wetu hawana tofauti. Mata anajua kutoa pasi nzuri buana, tracking back yake tu ndio tatizo ambapo ndipo tutamhitaji Mikel zaidi.

Nilikuwa naangalia video za Matic the kid has good pace pia so hata akipangwa najua atasaidia sana.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Kati ya Cole na Azplicueta nani atahimili mbio za Navas?

sometimes you have to win ugly, mkienda Etihad mmefunguka sihitaji kuwaambia nini kitawakuta, mnahitaji kuubana uwanja kadiri muwezavyo na mcheze counters za maana.

Ndio maana me nadhani Liuz na Matic wailinde back four, mbele yao vijana wenye kasi Ramires, Hazard na Willian

Sub itakua na Mikel, Lampard, Oscar na Mata ambao wote ni game changers
 
Mkuu

Uchambuzi wako ni mzuri! Lkn tuende pale kwa kulinda goli au tukacheze mpira Km siku ya Liver?

Maana tunapopanga kikosi tuangalie na jinsi tutakavyo cheza!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kati ya Cole na Azplicueta nani atahimili mbio za Navas?

sometimes you have to win ugly, mkienda Etihad mmefunguka sihitaji kuwaambia nini kitawakuta, mnahitaji kuubana uwanja kadiri muwezavyo na mcheze counters za maana.

Ndio maana me nadhani Liuz na Matic wailinde back four, mbele yao vijana wenye kasi Ramires, Hazard na Willian

Sub itakua na Mikel, Lampard, Oscar na Mata ambao wote ni game changers

Mkuu Mourinho Uchambuzi wako na hiki kikosi ulichokipanga ni kizuri! Hapo kwa Beki ya kushoto ni vema angeanza Cole kwa ajili ya kukimbizana na J Navas.

Na pia hiyo game Lazima tukacheze kwa mifumo yote miwili kukaba na kushambulia kwa asilimia Mia moja! Kwasababu tukiwa na kazi ya kubana tu bila kufunguka tutawapa nafasi ya kutawala game na kutushambulia au kucheza ktk eneo letu kwa muda Mrefu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom