DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Kwani huyu si ndiye aliyetimuliwa kule everton????Ujio wa Frank Lampard utakuwa na adhari gani kwenye uchezaji
- Timu itakuwa inashambulia sana na kufunga sana
- Mpira mzuri utacheza wa haraka na kasi na direct
- Tutegemee pia kufungwa magoli yua kijinga jinga na pia kupoteza points za kijinga jinga