Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimekataa kuibiwa nasema..SITAKI!

Zile dakika (kwangu zilikuwa 12) za mwanzo walicheza mpaka nikapata wasiwasi hawa middle tablers wanataka kufanya nini!

But ukweli Carrick (16) na Januzaj (44) ndio wachezaji pekee kwangu kwa jana waliocheza vizuri kwa upande wa Man UTD. Wengine wengi walikuwa wanacheza bila kujua roles zao.

Shemeji na Wewe Acha wivu mpk kwa kaka za mkeo!

Mwanangu ni kweli Januzaj na Carrick Jana wamecheza mpira sn! Kiukweli bahati haikua Yao tu! Kwasababu ktk Hizo dakika za mwanzo walifika golini kwetu na kutengeneza nafasi kadhaa bila kupata goli!

Sisi ktk Hizo dakika tulifika golini kwao mara mbili na kupata goli! Alifika kwanza Ramires then Eto'o

Kwahiyo game ilikua ngumu! Sema Mourinho Akipanga mtu kucheza humpa majukumu kuyatekereza! Na ndivyo walivyo fanya kina Willian na Hazard na Oscar na Eto'o huku wakisaidiwa na Luiz na Ramires.
 
Lakini David Luiz akizoea kucheza pale kati atatusaidia sana, mpira wa jana alitimiza wajibu wake vizuri sana.
Willian da Silva #22 yuko sawa kwa sababu jamaa anawafuata na kuwasumbua mabeki, kila anapopata mpira anaelekea kwenye goli la 'mashetani' sasa huo ndo mpira tunaotaka kule mbele;
 
Sasa sisi, Chelsea Fc hatujafungwa na timu yoyote ambayo inagombea ubingwa hadi sasa: Jana tumemalizana na bingwa mtetezi, timu kongwe ya Man Utd: Points za ubingwa wetu ziko mikononi mwa Man City na Arsenal Fc, tukiwafungwa hao wote tutakuwa mabingwa bila ubishi. Maana vijana watukuwa na hamasa ya hali ya juu.
Shemeji na Wewe Acha wivu mpk kwa kaka za mkeo!

Mwanangu ni kweli Januzaj na Carrick Jana wamecheza mpira sn! Kiukweli bahati haikua Yao tu! Kwasababu ktk Hizo dakika za mwanzo walifika golini kwetu na kutengeneza nafasi kadhaa bila kupata goli!

Sisi ktk Hizo dakika tulifika golini kwao mara mbili na kupata goli! Alifika kwanza Ramires then Eto'o

Kwahiyo game ilikua ngumu! Sema Mourinho Akipanga mtu kucheza humpa majukumu kuyatekereza! Na ndivyo walivyo fanya kina Willian na Hazard na Oscar na Eto'o huku wakisaidiwa na Luiz na Ramires.
 
Labda niseme hoja mbili kuhusu beki kucheza nafasi ya kiungo:
Kwanza kabisa David Luiz ni beki ambaye ana sifa nyingi za kiungo kuliko kuwa 'beki asilia' yuko tofauti sana na John Terry au Cahill, kwa sababu hawa wawili huwa wanapanda mbele wakati wa kona tu.
Uzuri wa David Luiz kucheza pale kati ni kwamba anapiga pasi ndefu ndefu ambazo zinawatawanya maadui: Tofauti na Ramires au Mikel ambao wanapenda kukaa na mpira mguuni: David Luiz anapenda kucheza mpira wa kibabe ni hiyo inasaidia sana; Kwa wenzangu wa zamani kwenye timu mtakumbuka Ballack #13, alikuwa na mambo hayo: pasi zake zilikuwa ndefu na mpira wa nguvu alikuwa anauweza. Lakini mlengwa ameshafika Nemanja Matic, sasa inaonekana atakuwa anacheza na Mikel pale kati: Ramires anafaa pembeni kwa sababu ana mbio na huwa anatoa krosi nzuri sana. unakumbuka goli la kwanza dhidi Napoli katika ushindi wa 4-1 pale darajani?

Mkuu uchambuzi wako ni mzuri!

Nimeanza kua nawafikiria Man City! Kwa upangaji kikosi hivi tunaweza kuwazuia kina Toure na Fenandinho?

Maana timu iliyobaki Ina Ugumu ni Man city! Unaonaje kwa Hilo?
 
Kuhusu Man Utd kutushambulia zile dakika za mwanzo mimi sikuwa na wasiwasi hata kidogo. Unapocheza na timu kongwe unapaswa kutegemea kushambulia. Mimi nilitaka watushambulie japo kwa dakika 45 za kwanza, lakini hawana pumzi ya kufanya hivyo. Faida za timu kushambuliwa ni kwamba wacheza watakomaa kisaikolojia. timu nzuri inapimwa inaposhambuliwa pia. Sasa vijana wako imara sana; The Leader John Terry #26 amesema kwamba wao walipokuwa wanashambuliwa zile dakika 10 za mwanzo; walitulia hawakutaka "kupanic" ; matunda ya utulivu wa wachezaji yakawa ushindi wa 3-1.

Mkuu!
Nilikua napitia habari ktk wavuti ya Chelsea ulichokisema ndio Jose alivyosema!

Kwakweli wameonesha uwezo Wa Hali ya juu sn!
 
Lakini David Luiz akizoea kucheza pale kati atatusaidia sana, mpira wa jana alitimiza wajibu wake vizuri sana.
Willian da Silva #22 yuko sawa kwa sababu jamaa anawafuata na kuwasumbua mabeki, kila anapopata mpira anaelekea kwenye goli la 'mashetani' sasa huo ndo mpira tunaotaka kule mbele;

Mkuu Ivanovic bado hajapona vizuri! Mi nafikiri apumzishwe vya kutosha ili kuikabili Man City!
 
Tusome data mara ngapi? Unafikiri kama wewe ni Barcelona hujawahi kufulia? Nikuulize ulikuwa unashabiki Barca wakati walipotandikwa 4-0 kwenye fainali ya 1994 na AC Milan? Unafikiri hajutui kwamba Barca tangu 2000-2003 haikuwahi kuchukua taji lolote katika kipindi hicho?
Ulikuwa wapi enzi za Diportivo la Coluna wakicheza Champions league na Barca kubaki mashabiki tu?
Unafikiri hatujui kwamba Barca imekuwa bingwa wa UCL kwa mara ya kwanza mwaka 1992? Kabla ya hapo ulikuwa mshabiki wa timu gani? Mkuu nakuheshimu; ni vizuri ukaleta hoja zenye akili; sisi pia vichwa vyetu vimejaa akili: chezea wengine
Mimi ni mshabiki wa Spain toka kitambo,Barcelona enzi hizo ilikuwa imejaa waholanzi ila Barcelona iliyotamba iliyojumuisha waspain na ndio waliowezesha Spain kubeba world cup
 
Ntuzu dadako keshaolewa sasa maongezi yote yawe Kk: Mentor

Back to topic:

Hivi lengo la Matic ni ili aje kucheza na Mikel? As a replacement for Lampard? Au?

Jana nilimmisi sana Lampard nyakati za kupiga mipira ya kona na adhabu ndogo (fouls)...hapo tu ndipo I hope Nemanja Matic awe mzuri..basi atakuwa amekamilisha kikosi.

D. Luiz anacheza kwa nguvu mno kama vile anataka ku-prove a point kwa Mourinho..itamcost sana navyoona.

Ramires inabidi arudi tena Cobham kufanya mazoezi ya TARGET...zamani alikuwa akipiga mpira golini unashikilia roho..siku hizi kupaisha ndio zake!

Ningependa kuona Mata aki sub na Oscar/Willian mara moja moja..ingesaidia sana kuimprove game lake! Sitaki auzwe plus ninaamini anaweza kutoa mchango mkubwa sana kwenye mechi na Man city.
 
Last edited by a moderator:
Yani wewe ndugu Chelsea itakuumiza tu kichwa.

Ebu kua mkweli na unijibu swali langu! Timu Ambayo iliwahi kusajili majina makubwa ni R Madrid wakati Wa Figo, Zidane, Beckham Na R de Lima. Sasa tangu amekuja Abramovich Chelsea ni mchezaji gani Mwenye jina kubwa Km Hao nilio wataja amewahi kusajiliwa Chelsea? Au Chelsea inanunua wachezaji then inawategeneza na kupata majina makubwa na kua nguli?
Ukinijibu hayo maswali Yangu vizuri ntakuona una busara. Vinginevyo utakua wale HATERS...!
Haitaji kubishana wengi wenu mnajijua Cheslea mmeanza kushabiki wakati Abramovich ananunua timu
 
Wewe timu yako Barcelona:
Chelsea vs Barcelona statistics:
Total matches played = 15.
chelsea won =5
Barcelona won = 5
Drawn = 5
Sasa una lipi la kuidharau Chelsea FC?:boxing:
Leta uthibitisho,sikuamini wewe na data zako,umezidi unazi wa kiabromovich sana kelele nyingi hakuna kitu.
 
Lengo lako kwenye mpira ni kushika nafasi nzuri au kubwa bingwa?
Lengo lako ni kusajili wachezaji wa mchangani ili timu iwe ya 7 au 8 ili iweje?
Kumbe ndo maana mmemchukua Moyes kwa sababu mnapenda kuwa #7 au 8?
Karibu sana Gutierez ndo kwanza tunaanza ...njoo tena utoe hoja zako ..
Mbona unanivika ushabiki wa timu,mimi nipo Spain toka kitambo,ila kiukweli England timu ni 2 zinatambulika Ulaya kwa rekodi nzuri hata wewe unatambua,Chelsea ni kama kajumulo bongo inavuma na ikipotea mtahama ipo wapi Anzhi Makhchakala leo,lakini ukizungumzia legend miaka nenda miaka rudi England ni timu 2 hazitosahaulika na washabiki wapo hawahama hata zikienda division 1,ukienda Germany ni Bayern,ukienda Italy Juve,AC Milan na Inter,Spain ni Barca na Real Madrid,Holland ni Ajax,PSV na Feyenoord,Uturuki Garatasaray,Fernebarce na Besiktas,Kenya Gor Mahia na AFC Leopard,kule DRC Vita,Darling Club Motema Pembe na TP Mazembe,Egypt Ahly na Zamalek,Ghana Kotoko na Accra Hearts of Oak,kule Uganda Villa,KCC na Express,South Africa Kaizer na Orlando,Mali Djoliba na Stade Malien Bongo ni Simba na Yanga,kwahiyo Chelsea ni tunda la msimu,Man Utd na Liverpool ni timu kongwe.
 
Ntuzu dadako keshaolewa sasa maongezi yote yawe Kk: Mentor

Back to topic:

Hivi lengo la Matic ni ili aje kucheza na Mikel? As a replacement for Lampard? Au?

Jana nilimmisi sana Lampard nyakati za kupiga mipira ya kona na adhabu ndogo (fouls)...hapo tu ndipo I hope Nemanja Matic awe mzuri..basi atakuwa amekamilisha kikosi.

D. Luiz anacheza kwa nguvu mno kama vile anataka ku-prove a point kwa Mourinho..itamcost sana navyoona.

Ramires inabidi arudi tena Cobham kufanya mazoezi ya TARGET...zamani alikuwa akipiga mpira golini unashikilia roho..siku hizi kupaisha ndio zake!

Ningependa kuona Mata aki sub na Oscar/Willian mara moja moja..ingesaidia sana kuimprove game lake! Sitaki auzwe plus ninaamini anaweza kutoa mchango mkubwa sana kwenye mechi na Man city.

Nkwela nimekubali ulileta ng'ombe za kumuolea dada na tulishakula zikaisha! Inabidi tukubembeleze usije ukamuacha dada kuzilipa ng'ombe ikawa Tabu!

Mi nafikiri Matic amekuja hapo kwa ajili ya kumsaidia Lampard!

Alafu ni kweli Luiz anajituma sn tena mpk Yani Jose anakosa cha kusema juu ya Luiz Zaidi ya kumsifu kwa uwajibikaji ulio juu!

Ni kweli Mata anatakiwa kucheza lkn sio kwa game ya Jana . Game ya Stoke City na West Ham nafikiri anaweza kucheza yeye na Ba.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Mentor agosti 8

Man City wako na Toure na Fenandinho pale katikati! Na wakisaidiwa na Nasri na Silva Pamoja na Negredo na Aguero.

Sisi Km Chelsea tumpage nani ktk kikosi chetu ili tuweze kuwazuia Hawa City na kuwafunga?

Tukianza na viungo Pamoja na Striker na Walinzi?
 
Last edited by a moderator:
Mbona unanivika ushabiki wa timu,mimi nipo Spain toka kitambo,ila kiukweli England timu ni 2 zinatambulika Ulaya kwa rekodi nzuri hata wewe unatambua,Chelsea ni kama kajumulo bongo inavuma na ikipotea mtahama ipo wapi Anzhi Makhchakala leo,lakini ukizungumzia legend miaka nenda miaka rudi England ni timu 2 hazitosahaulika na washabiki wapo hawahama hata zikienda division 1,ukienda Germany ni Bayern,ukienda Italy Juve,AC Milan na Inter,Spain ni Barca na Real Madrid,Holland ni Ajax,PSV na Feyenoord,Uturuki Garatasaray,Fernebarce na Besiktas,Kenya Gor Mahia na AFC Leopard,kule DRC Vita,Darling Club Motema Pembe na TP Mazembe,Egypt Ahly na Zamalek,Ghana Kotoko na Accra Hearts of Oak,kule Uganda Villa,KCC na Express,South Africa Kaizer na Orlando,Mali Djoliba na Stade Malien Bongo ni Simba na Yanga,kwahiyo Chelsea ni tunda la msimu,Man Utd na Liverpool ni timu kongwe.

Kwa hivyo ulitaka wote tushabikie Man utd ama Liverpool pekee!?? Kwa kuwa ndiyo timu kongwe? Unataka na mimi wa 1993 niishabikie Man utd kwa sababu ni timu kongwe? Kwa ukongwe upi nilionao?

Acha ushamba wewe hata kama ndiyo imeanza kuvuma afta Ibrahimovic so what! Wakati wa Ibra kwani Man utd na Arsenal (tena the invincibles era na enzi za Highbury) hazikuwa zikivuma?

Ndiyo tumeipenda, ingekuwa hapo kabla tulikuwa tunashabikia Leeds utd unaweza kusema hivyo but as far as i know..whether ilitokana na kununuliwa na Ibra au la..Chelsea ndiyo timu yangu ya kwanza kuishabikia kwa timu za ulaya. Main reason by then was the name, THE BLUES. I loved the color na ndicho kipindi nilianza kufuatilia mpira wa ulaya...hiyo plastic fanship mnayotuvika ni ukweli unaouma kuwa we will never go down tena...nyie mtabaki na historia sisi tutaendelea with our winning ways.

Mfano mzuri ni speeches za makocha wa sasa wa timu hizi mbili.

Moyes anasema, "Kikosi hakijitoshelezi kushindania ubingwa. Kikosi kinahitaji mabadiliko makubwa ili kuweza kugombea ubingwa. Kikosi kikosi kikosi..nitahitaji muda kuweza kutengeneza kikosi chenye kuleta ushindani blah blah bla"

Mourinho anasema, "Kikosi nilichokikuta si kikosi ambacho ningependa kuendelea kuwa nacho..kuna mabadiliko makubwa ya kufanya. La kini kwa kuwa chelsea ni klabu kubwa, muda wa mabadiliko hautuzii kugombea makombe. Ni culture ya chelsea kushinda hivyo ni lazima tushinde huku tukiendelea kujenga kikosi nikitakacho"

So mkuu gutierez endelea na historia yenu...sisi tunaendelea na culture yetu!!!! WINNING

#KTBFFH
#CFC
#We are Champions!!!!
 
Last edited by a moderator:
liverpool fc & man united = timu kongwe
chelsea fc = timu bora
kwa hivyo ulitaka wote tushabikie man utd ama liverpool pekee!?? Kwa kuwa ndiyo timu kongwe? Unataka na mimi wa 1993 niishabikie man utd kwa sababu ni timu kongwe? Kwa ukongwe upi nilionao?

Acha ushamba wewe hata kama ndiyo imeanza kuvuma afta ibrahimovic so what! Wakati wa ibra kwani man utd na arsenal (tena the invincibles era na enzi za highbury) hazikuwa zikivuma?

Ndiyo tumeipenda, ingekuwa hapo kabla tulikuwa tunashabikia leeds utd unaweza kusema hivyo but as far as i know..whether ilitokana na kununuliwa na ibra au la..chelsea ndiyo timu yangu ya kwanza kuishabikia kwa timu za ulaya. Main reason by then was the name, the blues. I loved the color na ndicho kipindi nilianza kufuatilia mpira wa ulaya...hiyo plastic fanship mnayotuvika ni ukweli unaouma kuwa we will never go down tena...nyie mtabaki na historia sisi tutaendelea with our winning ways.

Mfano mzuri ni speeches za makocha wa sasa wa timu hizi mbili.

Moyes anasema, "kikosi hakijitoshelezi kushindania ubingwa. Kikosi kinahitaji mabadiliko makubwa ili kuweza kugombea ubingwa. Kikosi kikosi kikosi..nitahitaji muda kuweza kutengeneza kikosi chenye kuleta ushindani blah blah bla"

mourinho anasema, "kikosi nilichokikuta si kikosi ambacho ningependa kuendelea kuwa nacho..kuna mabadiliko makubwa ya kufanya. La kini kwa kuwa chelsea ni klabu kubwa, muda wa mabadiliko hautuzii kugombea makombe. Ni culture ya chelsea kushinda hivyo ni lazima tushinde huku tukiendelea kujenga kikosi nikitakacho"

so mkuu gutierez endelea na historia yenu...sisi tunaendelea na culture yetu!!!! Winning

#ktbffh
#cfc
#we are champions!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom