Umeona navyoruka ruka hata mechi za taifa lake tu Leo Saka kamrambisha nyasiAkifanya poa baadae usije ukaikataa comment wapo wenzako walibeza usajili wa paund mil 107 wa Enzo angalia namna anavyokiwasha sasa hivi
Kwamba mnaona hana pa kwenda pengine?Hapana, ila nilitegemea atarudi baada ya muda mfupi
Kichwa ubuyu tena?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah ! Tuchel on the beat pale Bayern Munich ,aisee atauwasha Moto UCL watu watapoteana vibaya mno ,naomba tysikutane naye , atatusulubu vibaya mno , kwanza ana hasira na Todd mmarekani kichwa ubuyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukipita kwa madrid Tuchel atatufanya kitu hatujawahi ona.
Lembu ulikuwa miongoni mwa watu waliofurahia Tuchel kufukuzwaThe most charming coach
Hii video ndio inayomuonyesha Tuchel alivyo Charm na Charismatic kwenye media na akiwa uwanjani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Long live potter TUNAKUPENDA
Potter anajiandaa kuwapeleka chini ya daraja maporomokoniTujikumbushe
Conte katupa EPL ndani ya msimu wake wa kwanza
TT katupa UCL ndani ya nusu msimu wake wa kwanza
![]()
Kazi yetu huwa kurudi maktaba kuangalia kumbukumbu zinasemaje.Swala sio mahaba na Conte.
Wewe muangalie Conte uwezo wake alafu angalia mafanikio yake ni kocha wa kupambana kushinda mataji sio km kina Ole na Mikael Arteta.
Kwahiyo Conte lazima akae juu.
West Ham haina nguvu sn muda si mrefu itatoka hapo juu!
A certified fraud.Conte anafanya vzr na wachezaji hao hao Kikubwa ni wao kuzoea mfumo pamoja na kujiamini.. Watakapoanza kushinda games watakaa Sawa tu.
West Ham sio timu ya kuamini sn Moyes sio km Conte
Hahaaa , hivi ni kweli Silva alimpa Antony Taylor middle finger ? , Hakuonwa na camera za uwanjani kweli na watu wa FA ?Tujiandae kumtukana refa
Chelsea vs mtetea View attachment 2567865