Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,153
- 104,729
Sidhani kama ni kweliHahaaa , hivi ni kweli Silva alimpa Antony Taylor middle finger ? , Hakuonwa na camera za uwanjani kweli na watu wa FA ?
Sidhani kama ni kweliHahaaa , hivi ni kweli Silva alimpa Antony Taylor middle finger ? , Hakuonwa na camera za uwanjani kweli na watu wa FA ?
Sasa na wew auoni kma ni edit kbsa izoHahaaa , hivi ni kweli Silva alimpa Antony Taylor middle finger ? , Hakuonwa na camera za uwanjani kweli na watu wa FA ?
Mmemis kupaki BasiTumchukue Conte haraka sana tuachane huyu Kuku BROILA
Chilwel hauzwi labda mountChelsea yatangaza kupata hasara ya kiasi cha paundi mil 121 msimu uliopita
Kutokana na hasara hii, msimu ujao wa kiangazi ni lazima kuwauza wachezaji hasa homegrown ili kufidia pengo
Chilwell, Mount wanaweza kuwa kwenye hatihati ya kuuzwa among others
We ,umuuze Chillwell mashine kama ile halafu umuache azpilicueta , Pullisic ,ziyech ,Odoi ,Lukaku ?Chelsea yatangaza kupata hasara ya kiasi cha paundi mil 121 msimu uliopita
Kutokana na hasara hii, msimu ujao wa kiangazi ni lazima kuwauza wachezaji hasa homegrown ili kufidia pengo
Chilwell, Mount wanaweza kuwa kwenye hatihati ya kuuzwa among others
Unajua maana ya among others?We ,umuuze Chillwell mashine kama ile halafu umuache azpilicueta , Pullisic ,ziyech ,Odoi ,Lukaku ?
We kaa kwa kutulia... kutimu chako hakina maajabu saiv
Na Bado
Kwanza kwa Madrid hampiti nyie wahuni
Kocha ni Potter,ana mpira gani wa kumshinda Madrid!?
Ila nyie watu bhana,,mmekaa mnasubiri potter awavushe kwa Madrid![]()
Timu linaporomoka daraja HiloWe kaa kwa kutulia... kutimu chako hakina maajabu saiv

Wenzako wakivuta bhangi wanaenda kulala.Hiki kikundi cha wanyang'anyi bado kipo????
Hawa chelsea hawana tofauti na panya road tu,hamna kitu kwenye soka
Hopeless
Fofana naye injury, jumla tunao 10 tena walio kwenye majeruhiTaarifa zinazotrend REECE JAMES ameumia tena![]()
Badilisheni medical staff sio kuanza kulialiaFofana naye injury, jumla tunao 10 tena walio kwenye majeruhi