Nipo mkuu, nasubir tembo aanguke utanionaMkohoti umepotea Sana aisee
Nipo mkuu, nasubir tembo aanguke utanionaMkohoti umepotea Sana aisee
Bila majungu kiukweli we Jamaa na AllyPipi huwa mnanifurahisha sana na hizi mbwembwe zenuMbinu za potter zimeanza kuleta matumaini
Potter mikumi kabisa

Mm nazipenda timu zaBila majungu kiukweli we Jamaa na AllyPipi huwa mnanifurahisha sana na hizi mbwembwe zenu
Ila we Bachelor II utakuwa unaipenda Chelsea FC kimya kimya.
Bado tu hujaiwekea lamination hii habari?Pulisic - Mtumishi hewa
Gallagher - Mpira vurugu
Cheek - Mid table player
Mount - Kinyonga
Cucurela - Waruwaru
Harvetz - Konokono
Sterling - PAPARAZI
Potter - MKOSI
Mpira upi ulikua unaangalia? Au Livescore hawajaupdate matokeo?City kamboda liva kuku 3