Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa nyie mnauzoefu gani Kwanza tutapiga marufuku mtu ambaye Hana uefa kuja huku Kwa sababu bado ni watoto wadogo.
Tumeshachukua epl mara mbili mfululizo,nyie mnaweza au mshafanya hivo ... ....

Tuna league cup 7 nyie vinabo mnazo ngapi...

Were the champion ...
 
Hao rent boys wengi wao hawajui mpira yaani wakikaa juu pale kwenye ligi Tayari wanakimbilia jukwaa la Liverpool kwenda kulingishia kwamba wanachukua ubingwa.

Epl sio ligi ya kitoto hiyo unakuja na matokeo yako utaumbuka.

Bado sijui watakuwa na maneno yao yale tunachukua ubingwa au sijui watakuwa wamebadilisha?
vp hali
 
Nyumbu na Ronaldo on fore na Kavani na Magwaya na Fernandos wote onfire mnawaweka 5/6
Manure ni title contender bana
Sasa utaanza kuelewa mkuu watu tukisema hatukosei.

One Sasa na Liverpool anavyogagarazwa na West Ham Utd....

Yaani Chelsea ndio Bingwa watake wasitake....

Yaani Chelsea ni Bingwa Msimu huu wengine waache wavurugane wenyewe hapo chini
 
Hao rent boys wengi wao hawajui mpira yaani wakikaa juu pale kwenye ligi Tayari wanakimbilia jukwaa la Liverpool kwenda kulingishia kwamba wanachukua ubingwa.

Epl sio ligi ya kitoto hiyo unakuja na matokeo yako utaumbuka.

Bado sijui watakuwa na maneno yao yale tunachukua ubingwa au sijui watakuwa wamebadilisha?
Nakusalimu kwa jina la West ham kutoka jiji la London
 
Kwahiyo ni bora tungefungwa kuliko kupata hiyo point 1?

Uwezo wa kuongeza gap utoke wapi sasa?

Wakati uwezo wetu wa leo umeishia kupata point 1.

Tuacheni kupiga ramli ya kushinda mechi za mbele wakati mechi ya sasa huna uhakika wa kushinda.

Na ikumbukwe washambuliaji wetu muhimu (Mount, Werner, Lukaku) + Kovacic wapo nje majeruhi huo uwezo wa kushinda asilimia 100 unatoka wapi?
pt 1 ni muhimu inaweza ikatupa ubingwa, City alichukua ubingwa kwa point 1 2017/18 City 98, liverpool 97
 
Sasa utaanza kuelewa mkuu watu tukisema hatukosei.

One Sasa na Liverpool anavyogagarazwa na West Ham Utd....

Yaani Chelsea ndio Bingwa watake wasitake....

Yaani Chelsea ni Bingwa Msimu huu wengine waache wavurugane wenyewe hapo chini
Sifa ya kwanza ya bingwa ni consistency na kutokubali kupoteza points, akifunga moja anashinda 10+, akidroo moja anashinda 10+
 
Wakuu hbr zenu?

Nimekuwa adimu kidogo ktk kuleta uchambuzi hapa napenda tu kuwakumbusha maneno kadhaa ambayo aliyasema Thomas Tuchel wakati anaichukua Chelsea ile January ktk game za mwanzo alisema hivi.... Anataka kutengeneza timu ambayo hakuna timu itapenda kucheza nao!

Siku ingine akaenda mbele zaidi akasema kwa namna wanavyo cheza sio tu kwamba ni mfumo Fulani au sijui nini! Ni kwamba wanavyouishi huo mfumo na kuufanya wauzoee. Waelewe namna wanavyokaba, namna wanavyo shambulia! Namna wanavyo elewana na kuufanya huo mfumo uwe sehemu ya maisha yao!

Sasa hii ndio Chelsea aliyo itengeneza TT wala ha ihitaji kuja kufanya uchambuzi hapa! Yaani tunaacha vitu vijieleze vyenyewe....

Nawakumbusha tu msimu Man Utd haitakuwepo ktk top four.....

Nawapa msimamo wa ligi mpk Mwezi wa tano utakavyokuwa!

(1) Chelsea

(2) Liverpool

(3)Man City

(4) Spurs

Sasa ktk no tano na no 6 hapo Utd na Arsenal watakuwa wanapishana!
Una mahaba na Conte, amekabidhiwa timu mbovu, hapo kwenye 4 weka Westham
 
Jamani, taarifa rasmi nilizozipata kutoka kwa vyanzo vyangu vya habari ni kwamba rasmi WESTHAM amechukua nafasi ya Manure kwenye mbio za ubingwa 2021/22 kwa sababu tulianza na title cotenders wanne mmoja kachoka baada ya mechi 3 tu
Sasa cotenders wetu ni

  1. Chelsea FC
  2. Man City FC
  3. Liverpool FC
  4. Westham United
 
Una mahaba na Conte, amekabidhiwa timu mbovu, hapo kwenye 4 weka Westham
Swala sio mahaba na Conte.

Wewe muangalie Conte uwezo wake alafu angalia mafanikio yake ni kocha wa kupambana kushinda mataji sio km kina Ole na Mikael Arteta.

Kwahiyo Conte lazima akae juu.

West Ham haina nguvu sn muda si mrefu itatoka hapo juu!
 
Sifa ya kwanza ya bingwa ni consistency na kutokubali kupoteza points, akifunga moja anashinda 10+, akidroo moja anashinda 10+
Chelsea kaonyesha hilo vzr kabisa.

Lkn City na Liverpool wanapuyanga na Utd ndio kabisa kapotea
 
Tumeshachukua epl mara mbili mfululizo,nyie mnaweza au mshafanya hivo ... ....

Tuna league cup 7 nyie vinabo mnazo ngapi...

Were the champion ...

Mkuu sometimes unajitoa ufahamu. Nafikiri akili yako haijakaa sawa tangu tukuaibishe three times na kuchukua UEFA mbele yako tena ukiwa mzima kabisa.

Chelsea imeshachukua EPL mara mbili mfululizo. Labda kama umeanza kuwngalia mpira msimu wa 2017-sasa. Nenda kagugo uone. Labda nikuambie tu najua huna bando ya kugugo. Msimu wa 2004/2005 na 2005/2006. Chelsea ilichukua Epl two times.

So inatakiwa uwe na adabu unapokuja hapa.

Chelsea imechukua UEFA champion mara mbili Eropa Legue mara 2 Man city yeye kachukua nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom