Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Breaking News!

GRAHAM POTTER STEP DOWN

Chelsea manager has finally stepped down. It has just been announced on Blue Sky news. He stepped down from his car in front of his office to continue his office task.

He is such a hardworking Man.

Thanks you for your attention!!
1677438443278.jpg
 
Una Mudyk na Madueka wachezaji wenye nguvu, kasi na ubunifu wako benchi.

Unamtoa Pulisic unaingiza Gallagher mpira vurugu

Unamtoa Filex, Kovacic, Fofana unaingiza vituko.

Kwahiyo tukipata goli kinachofuata ni sub za kujilinda tuu.

Potter ni mkosi tuliopata Chelsea, ni ajali kubwa tumeipata katika historia ya THE BLUES
Kocha 0 brain sana, anatia hasira yani. mwenzie kafanya sab na aliemfanyia sab ndio kaenda kututandika. Yeye super sub yake kila siku ni Gallagah😂 mchezaji asiyejua kupga hata pasi 1.
Anamtoa Fofana anamwingiza Chalobah, seriously??!
 
Lakini kwanini kila siku anafanya makosa hayo hayo ya wrong substitutions za wachezaji? makosa ambayo hata Mswahili wa kawaida hapa kwenye kibanda umiza ana yaona dhahiri, kweli huyu jamaa alifuzu masomo ya ukocha? au ana bebwa kwasbb ni Muingereza na ligi ni English premier league.

Utaondoa je beki hana hata kadi ya jano na umebakiza dakika tano mpira uishe na ukaweka mpya asio kua na concentration na pace ya mchezo kwa wakati huo? utaondoa je kiungo anaye weza kushikilia mpira na kutoa pass haraka na kuingiza mtu anaye tegemea pass za kiungo ulio mtoa asie jua dribling au chenga wakati huo unataka kulinda ushindi wako wa goli moja na points 3......sasa matokeo yake ndo kupoteza point mbili muhimu nyumbani.
 
Ni muda muafaka wa Potter kufanya yafuatayo kabla hajaliwa kichwa.
1. Kubadilika kwenye kufanya sub...jamaa ni mpuuzi sana.
2. Kuangalia namna bora ya kumaliza mchezo akiwa na ushindi mkononi.
3. Kumbadilisha yule Bonge wake anaemshauri kuhusiana wakati wa kufanya Sub.
4. Tofauti na hapo, Kichwa kinaenda kuliwa kabla ya Champion match against Real Madrid.
Naomba mwamini maneno yangu.
 
Breaking News!

GRAHAM POTTER STEP DOWN

Chelsea manager has finally stepped down. It has just been announced on Blue Sky news. He stepped down from his car in front of his office to continue his office task.

He is such a hardworking Man.

Thanks you for your attention!!View attachment 2557035
Ally tamutamu (pipi) kwenye ubora wako, hatimaye leo Arsepimbi wamepumzishwa na Mshabiki kindaki ndaki toka Man Utd FC
 
Mimi huwa nawambia hapa tusije pumbazwa na ushindi tunao pata, Potter ni senge tu hafai kuwa kocha wetu. Kinacho umiza zaidi huyu fala hajifunzi kupitia makosa yake sub anazo fanya ndio hizo kila siku anafanya. Huyo mbwa anajua kukera sana wale walio mtishia maisha sijui wanasubiri nini kummaliza. Sijawahi ona kocha mbugila kama hilo choko, kiukweli nimeumia sana kupoteza alama 3 leo.
 
Ni muda muafaka wa Potter kufanya yafuatayo kabla hajaliwa kichwa.
1. Kubadilika kwenye kufanya sub...jamaa ni mpuuzi sana.
2. Kuangalia namna bora ya kumaliza mchezo akiwa na ushindi mkononi.
3. Kumbadilisha yule Bonge wake anaemshauri kuhusiana wakati wa kufanya Sub.
4. Tofauti na hapo, Kichwa kinaenda kuliwa kabla ya Champion match against Real Madrid.
Naomba mwamini maneno yangu.
Tatizo ambalo lipo mabosi wanamkingia kifua nashindwa kuelewa wanaona nini kwa huyu kocha kilaza yani kuna mda mtu unaumia kuona kila siku makosa ni yaleyale halafu abadiliki

Ule ushindi wa mechi 3 ulitupumbaza sana lakini tulikuwa tunajua kabisa hatuwezi kufika popote na huyu kocha
 
Mimi huwa nawambia hapa tusije pumbazwa na ushindi tunao pata, Potter ni senge tu hafai kuwa kocha wetu. Kinacho umiza zaidi huyu fala hajifunzi kupitia makosa yake sub anazo fanya ndio hizo kila siku anafanya. Huyo mbwa anajua kukera sana wale walio mtishia maisha sijui wanasubiri nini kummaliza. Sijawahi ona kocha mbugila kama hilo choko, kiukweli nimeumia sana kupoteza alama 3 leo.
HP HAJAFUKUZWA TU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom